Pumzika kwa amani mdogo wangu

Pumzika kwa amani mdogo wangu

Inasikitisha sana. Pole sana mkuu.
Tupo safarini sote. Wao wametangulia na sie tupo nyuma yao.
Inna lilah wainna ilayh rajiuun.
 
Poleni sana kwa msiba, mwanga wa milele umep We Bwana....
 
Jamani poleni kwa kuondokewa na wapendwa wetu,msiba niwetu wote tuwaombee kwa mola awapumzishe roho zao mahali pema peponi AMINA
 
Pole sana ndugu huzuni yako ni huzuni yetu tunalia pamoja.
 
Back
Top Bottom