gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,053
Pole sana mkuu
inna Zlollah wa inna iLayhi RajiounPole sana mkuu
Who said tht?life is all abt hw u perceive&understanda thng around uU don't share feelings with strangers.
Poleni sana mkuu inauma mnoMiongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah
Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio tutoka na Walimu wao
Daaah 6/5/2017 sitahi sahau hii siku![]()
Kifo Kifo Kifo Nisikufuru Mdogo wangu ulikuwa Nandoto zakuja kuwa Raisi Zime zima ghafla
Eemungu fariji moyo wangu moyo wangu daaah[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
.....imeniliza, duu....poleni sanaMiongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah
Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio tutoka na Walimu wao
Daaah 6/5/2017 sitahi sahau hii siku![]()
Kifo Kifo Kifo Nisikufuru Mdogo wangu ulikuwa Nandoto zakuja kuwa Raisi Zime zima ghafla
Eemungu fariji moyo wangu moyo wangu daaah[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Pole sana tuzidi kuwaombea marehemu wetu M/Mungu apumzishe roho zao pema peponi...Amiin