Pardon me if am wrong,it seems this is not your blood baby sis.Otherwise usingemleta humu.Miongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah
Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio tutoka na Walimu wao
Daaah 6/5/2017 sitahi sahau hii siku![]()
Kifo Kifo Kifo Nisikufuru Mdogo wangu ulikuwa Nandoto zakuja kuwa Raisi Zime zima ghafla
Eemungu fariji moyo wangu moyo wangu daaah![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa nn?wht ia wrong 2share ur feeling with ppl around?jamii forum imetuunganisha na kutufanya ndugu/marafiki...kipi kibaya kushiriki nasi ktk majonzi yake?kuweka picha ya marehem mdogo wetu inamadhara gan kwako?au msiba ni wa kanumba tu na ma-ngwea?Pardon me if am wrong,it seems this is not your blood baby sis.Otherwise usingemleta humu.
Pole sanaMiongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah
Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio tutoka na Walimu wao
Daaah 6/5/2017 sitahi sahau hii siku![]()
Kifo Kifo Kifo Nisikufuru Mdogo wangu ulikuwa Nandoto zakuja kuwa Raisi Zime zima ghafla
Eemungu fariji moyo wangu moyo wangu daaah![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Apumzike kwa amani Sabrina