Pumzika kwa amani mdogo wangu

Pumzika kwa amani mdogo wangu

[emoji26] [emoji120] Mungu ni mwema sikuzote...tunamshukuru kwa kila jambo
 
Kwa nn?wht ia wrong 2share ur feeling with ppl around?jamii forum imetuunganisha na kutufanya ndugu/marafiki...kipi kibaya kushiriki nasi ktk majonzi yake?kuweka picha ya marehem mdogo wetu inamadhara gan kwako?au msiba ni wa kanumba tu na ma-ngwea?
U don't share feelings with strangers.
 
Pole mkuu,imeandikwa yeye aniaminiye mimi hata kama akifa atakuwa anaishi.Amini ipo siku tutakuja kuwaona wapendwa wetu waliotuachia majonzi tuendelee kuishi kwa mapenzi ya Mungu.
 
Pole sana chibudee Mungu awatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu
 
Miongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah

Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio tutoka na Walimu wao

Daaah 6/5/2017 sitahi sahau hii siku
e7486b1cab15ab6671476e2fcb14de35.jpg



Kifo Kifo Kifo Nisikufuru Mdogo wangu ulikuwa Nandoto zakuja kuwa Raisi Zime zima ghafla

Eemungu fariji moyo wangu moyo wangu daaah[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Inna lillahi wainna ilayhi raajiuun! Allah akujaalie makazi mema ewe malaika! Amiin
 
Kila nafsi itaonja umauti/kifo ni kinywaji kila nafsi lazima inywe/kifo ni mlango kila nafsi lazima ipite.Tunakumbushwa kuwa duniani ni pumbao la mda Mfupi.Tummrudie Mungu kabla ya mda haujafika.
Mungu mjalie kauli thabiti mja wako na umuweka pahala pema
 
Kama ni mipango ya mungu haya kutokea nasema asante ila kama sio mpango wa mungu jibu ni ndani mwezi huu.
 
Jamani pole sana ni maumivu ya aina yake kwakweli.

Ni msiba mzito sana huu,Mungu awatie nguvu wafiwa wote
 
Dah! Pole sana mkuu. I can feel your pain
 
Back
Top Bottom