mara hii umeshamsahau yule aliyekulaza selo enh?
mara hii umeshamsahau yule aliyekulaza selo enh?
You wont know until you know
* Vitu ambavyo binafsi niliona si vya kawaida
1. Kunifuata popote niendapo iwapo nitakuwa kwenye public transport
2. Hata saa ngapi nikirudi, kumkuta yupo nje ya nyumba yangu amekaa tu
3. Kuanza kugombana na watu kwa sababu aliniona nazungumza nao.
ha haaaaaaaaaaa, hata wangeruhusu mitala kwa wanawake mimi nisingethubutu..... siwezani kabisa na hayo makitu, lazima mmoja ataachwa kwenye mataa, lol!Hivi wanawake hawaruhusiwi mitala??? (Bad Joke)
Anyway, kuna siku atapata angalau wa kukaribiana na wewe
Ila tena hakuna tatizo kubwa kama la kulinganisha katika mapenzi, Hivi Asha anafanana na FP? Akikuta tu Asha hafanani na FP basi atamsumbua hadi basi.
Bado hajapona kidonda cha mapenzi, siku akipona ata-move on tu
ha haaaaaaaaaaa, hata wangeruhusu mitala kwa wanawake mimi nisingethubutu..... siwezani kabisa na hayo makitu, lazima mmoja ataachwa kwenye mataa, lol!
hicho kidonda ni miaka 13 ujue iliyopita, sasa kitapona lini? labda shosti unisaidie nimsaidiaje mtoto wa mwanamke mwenzetu....namwonea huruma sana
Ha ha ha, hapo blue jamani, kumbe nawe mkorofi?
Kumbe hata wanamme wanakuwa victims? Tena kama kaoa na anakuwa blckmail-ed ndo inakuwa ngumu zaidi kujinasua
ha haaaaaaaaaaa, hata wangeruhusu mitala kwa wanawake mimi nisingethubutu..... siwezani kabisa na hayo makitu, lazima mmoja ataachwa kwenye mataa, lol!
hicho kidonda ni miaka 13 ujue iliyopita, sasa kitapona lini? labda shosti unisaidie nimsaidiaje mtoto wa mwanamke mwenzetu....namwonea huruma sana
Kuna nyakati kuchora mstari kati ya 'obsession' na 'perseverance' inaweza isiwe rahisi sana!:glasses-nerdy:
ha haaaaaa, babu, nimeshamwonea huruma miaka 13, kwa hiyo hakuna shida hapoMhhhhh,
Mkubwa mwenzangu, hakuna kitu mwanamume analilia kama hicho......
Haya, sie yetu macho!!
Babu DC!!
hakuna maujanja wala nini, basi tu labda mimi ndo ulikuwa ubavu wake sijui ndo maana hawezi kupata mwingine, lol!13yrs? Basi anahangaika na Ego
wanamme wana ego sana wakiachwa, wamezoea kuacha.
Au aonane na wataalam wa kisaikolojia? Kuna hizi 'wellness programs' zinasaidia.
Mmh, inaelekea una maujanja ya hatari.
ha haaaaaa, babu, nimeshamwonea huruma miaka 13, kwa hiyo hakuna shida hapo
hakuna maujanja wala nini, basi tu labda mimi ndo ulikuwa ubavu wake sijui ndo maana hawezi kupata mwingine, lol!
hayo ya rehab ngoja nimwulize rafiki yangu BAK kuna siku aliwahi kuzungumzia kwenye uzi fulani kuwa kuna rehab za mateja, au sijui kama tumwulize MziziMkavu kama ataweza kusaidia
ha haaaaaa, mtu mzima mwenzangu siwezi kukulisha sumu....Poa sana,
Nakuaminia mkubwa mwenzangu....najua huwezi kutulisha sumu kama Mzee mwenzangu Mtambuzi...
Ila mhhhhhh....huyo anahitaji msaada haraka...
Asijekuwa kama mtoto wa tembo ambaye anakaa na mama yake hadi aoze ndiyo ajue kuwa kweli mama kafa!!
Babu DC!!
ha haaaaaaaa, babu unaogopa kupoteza wajukuuu? maana hapa akizikwa na mayai ndo basi tena idadi imeshapungua.Rehab zipo ila sina hakika kama hapa kwetu Bongo atapata sehemu ya maana,
Hata hivyo, msogeze kwenye Club yetu ya 1947 tuongee naye kidume dume....Ikishindikana tutampeleka VETA ya MMU...
He needs kukombolewa haraka kabla hajazikwa na mayai yote tumboni!
Babu DC!!
ha haaaaaaaa, babu unaogopa kupoteza wajukuuu? maana hapa akizikwa na mayai ndo basi tena idadi imeshapungua.
huyu bwana nimeshamuitia wazee kibao naona imeshindikana sijui, ila simkatii tamaa, rafiki ni bora kuliko mwanasesere, nitamuunganisha nawe babu labda lecture zako zitamwingia akilini