Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, Wewe Unazo?


Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
29,191
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
29,191 2,000
Wanabodi,
Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers"

"Powers" ndicho kitu kikubwa kabisa duniani kuliko kitu kingine chochote! . God is Power, yaani Mungu ni nguvu, hakuna kitu chochote kinachoonekana kwa macho kumhusu Mungu, bali ni powers zake tuu za mambo Mungu anayoyafanya ndizo zinazoonekana.
Chochote mtu atakachokiona kuhusu Mungu iwe ni kupitia Roho Mtakatifu au kupitia Malaika wake, it's just the manifestation of God's power kwa sababu God is a spirit of power ambazo zinafanya mambo mazuri, doing good.

Shetani pia ni power ya evil spirits inayofanya maovu, yale maumbo yote ya shetani yanayoelezewa kuonekana mara hivi mara vile pia ni just a manistation of that evil powers kujionyesha katika umbo lolote, hivyo shetani anaweza kuji manifest katika umbo lolote na kufanya jambo lolote hata jema kama kuponyesha kimuijiza ili kuwaaminisha watu kuwa ni kazi ya Mungu.

Powers ndio kila kitu. Watu wote wenye nguvu ni powers, spiritual powers kwa watu wa imani, political powers kwa wanasiasa, economical powers kwa matajiri, social powers kwa wenye vipaji mbalimbali. Everything thing is about powers na mafanikio yoyote katika kila kitu ni jinsi watu wanavyo master hizi powers.

Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni power ambayo ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo zikiwa zimejificha bila kujijua kuwa wanazo hizo nguvu.

Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao!.

Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza! kwa sababu uwepo wa nguvu hizi has nothing to do with religion but has everything to do with being.

Na sio binadamu tuu ndio wenye nguvu hizi bali ni viombe wote wana hizi special powers kwa kiwango chao na maisha ya viumbe hawa.

Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za "Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za Shetani" powers of the dark, evil spirits etc.

Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from within!". Hivyo hata usipotumia jina la Mungu au jina la Yesu na ukatumia neno jingine lolote lenye powers vibrations kuzifungulia nguvu hizi zilizo ndani yako, nguvu hizo hufunguka, ndio maana watu wa dini zote hutumia.

Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody". Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to act on you for you!.

"I know I can, be what I wanna be!"

Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga, "wazee wa busara", "watenda miujiza", "wafukuza mapepo" kwa kukusanya sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni "wizi mtupu", huku waumini wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea!.

Nguvu hizi zimegawanyika matika makundi mengi tofauti, hivyo nimekuwekea baadhi ya makundi hapa chini, just take your time kuyatambua, ujiangalie na wewe unazo nguvu zipi, ili sasa uzitumie nguvu hizo, to "make things happen!".

This is a list of psychic abilities that have been attributed to real-world people. These are also sometimes known as extrasensory perception or a sixth sense. Inclusion in this list does not imply scientific recognition of the existence of an ability. Superhuman abilities from fiction are not included.


Psychic Powers- Ni Nguvu za Kufanya Miujiza-Wengi Wanazo Bila Kujitambua!-Jee Wewe Unazo?!,
Take time kujitambua kuwa you have the powers,
Nitakusaidia website za kukuelekeza ufanye nini kuhusu hizo powers ulizo nazo zikuletee mafanikio!.
Watu wote wenye mafanikio, wameisha jitambua, ila wengi wanafanya siri!.

Hii ni fursa kwa wewe kujitambua, kuzitumia powers ulizo nazo, kubadili maisha yako!.

Karibu tujadiliane!.

Paskali

Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua.

World Religions
Traditions
Mysteries
What's New?
About
Abuse
Books
Bibliography
Contact
Credits
Copyrights
Donate
Downloads
FAQ
Links
Map
Press
Privacy
Search
Top Level
Terms of Service
Translate
Standards
Unicode
Volunteer
Wishlist
Catalog
African
Age of Reason
Alchemy
Americana
Ancient Near East
Astrology
Asia
Atlantis
Australia
Basque
Baha'i
Bible
Book of Shadows
Buddhism
Celtic
Christianity
Classics
Comparative
Confucianism
DNA
Earth Mysteries
Egyptian
England
Esoteric/Occult
Evil
Fortean
Freemasonry
Gothic
Gnosticism
Grimoires
Hinduism
I Ching
Islam
Icelandic
Jainism
Journals
Judaism
Legends/Sagas
Legendary Creatures
LGBT
Miscellaneous
Mormonism
Mysticism
Native American
Necronomicon
New Thought
Neopaganism/Wicca
Nostradamus
Oahspe
Pacific
Paleolithic
Parapsychology
Philosophy
Piri Re'is Map
Prophecy
Roma
Sacred Books of the East
Sacred Sexuality
Shakespeare
Shamanism
Shinto
Symbolism
Sikhism
Sub Rosa
Swedenborg
Tantra
Taoism
Tarot
Thelema
Theosophy
Time
Tolkien
UFOs
Utopia
Women
Wisdom of the East
Zoroastrianism
 
F

femus

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2013
Messages
276
Points
225
F

femus

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2013
276 225
Mkuu Amri kuu ni Upendo, kuna vitu havijaandikwa popote kuhusu source of power za Mungu au za Shetani!.

Hii n i tafsiri yangu binafsi.

  1. Wengi wanadhani kuwa Mungu ndio aliumba vitu vyote!, sii kweli, Mungu hakuumba vitu vyote!, bali ameumba dunia na vyote vilivyomo. Nje ya dunia, sio vyote!. Shetani yuko nje ya dunia!.
  2. Mwanzo wa Mungu, pia ndio huo huo mwanzo wa shetani!. Alikuwa ni 2nd in command akiwa 2nd with powers, mpaka leo mpaka kesho shetani ameondolewa tuu ile position ya 2nd in command but not his powers!.
  3. Mungu ni omnipotent na omnipresent, so does shetani!. Hivyo kwa vile Mungu ni power za mwanga (light) ukiwa nazo unaitwa "enlightened", na shetani pia ni power!, nguvu zake ni za giza "powers of darknes" kwa vile Mungu yupo ndani yetu, vivyo hivyo shetani yupo ndani yetu!. Ukitenda mema, ndio unatumia nguvu za Mungu, ukitenda maovu unatumia nguvu za shetani!.
  4. Mungu ana watumishi wake, mwanaye Yesu Kristo, Malaika na Roho Mtakatifu ambavyo vyote pia ni powers na ukitenda mema, huwakarinisha ndani yetu. Shetani pia anakundi lake la malaika wabaya, mapepo, majini, maruhani, liroho!.
  5. Ukimtumiakia Shetani, wenyeji wa mwili wako wanakuwa ni watumishi wa shetani, ndipo unaposikia fulani ana mashetani, majini, anatumia nguvu za giza!, wale watumishi wa Mungu, wanakukimbia!. Ukitumia nguvu za Mungu, watumishi wa shetani wanakumbia, na ndio hao mapepo wanaotolewa!. Kinachotolewa kwako ni watumishi tuu wa shetani au watumishi wa Mungu, sio Mungu mwenyewe wala sio shetani mwenyewe!.
Kwa maana hiyo vita vyote vya Mungu na shetani, vyote vinapigwana ndani yetu, Mungu is always there ila anayewakaribisha watu wake ni wewe kwa sababu Mungu yuko ndani yetu!. Na shetani pia yupo!, anayewakaribisha watu wake ni wewe mwenyewe!. Ukiwa imara katika Mungu, shetani hawezi kufanya kitu, hata wakuloge, hulogeki hata wakutupia majini, mapepom mashetani, hayawezi kukuingia!. Anayamkaribisha Shetani ni wewe, na anayemfukuza pia ni wewe regardless unatumia jina la nani!.
Pasco.
Pamoja sana mkuu!!! kuna mstari kwenye Bible unasema maneno haya yasitoke kinywani mwako Bali yatafakar mchana na usiku...sikumbiki vzru ni kitabu gani but ninachotaka kusema ni iv chochote unachokipa nafasi akilini mwako utaona matunda yake iwe ni meditation ya neno la Mungu au meditation nyingine lakini mwisho itakusaidia nini kuupata ulimwengu na kuikosa nafsi yako!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,295,408
Members 498,303
Posts 31,211,193
Top