Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, Wewe Unazo?

Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
29,122
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
29,122 2,000
Wanabodi,
Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers"

"Powers" ndicho kitu kikubwa kabisa duniani kuliko kitu kingine chochote! . God is Power, yaani Mungu ni nguvu, hakuna kitu chochote kinachoonekana kwa macho kumhusu Mungu, bali ni powers zake tuu za mambo Mungu anayoyafanya ndizo zinazoonekana.
Chochote mtu atakachokiona kuhusu Mungu iwe ni kupitia Roho Mtakatifu au kupitia Malaika wake, it's just the manifestation of God's power kwa sababu God is a spirit of power ambazo zinafanya mambo mazuri, doing good.

Shetani pia ni power ya evil spirits inayofanya maovu, yale maumbo yote ya shetani yanayoelezewa kuonekana mara hivi mara vile pia ni just a manistation of that evil powers kujionyesha katika umbo lolote, hivyo shetani anaweza kuji manifest katika umbo lolote na kufanya jambo lolote hata jema kama kuponyesha kimuijiza ili kuwaaminisha watu kuwa ni kazi ya Mungu.

Powers ndio kila kitu. Watu wote wenye nguvu ni powers, spiritual powers kwa watu wa imani, political powers kwa wanasiasa, economical powers kwa matajiri, social powers kwa wenye vipaji mbalimbali. Everything thing is about powers na mafanikio yoyote katika kila kitu ni jinsi watu wanavyo master hizi powers.

Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni power ambayo ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo zikiwa zimejificha bila kujijua kuwa wanazo hizo nguvu.

Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao!.

Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza! kwa sababu uwepo wa nguvu hizi has nothing to do with religion but has everything to do with being.

Na sio binadamu tuu ndio wenye nguvu hizi bali ni viombe wote wana hizi special powers kwa kiwango chao na maisha ya viumbe hawa.

Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za "Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za Shetani" powers of the dark, evil spirits etc.

Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from within!". Hivyo hata usipotumia jina la Mungu au jina la Yesu na ukatumia neno jingine lolote lenye powers vibrations kuzifungulia nguvu hizi zilizo ndani yako, nguvu hizo hufunguka, ndio maana watu wa dini zote hutumia.

Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody". Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to act on you for you!.

"I know I can, be what I wanna be!"

Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga, "wazee wa busara", "watenda miujiza", "wafukuza mapepo" kwa kukusanya sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni "wizi mtupu", huku waumini wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea!.

Nguvu hizi zimegawanyika matika makundi mengi tofauti, hivyo nimekuwekea baadhi ya makundi hapa chini, just take your time kuyatambua, ujiangalie na wewe unazo nguvu zipi, ili sasa uzitumie nguvu hizo, to "make things happen!".

This is a list of psychic abilities that have been attributed to real-world people. These are also sometimes known as extrasensory perception or a sixth sense. Inclusion in this list does not imply scientific recognition of the existence of an ability. Superhuman abilities from fiction are not included.

Psychic Powers- Ni Nguvu za Kufanya Miujiza-Wengi Wanazo Bila Kujitambua!-Jee Wewe Unazo?!,
Take time kujitambua kuwa you have the powers,
Nitakusaidia website za kukuelekeza ufanye nini kuhusu hizo powers ulizo nazo zikuletee mafanikio!.
Watu wote wenye mafanikio, wameisha jitambua, ila wengi wanafanya siri!.

Hii ni fursa kwa wewe kujitambua, kuzitumia powers ulizo nazo, kubadili maisha yako!.

Karibu tujadiliane!.

Paskali

Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua.

World Religions
Traditions
Mysteries
What's New?
About
Abuse
Books
Bibliography
Contact
Credits
Copyrights
Donate
Downloads
FAQ
Links
Map
Press
Privacy
Search
Top Level
Terms of Service
Translate
Standards
Unicode
Volunteer
Wishlist
Catalog
African
Age of Reason
Alchemy
Americana
Ancient Near East
Astrology
Asia
Atlantis
Australia
Basque
Baha'i
Bible
Book of Shadows
Buddhism
Celtic
Christianity
Classics
Comparative
Confucianism
DNA
Earth Mysteries
Egyptian
England
Esoteric/Occult
Evil
Fortean
Freemasonry
Gothic
Gnosticism
Grimoires
Hinduism
I Ching
Islam
Icelandic
Jainism
Journals
Judaism
Legends/Sagas
Legendary Creatures
LGBT
Miscellaneous
Mormonism
Mysticism
Native American
Necronomicon
New Thought
Neopaganism/Wicca
Nostradamus
Oahspe
Pacific
Paleolithic
Parapsychology
Philosophy
Piri Re'is Map
Prophecy
Roma
Sacred Books of the East
Sacred Sexuality
Shakespeare
Shamanism
Shinto
Symbolism
Sikhism
Sub Rosa
Swedenborg
Tantra
Taoism
Tarot
Thelema
Theosophy
Time
Tolkien
UFOs
Utopia
Women
Wisdom of the East
Zoroastrianism
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,234
Points
2,000
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,234 2,000
Ina maana sikuhizi majini hayawezi kutabiri tena. Yule mzee wenu mtabiri alikosea sio? We mwehu kweli!. Uache ku generolize. Tuliokuwepo bongo tunajua mengi. We piga kipya. Vipi sikuhizi madawa ya kulevya hayapiti nini?.wenzako wako jela wanaozea.
Teh teh teh.
what more can I say to a qurer.
Hio picha kwenye profile yako ni aibu kwa jamii yetu watanzania.
huyo Gay unamtangaza wa nini huku kwetu.?
au na wewe umo ktk wale wenye kufanya kampeni za hizi ndoa za jinsia moja zikubalike TZ.
Hio ni laana Miss shimba. achana nayo kabisa
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,234
Points
2,000
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,234 2,000
wewe mjinga nilidhani umeshanielewa.
Ukiwa racist ni Lazima uone aibu tu. Kwa mzungu Nongwa. Ila huoni aibu kuiga utamaduni wa kiarabu ambao ni incivilised and unclassical. Shame!.
kama kupinga ushoga ni kuwa Racist then I'm very proud to be one.
Gay business is a disease and I think you need to see a psychiatric ASAP Bummer.
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,234
Points
2,000
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,234 2,000
Huwezi kupinga ushoga kwa pointi za kipumbavu?!.
Andaa Uzk ujenge hoja zenye mashiko na sio za kipumbavu. Ili Watu wakuonyeshe upumbavu wako hadharani. Upumbavu sio mzigo kwa wengine kama ilivyokwako, unavyojivunia ni upumbavu wao waziwazi. Pia ueleze critically kwa kupitia sayansi ya kitabibu, na kijenetekia, race ya Mzungu (Caucasian) in relation to Hormosexualities.
Mie nitaeleza uhusiano ulipo kati ya Arabs na Uncivilised Arabic culture in depth.
Mashoga mna matatizo sana.
yaani unataka nianzishe Uzi na kuleta ushahidi wa Kisayansi kuonyesha USHOGA ni Jambo baya na halifai kwa jamii yetu?

Kafe na laana zako mbele huko kwa hao mabwana Zenu wazungu.
Tanzania USHOGA ni marufuku kwa Mujibu wa Sheria ya nchi yetu. nyie nyamafu tukiwakamata mtajuta kuhamia Tz.
peleka hizo laana zako huko Ulikotokea Kwa banyamulenge. na hio picha ya huyo Shoga wa kizungu kwenye Profile yako anatuletea nuksi humu.
Nyamafu wahedi.
 
mavado

mavado

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2014
Messages
1,176
Points
2,000
Age
73
mavado

mavado

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2014
1,176 2,000
Husika na kichwa cha habari, nahitaji kujua, kujifunza nguvu za Machale,
Kwa yeyote mwenye elimu hii au kitabu kinachoweza kunifunza haya, Tafadhali saidia hapa.
 
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Messages
6,052
Points
2,000
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2018
6,052 2,000
Wewe unamiliki jinsia ipi?
Nenda kamuulize Mchungaji wako Gwajima.
yeye si ana uwezo wa kufufua wafu na kutabiri matokeo ya uchaguzi kuwa Chadema wangechukua nchi?
unamuuliza Pascal Kwani yeye kadai Anaona kesho?

mnfuuuuuuu!
 
S

spongaa

Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
13
Points
45
S

spongaa

Member
Joined Oct 26, 2018
13 45
Kuna mengi ya kufanya lakini nakupa basics kwanza ukifaulu hii hatua ya kwanza nijulishe

Hapo ulipo tafuta Sehemu kimya na utulivu kwa kwenye kiti au jamvi usikunje mgongo weka mikono mapajani kwa kurelax au lala chali kwa kulerax fumba macho halafu anza kuhesabu pumzi

Ili inhale hesabu moja uki exhale mbili endelea na mchakato huo, utaona utakapoanza tu kuhesabu yatakuja mambo kibao utakumbuka mambo ya jana, mipango ya kesho changamoto zako yaani matukio yatakuja kama mkanda wa sinema

Unachotakiwa kufanya ni kustick kwenye pumzi tu, hayo matukio yanayopita ndio takataka zilizojaa kwenye bongo yako

Pia kuna kitu kinaitwa empty meditation: hii unakaa kwakurelax na kuangalia ukuta tu usifikirie chochote zaidi ya kuuangalia huo ukuta, utajikuta huoni ukuta bali unaona mawazoni yako, chanamoto zako mipango yako madeni yako nk nk nk
aya yote ndio takataka zilizojaa kwenye ubongo, Kwahiyo zinacompress mind na kuifanya ishindwe kufanya kazi sawasawa

Unachotakiwa kufanya uwapo kwenye breathing au empty meditation ni kufocus tu kwenye kile ukifanyacho kwa Wakati huo kila kinachojaribu kuja kwenye mind unakifukuza na kurudi kwenye concentration yako ni kazi ngumu mno kutaka kuistation mind kwenye kitu kimoja kwa Wakati mmoja but with serious practice utaona mabadiliko. ...ukiiweza hatua hii ya kwanza nijulishe tuendelee
Duu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chama mpangala

chama mpangala

Member
Joined
Sep 3, 2015
Messages
95
Points
125
chama mpangala

chama mpangala

Member
Joined Sep 3, 2015
95 125
Wanabodi,
Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers"

"Powers" ndicho kitu kikubwa kabisa duniani kuliko kitu kingine chochote! . God is Power, yaani Mungu ni nguvu, hakuna kitu chochote kinachoonekana kwa macho kumhusu Mungu, bali ni powers zake tuu za mambo Mungu anayoyafanya ndizo zinazoonekana.
Chochote mtu atakachokiona kuhusu Mungu iwe ni kupitia Roho Mtakatifu au kupitia Malaika wake, it's just the manifestation of God's power kwa sababu God is a spirit of power ambazo zinafanya mambo mazuri, doing good.

Shetani pia ni power ya evil spirits inayofanya maovu, yale maumbo yote ya shetani yanayoelezewa kuonekana mara hivi mara vile pia ni just a manistation of that evil powers kujionyesha katika umbo lolote, hivyo shetani anaweza kuji manifest katika umbo lolote na kufanya jambo lolote hata jema kama kuponyesha kimuijiza ili kuwaaminisha watu kuwa ni kazi ya Mungu.

Powers ndio kila kitu. Watu wote wenye nguvu ni powers, spiritual powers kwa watu wa imani, political powers kwa wanasiasa, economical powers kwa matajiri, social powers kwa wenye vipaji mbalimbali. Everything thing is about powers na mafanikio yoyote katika kila kitu ni jinsi watu wanavyo master hizi powers.

Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni power ambayo ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo zikiwa zimejificha bila kujijua kuwa wanazo hizo nguvu.

Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao!.

Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza! kwa sababu uwepo wa nguvu hizi has nothing to do with religion but has everything to do with being.

Na sio binadamu tuu ndio wenye nguvu hizi bali ni viombe wote wana hizi special powers kwa kiwango chao na maisha ya viumbe hawa.

Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za "Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za Shetani" powers of the dark, evil spirits etc.

Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from within!". Hivyo hata usipotumia jina la Mungu au jina la Yesu na ukatumia neno jingine lolote lenye powers vibrations kuzifungulia nguvu hizi zilizo ndani yako, nguvu hizo hufunguka, ndio maana watu wa dini zote hutumia.

Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody". Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to act on you for you!.

"I know I can, be what I wanna be!"

Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga, "wazee wa busara", "watenda miujiza", "wafukuza mapepo" kwa kukusanya sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni "wizi mtupu", huku waumini wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea!.

Nguvu hizi zimegawanyika matika makundi mengi tofauti, hivyo nimekuwekea baadhi ya makundi hapa chini, just take your time kuyatambua, ujiangalie na wewe unazo nguvu zipi, ili sasa uzitumie nguvu hizo, to "make things happen!".

This is a list of psychic abilities that have been attributed to real-world people. These are also sometimes known as extrasensory perception or a sixth sense. Inclusion in this list does not imply scientific recognition of the existence of an ability. Superhuman abilities from fiction are not included.

Psychic Powers- Ni Nguvu za Kufanya Miujiza-Wengi Wanazo Bila Kujitambua!-Jee Wewe Unazo?!,
Take time kujitambua kuwa you have the powers,
Nitakusaidia website za kukuelekeza ufanye nini kuhusu hizo powers ulizo nazo zikuletee mafanikio!.
Watu wote wenye mafanikio, wameisha jitambua, ila wengi wanafanya siri!.

Hii ni fursa kwa wewe kujitambua, kuzitumia powers ulizo nazo, kubadili maisha yako!.

Karibu tujadiliane!.

Paskali

Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua.

World Religions
Traditions
Mysteries
What's New?
About
Abuse
Books
Bibliography
Contact
Credits
Copyrights
Donate
Downloads
FAQ
Links
Map
Press
Privacy
Search
Top Level
Terms of Service
Translate
Standards
Unicode
Volunteer
Wishlist
Catalog
African
Age of Reason
Alchemy
Americana
Ancient Near East
Astrology
Asia
Atlantis
Australia
Basque
Baha'i
Bible
Book of Shadows
Buddhism
Celtic
Christianity
Classics
Comparative
Confucianism
DNA
Earth Mysteries
Egyptian
England
Esoteric/Occult
Evil
Fortean
Freemasonry
Gothic
Gnosticism
Grimoires
Hinduism
I Ching
Islam
Icelandic
Jainism
Journals
Judaism
Legends/Sagas
Legendary Creatures
LGBT
Miscellaneous
Mormonism
Mysticism
Native American
Necronomicon
New Thought
Neopaganism/Wicca
Nostradamus
Oahspe
Pacific
Paleolithic
Parapsychology
Philosophy
Piri Re'is Map
Prophecy
Roma
Sacred Books of the East
Sacred Sexuality
Shakespeare
Shamanism
Shinto
Symbolism
Sikhism
Sub Rosa
Swedenborg
Tantra
Taoism
Tarot
Thelema
Theosophy
Time
Tolkien
UFOs
Utopia
Women
Wisdom of the East
Zoroastrianism
Nimevutiwa sana na hii Elimu! Mm huwaga kuna jambo laweza nijia kichwani kuwa kuna kitu kitatokea lakini nikiliongea tu kwa kumpa mtu taarifa kuwa hapo kuna kuna kitu kitatokea basi hicho kitu hakiwezi tokea! Ila nisiposema au kumwambia mtu basi linatokea!

Pia naweza nikaota jambo fulani lakini nisilikumbuke ila baada ya muda fulani likatokea na nikawa nakumbuka kuwa hili jambo nilishaliota leo limetokea kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiunzi

kiunzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2018
Messages
238
Points
250
kiunzi

kiunzi

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2018
238 250
Mh hapa sasa ndio penyewe nimekua nikifanya kitu nahisi kama kuna siku nilishakifanya lakin tatizo sikumbuki ni wapi na lini kwa mfano naweza kukutana na mtu popote pale iwe njiani au kwenye gari na tukianza kupiga piga stori nakuwa kama napata picha ya hayo tunayozungumzia yalishapita lakini kiuhalisia haijawahi kutokea, hapa nitakua katika kundi gani mkuu Pasco
Jifunze meditation kwanza utasafisha ubongo wako ,unaweza baadae ukaanzia kwenye ndoto zako unazo ziota usiku kuzikumbuka na kuzilinganisha na mawazo yako unayo waza na hali halisi inayo kuzunguka na mambo uliyopanga ama unayotaka kufanya ,endelea kufanya meditation tu, utagundua kitu chochote ambacho kitakuwa msaada na muongozo kwako ,utashangaa!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiunzi

kiunzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2018
Messages
238
Points
250
kiunzi

kiunzi

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2018
238 250
Siyo kweli,
hizi ni akili za wahashi huru! kumwambia mtu kuwa aamini kuwa hata kama huamini hakuna Mungu unaweza kufanya muujiza hakuna kitu kama hicho!
nijuavyo mimi anayeweza kufanya miujiza ni lazima aamini upande mmoja wa shilingi either Mungu au shetani tofauti na hapo hakuna muujiza wowote, hata vitabu vya dini vimethibitisha uwepo wa nguvu nyingine kutoka upande wa pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Foggo

Foggo

Member
Joined
Jan 3, 2019
Messages
13
Points
45
Foggo

Foggo

Member
Joined Jan 3, 2019
13 45
Mkuu Paschal nakusoma vyema! 1 question ukiconc ukutani ama pumzi kwa muda gn?na wkt gn mzuri hasa? asbh ama jio
 
F

femus

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2013
Messages
275
Points
225
F

femus

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2013
275 225
Mkuu pasco, unanifanya naconcentrate kupita kiasi.

Mimi kuna wakati naamini kuwa sisi (binadamu) ni miungu pia, kwa sababu katika kitabu cha Mwanzo kinaelezea kuwa tumeumbwa kwa mfano wa mungu (from this point we ar just a copy) then if yo go to Luke chapter 17 smthing like 21st vers anasema "and thy kingdom of God is within you"

Na ukifuatilia mazungumzo ya Yesu as u ve be tryn to show us alikuwa anademand "Imani" ilifika mahali akasema kama ukiwa na imani hata kama chembe ya haradani unaweza kuambia huu mlima ung'oke ukajitose katika kilindi cha bahari.

Huwa nataka nijue ni vitu gani hasa vinaweza kukufanya imani yako ikakua??
Imani huja kwa kusikia na kuelewa neno la Mungu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,293,773
Members 497,735
Posts 31,153,050
Top