Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, Wewe Unazo?


Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
29,122
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
29,122 2,000
Wanabodi,
Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers"

"Powers" ndicho kitu kikubwa kabisa duniani kuliko kitu kingine chochote! . God is Power, yaani Mungu ni nguvu, hakuna kitu chochote kinachoonekana kwa macho kumhusu Mungu, bali ni powers zake tuu za mambo Mungu anayoyafanya ndizo zinazoonekana.
Chochote mtu atakachokiona kuhusu Mungu iwe ni kupitia Roho Mtakatifu au kupitia Malaika wake, it's just the manifestation of God's power kwa sababu God is a spirit of power ambazo zinafanya mambo mazuri, doing good.

Shetani pia ni power ya evil spirits inayofanya maovu, yale maumbo yote ya shetani yanayoelezewa kuonekana mara hivi mara vile pia ni just a manistation of that evil powers kujionyesha katika umbo lolote, hivyo shetani anaweza kuji manifest katika umbo lolote na kufanya jambo lolote hata jema kama kuponyesha kimuijiza ili kuwaaminisha watu kuwa ni kazi ya Mungu.

Powers ndio kila kitu. Watu wote wenye nguvu ni powers, spiritual powers kwa watu wa imani, political powers kwa wanasiasa, economical powers kwa matajiri, social powers kwa wenye vipaji mbalimbali. Everything thing is about powers na mafanikio yoyote katika kila kitu ni jinsi watu wanavyo master hizi powers.

Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni power ambayo ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo zikiwa zimejificha bila kujijua kuwa wanazo hizo nguvu.

Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao!.

Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza! kwa sababu uwepo wa nguvu hizi has nothing to do with religion but has everything to do with being.

Na sio binadamu tuu ndio wenye nguvu hizi bali ni viombe wote wana hizi special powers kwa kiwango chao na maisha ya viumbe hawa.

Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za "Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za Shetani" powers of the dark, evil spirits etc.

Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from within!". Hivyo hata usipotumia jina la Mungu au jina la Yesu na ukatumia neno jingine lolote lenye powers vibrations kuzifungulia nguvu hizi zilizo ndani yako, nguvu hizo hufunguka, ndio maana watu wa dini zote hutumia.

Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody". Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to act on you for you!.

"I know I can, be what I wanna be!"

Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga, "wazee wa busara", "watenda miujiza", "wafukuza mapepo" kwa kukusanya sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni "wizi mtupu", huku waumini wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea!.

Nguvu hizi zimegawanyika matika makundi mengi tofauti, hivyo nimekuwekea baadhi ya makundi hapa chini, just take your time kuyatambua, ujiangalie na wewe unazo nguvu zipi, ili sasa uzitumie nguvu hizo, to "make things happen!".

This is a list of psychic abilities that have been attributed to real-world people. These are also sometimes known as extrasensory perception or a sixth sense. Inclusion in this list does not imply scientific recognition of the existence of an ability. Superhuman abilities from fiction are not included.


Psychic Powers- Ni Nguvu za Kufanya Miujiza-Wengi Wanazo Bila Kujitambua!-Jee Wewe Unazo?!,
Take time kujitambua kuwa you have the powers,
Nitakusaidia website za kukuelekeza ufanye nini kuhusu hizo powers ulizo nazo zikuletee mafanikio!.
Watu wote wenye mafanikio, wameisha jitambua, ila wengi wanafanya siri!.

Hii ni fursa kwa wewe kujitambua, kuzitumia powers ulizo nazo, kubadili maisha yako!.

Karibu tujadiliane!.

Paskali

Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua.

World Religions
Traditions
Mysteries
What's New?
About
Abuse
Books
Bibliography
Contact
Credits
Copyrights
Donate
Downloads
FAQ
Links
Map
Press
Privacy
Search
Top Level
Terms of Service
Translate
Standards
Unicode
Volunteer
Wishlist
Catalog
African
Age of Reason
Alchemy
Americana
Ancient Near East
Astrology
Asia
Atlantis
Australia
Basque
Baha'i
Bible
Book of Shadows
Buddhism
Celtic
Christianity
Classics
Comparative
Confucianism
DNA
Earth Mysteries
Egyptian
England
Esoteric/Occult
Evil
Fortean
Freemasonry
Gothic
Gnosticism
Grimoires
Hinduism
I Ching
Islam
Icelandic
Jainism
Journals
Judaism
Legends/Sagas
Legendary Creatures
LGBT
Miscellaneous
Mormonism
Mysticism
Native American
Necronomicon
New Thought
Neopaganism/Wicca
Nostradamus
Oahspe
Pacific
Paleolithic
Parapsychology
Philosophy
Piri Re'is Map
Prophecy
Roma
Sacred Books of the East
Sacred Sexuality
Shakespeare
Shamanism
Shinto
Symbolism
Sikhism
Sub Rosa
Swedenborg
Tantra
Taoism
Tarot
Thelema
Theosophy
Time
Tolkien
UFOs
Utopia
Women
Wisdom of the East
Zoroastrianism
 
Wick

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
7,676
Points
2,000
Wick

Wick

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2012
7,676 2,000
Superpowers sio za kupublicize au kushow off, huwezi mwamini mtu au jua wanataka wakutumieje, maybe wanakutega, as many people don't officially believe in it ndo maana inakuwa ni undercover, na ndo maana people with powers wanajidistance away from people au hawainteract sana na watu.
Aina gani ya fantasy unayotumia kufikiri!?..
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
29,122
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
29,122 2,000
Now you are talking about something different all together P.

kwanza ulianza kuleta habari za jicho la nne sasa unaongelea habari tofauti kabisa.

Nadhani utakuwa umekubaliana na Mimi kuwa HAKUNA MTU mwenye uwezo wa kuona kesho wala kuona YALIOJIFICHA.

Huu ni uongo na utapeli wa kitoto kabisa.
Astrology ni sehemu ndogo tuu za haya mambo and it's not something else.

Mimi nimesoma na kuleta humu nilichoelewa na experience yangu na mambo ya powers, kuniita muongo sio kunitendea haki, haya ni mambo ya Imani, faith, ukiamini, these powers will work for you, usipoamini, they don't, it's the same kama religious beliefs, wengine wanaamini Yesu ni Mungu, na wengine wanaona ni uongo, kwamba Yesu sii Mungu. Kumwambia muumini wa Yesu ni Mungu kuwa ni muongo, sio kunitendea haki. The same applies kwa wanaoamini kuwa hakuna Mungu isipokuwa Allah na Mohamed SAW ni Mtume wake, ukiwaambia ni uongo, sio kuwatendea haki.

Nimeleta nilichosoma na nilichoona, na wewe be free kukikosoa kilichosemwa na sio kuniita mimi muongo.


P
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,234
Points
2,000
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,234 2,000
Pascal unaleta a lot of Contradictions kwa maneno yako mwenyewe.

Mwanzo Uzi umeuita "PSYCHIC POWER"
Kisha ukadai ni Somo la ASTROLOGY.
Now unasema ni "IMANI" kama Uislamu au Ukristo na kama huna Imani huwezi kuwa na hizo Nguvu.
Unaona unavyotuchanganya?

halafu wadau wengi nikiwemo Mimi nimekuuliza UTUTAJIE MTU MMOJA TU mwenye NGUVU hizo za kuona KESHO.
Badala ya kututajia jina unataja majina ya vitabu na Conspiracy theories za 9/11 and so on ambazo HAZINA UKWELI WOWOTE.

Naomba kurudia swali.

Kwasababu wewe ndio muanzilishi wa Uzi huu Tunaomba ututajie MTU MMOJA TU ANAEJULIKANA mwenye Nguvu hizo unazozitaja.
tafadhali Usinambie shehe Yahya (marehemu) na watu wa namna hio.

hawana uwezo wwt wa kuona Kesho au chochote kilichojificha.
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
29,122
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
29,122 2,000
Pascal unaleta a lot of Contradictions kwa maneno yako mwenyewe.

Mwanzo Uzi umeuita "PSYCHIC POWER"
Kisha ukadai ni Somo la ASTROLOGY.
Now unasema ni "IMANI" kama Uislamu au Ukristo na kama huna Imani huwezi kuwa na hizo Nguvu.
Unaona unavyotuchanganya?

halafu wadau wengi nikiwemo Mimi nimekuuliza UTUTAJIE MTU MMOJA TU mwenye NGUVU hizo za kuona KESHO.
Badala ya kututajia jina unataja majina ya vitabu na Conspiracy theories za 9/11 and so on ambazo HAZINA UKWELI WOWOTE.

Naomba kurudia swali.

Kwasababu wewe ndio muanzilishi wa Uzi huu Tunaomba ututajie MTU MMOJA TU ANAEJULIKANA mwenye Nguvu hizo unazozitaja.
tafadhali Usinambie shehe Yahya (marehemu) na watu wa namna hio.

hawana uwezo wwt wa kuona Kesho au chochote kilichojificha.
Hakuna contradiction yoyote, hiyo astrology ipo kwenye links nilizokuwekea, jina la mtu nimekupa Uri Geller,
Links nyingine ni hizi na astrology ipo

Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua.

World Religions
Traditions
Mysteries
What's New?
About
Abuse
Books
Bibliography
Contact
Credits
Copyrights
Donate
Downloads
FAQ
Links
Map
Press
Privacy
Search
Top Level
Terms of Service
Translate
Standards
Unicode
Volunteer
Wishlist
Catalog
African
Age of Reason
Alchemy
Americana
Ancient Near East
Astrology
Asia
Atlantis
Australia
Basque
Baha'i
Bible
Book of Shadows
Buddhism
Celtic
Christianity
Classics
Comparative
Confucianism
DNA
Earth Mysteries
Egyptian
England
Esoteric/Occult
Evil
Fortean
Freemasonry
Gothic
Gnosticism
Grimoires
Hinduism
I Ching
Islam
Icelandic
Jainism
Journals
Judaism
Legends/Sagas
Legendary Creatures
LGBT
Miscellaneous
Mormonism
Mysticism
Native American
Necronomicon
New Thought
Neopaganism/Wicca
Nostradamus
Oahspe
Pacific
Paleolithic
Parapsychology
Philosophy
Piri Re'is Map
Prophecy
Roma
Sacred Books of the East
Sacred Sexuality
Shakespeare
Shamanism
Shinto
Symbolism
Sikhism
Sub Rosa
Swedenborg
Tantra
Taoism
Tarot
Thelema
Theosophy
Time
Tolkien
UFOs
Utopia
Women
Wisdom of the East
Zoroastrianism

P
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,234
Points
2,000
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,234 2,000
Teh teh teh teh.
Ndugu Pasco I can see the sign of desperation here.
who the heck is Uri Geller?

If I told you Van Helsinki can talk to animals would you buy that?

Nimeomba jina la mtu ANAEJULIKANA ktk Ulimwengu wetu wa JF. Hivi leo Mtanzania yupi wa kwenye Jukwaa letu hili anamjua huyo Uri Geller.?

Come on now mwanawane. Don't let me down.
Jina moja tu la mtu tunaemjua Pascal.

au bora ubaki na Ile kauli yako ya mwisho kuwa HIZI NI IMANI TU na Hakuna UHALISIA WWT.
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
29,122
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
29,122 2,000
Teh teh teh teh.
Ndugu Pasco I can see the sign of desperation here.
who the heck is Uri Geller?

If I told you Van Helsinki can talk to animals would you buy that?

Nimeomba jina la mtu ANAEJULIKANA ktk Ulimwengu wetu wa JF. Hivi leo Mtanzania yupi wa kwenye Jukwaa letu hili anamjua huyo Uri Geller.?

Come on now mwanawane. Don't let me down.
Jina moja tu la mtu tunaemjua Pascal.

au bora ubaki na Ile kauli yako ya mwisho kuwa HIZI NI IMANI TU na Hakuna UHALISIA WWT.
Naomba tuumalize huu mjadala kwa kukubaliana kutokubaliana, mimi nikisisitiza Will Powers ndio kila kitu na unaweza kufanya kila kitu, ikiwemo kuiona kesho, wewe amini huu ni uongo, maisha yaendelee.
P
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,234
Points
2,000
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,234 2,000
Naomba tuumalize huu mjadala kwa kukubaliana kutokubaliana, mimi nikisisitiza Will Powers ndio kila kitu na unaweza kufanya kila kitu, ikiwemo kuiona kesho, wewe amini huu ni uongo, maisha yaendelee.
P
Very well Pascal.
salute for this conclusion.
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
29,122
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
29,122 2,000
Mimi shemeji yako upande gani Pascal
manake sisi tuko wanamme 10 na hakuna Dada kwetu.
Shemeji kwa kwenu mlikotoka, ndipo mimi hufikia.
Hili la ushemeji naomba liishie hapa, lisije likaibua mengine na kuchafua hali ya hewa.
P
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,234
Points
2,000
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,234 2,000
*Ukitaka kujua Tanzania hatuna waganga na hawa wanaojiita PSYCHICS wanaodai wanaona kesho bali matapeli tupu ndio kipindi hiki sasa,,, yaani kuna dau hadi la billion 1 lakini wamenyamaza kimyaaaa, kama hawajasikia ...... Kazi kutumalizia kuku tuu!!*
Mfyuuuu!!!
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
29,122
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
29,122 2,000
*Ukitaka kujua Tanzania hatuna waganga na hawa wanaojiita PSYCHICS wanaodai wanaona kesho bali matapeli tupu ndio kipindi hiki sasa,,, yaani kuna dau hadi la billion 1 lakini wamenyamaza kimyaaaa, kama hawajasikia ...... Kazi kutumalizia kuku tuu!!*
Mfyuuuu!!!
Kiukweli nimecheka mwenyewe asubuhi subuhi, haswa hii hoja ya "kazi kutumalizia kuku tuu".

Ila kiukweli, matukio kama haya yanafanya kuzitafakari sana hizi powers, kama ni kweli watu wenye kuweza ku open a third eye na kuona chochote, na popote, baada ya kutangazwa bingo ya Mo, kwa nini wasifungue Hilo jicho na kuingia chimbo la mahali Mo alipo?.

Watu wenye uwezo wa out of body kwa astra travel, kwa nini wasisafiri kutuonyesha alipo?.

Watu wenye telepathy, kwa nini wasiwasiliane nae na kutueleza hali yake?.
Wenye Remote viewing - Wikipedia
Wamtazame wamuone alipo.
Vipi kuhusu
Divination - Wikipedia
Clairvoyance - Wikipedia
Psychometry (paranormal) - Wikipedia
Scrying - Wikipedia
P
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,234
Points
2,000
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,234 2,000
Kwahiyo Bwana Pascal Mayalla: na wewe unatilia mashaka
(i)uwezo huo au
(ii)uwepo wa watu wenye uwezo huo?.

Third Eye ni kitu gani mkuu. Naomba ufafanuzi kwa mapana yake.
Nenda kamuulize Mchungaji wako Gwajima.
yeye si ana uwezo wa kufufua wafu na kutabiri matokeo ya uchaguzi kuwa Chadema wangechukua nchi?
unamuuliza Pascal Kwani yeye kadai Anaona kesho?

mnfuuuuuuu!
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,234
Points
2,000
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,234 2,000
Kwanza uwe unachagua na uzi wa kubwabwaja. Mie nimekusoma huko juu kuna vitu nilikua nikukosoe na vingine nikubaliane na wewe, lakini nikajua huu Uzi sio mahali pake.


Q. Umesahau siku moja kabla ya kupiga kura, waislamu nchi nzima mlitangaziwa mumpigie kura Lowasa na sio CCM?.

Ukimuondoa Gwajima kuna Kanisa la wakristo lingine walilothubutu kufanya maigizo hayo?.

Basi Inawezekana ulikua bado ughaibuni ukisubiria zamu yako ya kujilipua. Tena utushukuru sana. Kama sio hizi forum kukufungua akili na ulivyo fanatic, sasa hivi ungeshakua umelipuka zamani sana. You have survived to tell the tale... Ha ha ha.
unasahau umesahau. mavi ya bata.
teh teh teh.

nionyeshe wapi Waislamu WALITABIRI CHADEMA watashinda. wacha kuniletea mashairi mgalatia.

Ni nyie wakorintho ndio kazi kuwaibia watu kila siku kwa kujipa utume na unabii.
yule wa Padri wako Joshua aliua wagalatia wenzako mamia ati anawapeleka Mbinguni.

Yule wa Kenya anasema wagalatia wa kike wasivae chupi na sidiria ili bwana awaingie vizuri.
Hizi Laana mtaziacha lini nyie viumbe?
 

Forum statistics

Threads 1,293,773
Members 497,735
Posts 31,153,050
Top