Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,311
- 4,018
Hauwezi niambia there is a limit katika universe and beyond. Kuna limit pale endapo fikra yako itaomba poo au pale resources zako hazitakufikisha zaidi na zaidi (limited resources).
Labda waliweza kudedicate muda wao wote katika kutathmini uwepo wao na kwenda beyond uwezo wao wa kawaida thus wakaweza kuwa extra-ordinary.
Labda walikuwa chosen na the "higherpower" na wakaweza kuwa granted na power, energy na uwezo ambavyo havipo ndani yetu sisi wengine mabilioni ya watu duniani.
Kama tunaamini kuna laana, kama tunaamini kuna uchawi, kama tunaamini kuna roho mtakatifu, kama tuna kunatokeaga "an act super humanism" (mfano unaweza kimbizwa na mbwa kichaa mkali na ukashangaa unaruka ukuta mrefu ambao ukija kurudia kuruka haufanikiwi kabisa).
Kama tunaamini Jacob aliweza kushindana na mwanaume ambae sio wa kawaida (mwenye uwezo ulio wa kimbingu) licha ya kumvunja Jacob uvungu wa paja bado mwanaume yule alimpa heshima yake kuwa ameweza kupigana na Mungu kitu ambacho wengine duniani hawawezi.
Sasa unakaa unajiuliza inakuwaje mtu mwenye divine powers anashindwa na mtu wa kawaida duniani.
Je, Jacob aliweza ku-unlock prowess ambayo sio ya kawaida hadi kupigana mieleka na a divine power?
Au Jacob alikuwa chosen na "the higherpower" tokea akiwa tumboni ndio maana hata ikawa rahisi hadi kumuibia pacha mwenzake Esau zile baraka na ukuu wa mtoto wa kwanza kuzaliwa.
Inafikirisha sana ndugu zangu, kwamba 1% ya watu duniani ina control 99% percent ya sisi wengine.
Inafikirisha ndugu zangu kuwa kuna wakujiita manabii wana powers za kufanyia watu miujiza.
Inafikirisha sana ndugu zangu pale watu walio wakajituma sana na waaminifu ila bado wamebaki katika nafasi hio hio huku wakinung'unika.
DUNIA NI FUMBO KWA SISI WENGINE ILA KWA WENGINE DUNIA JAWABU.