PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

Status
Not open for further replies.
Mashirika hayo ya umma yanaongoza kwa udini...huku serikali ikiwa kimya....je hii ni sawa kweli? Ukiomba kazi kama jina lako sio john au magdalena hupati kazi hapo...tunaomba serikali ilifanyie kazi suala hili................

Angalia kwenye ngazi ya elimu.... msio akina Magdalena au John taasisi zenu zina vyuo vikuu vingapo? Sekondari za kueleweka ngapi?
 
Mleta mada tunaomba CV yako ili tujue kama hujaajiriwa kwa sababu ya dini au uwezo mdogo
 
Hivi watangazaji wa tv hasa hizi kubwa(itv,star tv,chanel 10 na tbc) hazinaga watangazaji wakike waislam? Sijawah ona mwanamke kajistr anasoma taarifa ya habari, au vigezo na mashart haviruhusu?
 
uchaguzi ukikaribia utasikia wachaga wabaya dini flani mbaya alimradi escrow wapite
 
Hamtumikii dini hamtumikii vyama bali mnatumikia watu corrrupt kwa maslahi yao mtakuja jilipua wenzenu wanamahekalu na wanagida mvinyo kama kawa
 
Kaanzisha uzi huu kuujibu uzi unaousema nssf
 
kasumba za kipuuz ili hali watu wamesema ukweli??

then mlivyo na roho mbaya mkiona mahali kuna mkurugenz muislam tuh kama nssf lazima muanze kumwaga povu,

watu wa hovyo kabisa

Wewe jamaa ni mdini kupita kiasi. Inaonekana ni mvaa pedo uliyekubuhu.
 
Hawakuzoea kuziona hijabu humo maofisini.

Walizoea kuona misalaba tu shingoni na nyimbo za dini i.e kwaya zikirindima kwenye desktops zao.

Zinawakera kweli kweli hizo hijaabu.

Wavumilie tuuu nchi hii yetu sooote.

Kanisa katoliki haina milk ya taifa hili.

Umenikumbusha kaka
Ofisi ninayofanyia kazi (ya uma) ilizoea kuwekwa nyimbo za kwaya, siku moja nikaamua kuweka qaswida nikaambiwa naeleta udini ofsini, ila baada ya hapo nao wakaacha kuweka kwaya zao

Siku nyingine bosi(mkristo) kakurupuka-kwikwete mdini sana kila mahali kajaza waislam, nikamwomba tufanye sensa kuanzia ofsni kwetu wao wakawa wengi zaidi ya aslimia 75, mawazir wakawa wengi, wakuu wa mikoa wakawa pia wengi...mwishowe akawa hana la kusema

Udini tu huu, hawa jamaa hawatupendi kabsa waislam
 
me nawashangaa sana hawa jamaa,

sijui huwa wanadhani kwamba hii nchi ni ya kwao pekeyao???

Unajua yule kafir nyerere aliwazoesha vibaya sana hawa jamaa.

Kias kwamba hadi wakawa wanafikia hatua ya kujiona kwamba wao ni first class citizen ndan ya taifa hili na wao ndio wanaodeserve kukalia hizo ofc za umma,

cha ajabu basi wamekali hizo ofc miaka zaid ya 50 hamsin sasa huku wakijiita wasomi,

hakuna wanachofanya nchi inazid kuwa maskin na wao wamekalia wizi na ufisadi tuh

hakuna wanachokijua zaid ya hicho,

watu wa ajabu sana

sadakta
 
Kuna dini inapewa hadi ruzuku (mou), na nyingine haipewi. Kwa hali hiyo kweli wataacha kuwa wengi mashuleni na maofsn?

Usisahau benki zao pia zinatumika kutakatisha fedha haram.

Mtaishia hvhv, kweli udini si mzuri lakin jitahidin kusoma sana
 
kanisa katoliki ndio wanaongoza hii nchi mkuu tuwe wavumilivu yataisha haya
 
kabisa kabisa

na hilo tumeliona hapa majuz,

we si umeona ile list ya watu waliovuna mabillion ya ile pesa ya escrow??

woote ni wao tuh,

tena hadi maaaskofu wao sasa wameingia uwanjani,,

mimi nakuambia umaskin wa taifa hili kanisa katoliki lina husika kwa kias kikubwa kabisa

wamelifilisi taifa hili

Ni kweli mkuu, tena tuna rais kiazi kwel kwel, maana na yy ni mkristo.
 
M2 anapoanzisha mada husijibu kulingana na upeo wake
Bali jibu kwa kuelimisha kwa wanaosoma uzi uu niwakiristo na waislamu kwani majibu mabovu ndio sababu ya vita ya utu na tutsi kutokukudhi matakwa ya jamii Fulani kwa kuwa in Fulani

Jibu kwa kutumia akili
 
Naona mtoa mada kuna kitu anataka kutueleza kuhusu Nssf, kama kuna shirika lenye udini kuliko yote Tanzania basi ni nssf, hadi inatia aibu.
 
Vipi kuhusu NSSF

Muanzisha uzi yuko smart, alijua utaingia kichwakichwa, na kweli wengi mumeingia! Hongera sana muanzisha uzi. Msingi mkuu wa uzi huu ni je kama NSSF ina udini, je kwingine je? Hapa imethibitika kuwa kumbe Udini hauko nssf pekee, kumbe left wing ni wadini zaid kwan taasis ni zaid ya moja zenye udini wakat right wing ni taasis moja tu.
 
Mashirika hayo ya umma yanaongoza kwa udini...huku serikali ikiwa kimya....je hii ni sawa kweli? Ukiomba kazi kama jina lako sio john au magdalena hupati kazi hapo...tunaomba serikali ilifanyie kazi suala hili................

Mbona huzungumzii yale majina ya ESCROW maana kule mpaka wachungaji., maaskofu na mapadri wamo!
 
kasumba za kipuuz ili hali watu wamesema ukweli??

then mlivyo na roho mbaya mkiona mahali kuna mkurugenz muislam tuh kama nssf lazima muanze kumwaga povu,

watu wa hovyo kabisa

mdau labda nikueleze,sitegemei fadhila mie kupata kazi/ajira,ajira yangu nimeipata kwa vigezo vya elim nilonayo,na pia ofisi yangu 85-90% ni tofaut na dini yangu ila naish nao pisi sana wala sijawah kuwaizia mambo za udini kabisa na haitatokea,mkuu wangu wa kazi namheshim kama mkuu wangu na kama mzee wangu pamoja na wasaidizi wake.Na pia sifikirii kama itakuja kutokea ntapewa feva kwa sababu ya dini yangu mdau THE BIG SHOW,nilichokisema hapo kama watu wanawaza kupata fursa kwa udini/ukabila ni wao sio mimi naamini nimesoma na ajira nimeipata kwa sababu ya elim yangu,halafu bahat mbaya umekurupuka tu na hujui imani yangu ni ipi.
Nimetoa rai kwetu wote kuwa kujadili masuala ya udini hakuna tija.
 
Last edited by a moderator:
Mashirika hayo ya umma yanaongoza kwa udini...huku serikali ikiwa kimya....je hii ni sawa kweli? Ukiomba kazi kama jina lako sio john au magdalena hupati kazi hapo...tunaomba serikali ilifanyie kazi suala hili................
FANYA UFAFITI UTULETEE USHAHIDI husilete HISIA TU hapa,karnne 21 unajadili UDINI,ni ujima sana,tujadili umakini kupata na kuleta ufumbuzi,tuletee facts,utuambie kila taasis ina idadi ya watmishi wangapi,then utuambie dini gani inaajiriwa kwa kutokua na vigezo
 
FANYA UFAFITI UTULETEE USHAHIDI husilete HISIA TU hapa,karnne 21 unajadili UDINI,ni ujima sana,tujadili umakini kupata na kuleta ufumbuzi,tuletee facts,utuambie kila taasis ina idadi ya watmishi wangapi,then utuambie dini gani inaajiriwa kwa kutokua na vigezo

mwenye kuelewa atakuelewa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom