Nilivyoelewa anamaanisha kwamba wajinga hawawezi kutunza pesa.Unamaana gani na hii kauli mkuu
Walijazana kufundwa🤣🤣Wanajifariji tu lakini wamerundikana wanaume shazi tu kwenye hizo kumbi🙌🏾
Papa samaki mbichi au papa mkavu.Unauza papa?
hiki ni nini?
Msela napigaga nae tizi,, yupo vizuri sanaa!Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo
Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka
1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi
2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo
3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike
4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio
5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji
Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
Sasa hiyo c 25 million tu mkuuAsee ili ukilipigia malengo kwa mwaka ukawa na mikutano yako 10 au 5 kwa kiingilio cha 50k na ukawa na uhakika wa kuwadaka wanyantuzu 500 assee unaweza ipangia bajeti halmashauri yako
Kwani ni pesa ndogo hiyo tu kwa jambo la kuzungumza mbele ya hadhira tena kumotivate tu lisaa tuSasa hiyo c 25 million tu mkuu
Sawa na 10000usd
Hahaha naskia wengi wameenda walimu na wameongoza kweli kweliSasa mtu mwenye akili timamu utalipia 50,000 kwenda kuambiwa jinsi ya kumpa ruhusa mkeo, kumpa Zawadi, kumfokea mkeo, na style za kulomba
Wap wamesema waende wakristo tuu?Ndio maana tunasema wagalatia nyinyi asilimia kubwa ni vilaza, hakuna mlichosoma mashuleni na mlikuwa mnapitishwapitishwa, na sasa ukweli ndio unaonekana
View attachment 3566900
Upumbavu mtu! Manaume tunakuwa kama hatujasoma! Yaani kuishi na mke lazima ukashauriwe na jitu pumbavu kama hilo? Halafu majitu ya hivi unalikuta nyumbani kwake kama zoba fulani!wanasema ni "engaging and conectivity"
Kwamba ukafundishwe jns ya kumlomba Mkeo?50 hata bia za maana haupati , mimi sioni tatizo kama watu wanavutiwa na anachofundisha ni sawa tu, hela ni zao maamuzi ni yao .