Promotion za leo jeshini zimenistua

Promotion za leo jeshini zimenistua

General Collin Powell alikua 5 stars au nakosea
Collin Powell cheo chake alikuwa ndio General (4star). Ndio maana kule mwanzoni nilisema usiseme general tu pekee bila kusema kama ni major general.
Brigadier general (1star general)
Major general (2star general)
Lieutenant general (3star general)
General itself (4star general)
Have you understood?

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Maoni yako hayana ukweli kabisa; Vyeo vya kijeshi kuanzia Second Lieutenant hadi Lieutenant Colonel huenda kwa ngazi kwa vile kila cheo kina kozi yake, lakini kuanzia Colonel na kuendelea, yaani wale wenye godgets nyekundu kwenye collar, hawana kozi ya cheo bali kisheria ni Uamuzi wa Amiri jeshi tu, ingawa kwa jumla anaweza kuwa ameshauriwa na uongozi wa juu wa Jeshi. Mifano ya namna hiyo imetokea mingi sana hapa Tanzania, siyo leo mingine ni tangu uasisis wa taifa hili. Nyerere alimpandisha Sarakikya kutoka capteni kuwa Brigadier, Nyerere alimpandisha Twalipo kutoka Luteni Kanali kuwa Luteni General, huku jeshi halina hata Major General mmoja zaidi ya Sarakikya. Marehemu Nsa Kaisi alipanda cheo kutoka Cadet kuwa Kanali, Moses Nnaye alipanda Cheo kutoka Cadet Kuwa Kanali
 
Muwe mnasoma katiba inasema vipi wakuu,,, mi nnachoona Ni kwamba Raisi anatumia mamlaka yake ya kikatiba,,, JK alikua hatumii mamlaka yake vizuri,, huyu mzee baba ndio mtaalamu Sasa,,, hata private anaweza akawa lutenant Kama tu Raisi ameona anafaa,,
 
Mbuge bwana alikuwa CO wangu bhana....yule jamaa anapga kazi kupita maelezo alaf ni mnaa kupita neno lenyewe, ikipta wiki hujapata KZ kutoka kwa jamaa.......ujue umetukuka.
Poleni sana

Kwa hiyo madoso watu wanachezea sana akiwa CO?

Vipi maafisa nao huwa anawahenyesha?
 
Maoni yako hayana ukweli kabisa; Vyeo vya kijeshi kuanzaia Second Lieutenant hadi Lieutenant Colonel huenda kwa ngazi kwa vile kila cvheo kina kozi yake, lakini kuanzai Colonel na kuendelea, yaani wale wenye godgets nyekundu kwenye collar, hawana kozi ya cheo bali kisheria ni Uamuzi wa Amiri jeshi tu, ingawa kwa jumla anaweza kuwa amashauriwa na uongozi wa juu wa Jeshi. Mifano ya namna hiyo imetokea mingi sana hapa Tanzania, siyo leo mingine ni tangua uasisis wa taifa hili. Nyerere alimpandishs Sarakikya kutoka cpteni kuwa Brigedier, Nyerere alimpandisha Twalipo kutoka Luteni Kanali kuwa Luteni General, huku jeshi halina hata Major General mmoja zaidi ya Sarakikya. Marehemu Nsa kaisi alipanda cheo kutoka Cadet kuwa Kanali, Moses Nnaye alipanda Cheo kutoka cadet Kuwa Kanali
Nina matumaini unajua fika kuwa jeshi letu material ya uafisa na maafisa wote wa mwanzo walifunzwa academy za kijeshi katika mataifa yaliyopo chini ya British Royal crown

Muingereza ambae tunafuata utamaduni wake na sheria zake yeye kupanda ngazi moja hadi nyingine kijeshi ni muda wa miaka mitatu na pia angalia na mataifa mengine makongwe huwezi kupanda kutoka brigedia hadi meja jenerali ndani ya miezi

Rais amepewa mamlaka makubwa mno kwa vifungu vya sheria zetu kwa mfano Rais amepewa mamlaka ya kupindua seniority ya ndani ya rank ambayo utamaduni wa kijeshi mkubwa ni yule alietangulia kuvaa cheo sasa rais amepewa mamlaka ya kujiamulia mfano alietangulia akamfanya ni mdogo yaani vice versa ya utamaduni wa kijeshi

Busara ni muhimu, sio kufanya baadhi ya vitu kwa sababu tu uko na power ukaacha lawama watu wananung'unika (majenerali waliosotea, makanali wanaosota lazima wanung'unike )

Majenerali wengi tu wazuri wanastaafu na wamestaafu katika ubrigedia anakuja rushwa mtu ndani ya miezi
 
Mimi naomba kujua kuhusu MASLAHI yao. Ina maana wanakula mishahara Mara mbili?? Kwa maana ya mshahara wa jeshini na wizara?? Naomba wajuvi mnijuze
Huwa wanalipwa ule mzito
 
Poleni sana

Kwa hiyo madoso watu wanachezea sana akiwa CO?

Vipi maafisa nao huwa anawahenyesha?
Kuna jamaa anaitwa Major Msira wakat huo walikuwa rank sawa but madaraka tofaut.... huyo major bhana alipigwa KZ gurd getin ...main entrance ya kikosini two weeks, Mbuge alikuwa anamkubali RSM tu pale wengne ni mwendo wa drill dakika 45 na KZ deadly, watu walikuwa na nidhamu ya juu kupita kiasi.
 
Muwe mnasoma katiba inasema vipi wakuu,,, mi nnachoona Ni kwamba Raisi anatumia mamlaka yake ya kikatiba,,, JK alikua hatumii mamlaka yake vizuri,, huyu mzee baba ndio mtaalamu Sasa,,, hata private anaweza akawa lutenant Kama tu Raisi ameona anafaa,,
Raia hawez jua sana mambo ya kijeshi....kifupi ni kuwa ukijua hata kiapo cha kijeshi unavoapa uku umeshika bunduki,huwez hoji kuhusu mamlaka ya Prezdaa kufanya chochote kwa askari wake, Mr president ndo last say, no comment! Ni NDIYO basi.
 
Muingereza ambae tunafuata utamaduni wake na sheria zake yeye kupanda ngazi moja hadi nyingine kijeshi ni muda wa miaka mitatu na pia angalia na mataifa mengine makongwe huwezi kupanda kutoka brigedia hadi meja jenerali ndani ya miezi

Hii point siyo kweli sana kma unavyoamini kuwa lazima ukae na cheo fulani cha ujeneral kwa miaka mitatu ndipo upande, in fact wao mambo ni kinyume kabisa kuwa lazima upande ndani ya hiyo miaka mitatu ama sivyo utatakiwa kustaafu. Yaani iwapo utakuwa Brigedia General (1-star), ikipiata miaka mitatu kabla hujapanda tena kuwa Major General (2-star) basi unastaafu jeshi; vile vuile ukiwa Major General (2-star)ikapita miaka mitatu hujapanda kuwa Luteni General (3-star)basi na wewe unastaafu utumishi wa jeshi; ni vivyo hivyo ukiwa Luteni General (3-star) ikapipita miaka mitatu kabla hujapanda kuwa General (4-star), pia unastaafu. Utaratibu huu unatokana na kuwa kwenye kupanda kutoka 2d LT mpaka Colonel ni lazima uwe umeshatumikia jeshi kwa zaidi ya miaka 22 ikiwa ulikuwa unapata promotions za haraka haraka kila baada ya miaka mitatu au minne. Lakini kwe vile unaweza kukwaa visiki hapo njiani, inawezekana kuwa utakuwa umetumikia jeshi kwa miaka 25; ambapo kwa kawaida utakuwa na umri kama miaka 47 au 48 hivi. Kwa vile Umri wa kustaafu ni miaka 62; na hawataki mtu anafikia miaka hiyo 62 bado akiwa hajawa 4-star General basi ndiyo maana wana utaratibu huo. In fact limit ya kukaa cheo kimoja ni mpaka miaka mitano, ila ukishapitisha miaka mitatu bila kupanda, basi unaaza kujiandaa kustaafu.

Mifano yake ipo mingi sana kwenye jeshi la marekani: Lt Gen Ricardo Sanchez aliyekuwa anaongoza vita Iraq, baada ya skendo ya Abu Ghraib alishindwa kupanda kuwa 4-star General na hivyo kustaafu baada ya miaka mitatu tangu awe Lt. Gen. Halafu Maj. Gen Antonio Taguba aliyetoa taarifa ya jeshi kutesa wafungwa huko Abu Ghraib na Guantanamo, hakupandisha cheo kuwa Lt Gen na baada ya miaka mitatu naye alistaafu. Vile vile Lt. General Michael Flyinn alipovurga kwenye handling ya Classified information hakupandishwa kuwa 4-star General na baada ya miaka mitatu naye akastaafu. List ipo ndefu sana ila hao ni wale maarufu wanaojulikana.
 
Back
Top Bottom