asante tina kwa yaliyojiri.
naona wapiga kura wa tanzania bado hawapo makini kiasi cha kuweza kuchambua hoja za kampeni bali ruzuku za kampeni
Maoni ya Mwanakijiji ni kuwepo kwa chama kimoja cha kuweza kusimama kushindana na CCM badala ya utitiri wa vyama vya siasa.
Mwanakijiji anauma na kupuliza. Nimependa alivyomalizia kwa kuipaisha JamiiForums.com
wewe nawe....H8 as usual!!Hata angeipaisha,bila shaka ungeuliza mbona KLHN hakuipaisha??Sidhan kama una authority ya kumchagulia apaishe nini,lini na wapi.So keep ur bow down!Mbona Mwanakijji.com "hakuipaisha" kasahau?
Kanyasu ambaye ni mwana CCM anasema mbona CHADEMA waligawa soda n.k. Anasema CCM waligawa kofia na T-shirt. Anasema CHADEMA walikosea kwa kusema watawapa chup* na sidiria wanawake, hili liliwakera wananchi sana.
Anasema CHADEMA walikosea kwa kusema watawapa chup* na sidiria wanawake, hili liliwakera wananchi sana.
Maoni ya Mwanakijiji ni kuwepo kwa chama kimoja cha kuweza kusimama kushindana na CCM badala ya utitiri wa vyama vya siasa.
Kanyasu ambaye ni mwana CCM anasema mbona CHADEMA waligawa soda n.k. Anasema CCM waligawa kofia na T-shirt. Anasema CHADEMA walikosea kwa kusema watawapa chup* na sidiria wanawake, hili liliwakera wananchi sana.
I see now i understand the connection charles , tina , jibaba
Huyo ndio Shy...anaweza kuja kama mtaalam wa hali ya juu wa IT,kisha ukadhani ni mtu wa karibu na Osama kuliko Zawahiri,then akageuka kuwa kama afisa wa ngazi za juu wa Idara ya usalama wa taifa....nadhani ni multiple personality disorder or something like that!So kama unajua the connection unamtisha nani? Kila siku unaingia na vitisho sana hapa ndani, kama wewe ni techonologist wa mafisadi ambaye kazi yako ni kuwa track down wanaharakati tutaku defeat very soon. Sio mara yako ya kwanza kuongea huu utumbo na vitisho, weeknd njema, But we have warned u
wewe nawe....H8 as usual!!Hata angeipaisha,bila shaka ungeuliza mbona KLHN hakuipaisha??Sidhan kama una authority ya kumchagulia apaishe nini,lini na wapi.So keep ur bow down!
Kwa wale ambao walikosa kusikiliza au kutazama hiyo show, nitawawekea audio yake kesho!