Program Alert:Mwanakijiji alonga na Star TV "Live" juu ya Busanda

Status
Not open for further replies.
asante tina kwa yaliyojiri.

naona wapiga kura wa tanzania bado hawapo makini kiasi cha kuweza kuchambua hoja za kampeni bali ruzuku za kampeni
 
asante tina kwa yaliyojiri.

naona wapiga kura wa tanzania bado hawapo makini kiasi cha kuweza kuchambua hoja za kampeni bali ruzuku za kampeni

aksante TINA

ndugu gaijin wasio makini si wapiga kura tu bali hata wagombea na viongozi wa vyama wana matatizo makubwa. na hii ni kwa sababu hawana nia dhabiti ya kusaidia kuleta mabadiliko
 
Maoni ya Mwanakijiji ni kuwepo kwa chama kimoja cha kuweza kusimama kushindana na CCM badala ya utitiri wa vyama vya siasa.

hii ni zuri sana, lakini ni vigumu kwa nchi yetu na umasikini wetu. watu wamevifanya hivi vyama kama ajira zao na sehemu ya kutajirikia na si njia ya kutatua matatizo tuliyonayo ya nchi
 
Nimefurahi sana kwa njia hii ambayo mwanakijiji umeitumia kuifikia hadhira ya watanzania. Songa mbele bro.. watu wengi wameanza kukuelewa sasa japo hawakuoni kwa sura but kona nyingi tu bongo wanamjua mwanakijiji, sasa wasi wasi wangu anaye julikana ni mwanakijiji, sijui kama akija Hamisi/Yohana, kazirankunda/Kidawa akasimama mbele yetu na kutueleza kwamba ndiye mwanakijiji tutampokeaje? ama itaendelea hivo hivo mzee mwanakijiji?

By the way, point ya utitiri wa vyama ni nzuri sana. Asante kwa mchango wako Mkijiji.
 
Mbona Mwanakijji.com "hakuipaisha" kasahau?
wewe nawe....H8 as usual!!Hata angeipaisha,bila shaka ungeuliza mbona KLHN hakuipaisha??Sidhan kama una authority ya kumchagulia apaishe nini,lini na wapi.So keep ur bow down!
 
Mkuu Mwanakijiji,

Mbona hukusema mapema kwamba ni wewe? Vipi uliogopa Lowassa kupanga watu wa kukukabili?

Wangetangaza mapema kwamba Mwanakijiji atakuwepo huenda hicho kipindi kingepata wasikizaji wengi zaidi na ujumbe kuwafikia Watanzania wengi zaidi.

Umefanya la maana kuanza kuwasogelea wananchi kwa karibu zaidi.
 
Kanyasu ambaye ni mwana CCM anasema mbona CHADEMA waligawa soda n.k. Anasema CCM waligawa kofia na T-shirt. Anasema CHADEMA walikosea kwa kusema watawapa chup* na sidiria wanawake, hili liliwakera wananchi sana.

Duh! huo mkakati walipewa na Muluzi nini, maana ndiye alikuwa akiwaahidi wapigakura wake kuwagawia kandambili, lakini safari hii Wamalawi wamewashitikia wanasiasa wa aina hiyo, wanataka wale ambao mikono yao inazungumza!!
 
Maoni ya Mwanakijiji ni kuwepo kwa chama kimoja cha kuweza kusimama kushindana na CCM badala ya utitiri wa vyama vya siasa.

Huoni mwisho utakuwa ule ule. Hata hicho chama kikishinda, mwisho wa siku, kitakuwa corrupt tu! Huwezi kuwa na chama kinachokusanya kila ideology ndani. Hili ndo linaloikabili CCM, Kanu, ANC, na vingine vingi vilivyogombea uhuru na kushinda Afrika. Kama mnataka true participation ni kuwa na vyama vingi vilivyo na hoja tofauti. Mfano, socialists, nk. Hicho chama kimoja lazima nacho kitakuja kuwa fisadi kwa maana kitabaki kushikilia watu wenye ideologies nyingi pamoja, na kutoa nafasi kwa wenye pesa kujichimbia ndani na kutawala. Hili ndo limeikumba CCM, na kufanya wasahau hata sera zao.
 
Kwa nchi masikini kama Tanzania hakuna uwezekano wa kuwa na Chama kimoja cha upinzani chenye nguvu. Kinachota kiwa ni kujipanga na kuwa na mikakati endelevu kwenye vyama vya upinzani kuwa na sera bora zinazitekelezeka, ndio tutaweza kuking'oa chama cha Mapinduzi ( aka Chama cha Mafisadi)
 
wana chadema hebu tuelezeni kama kweli mlipiga kampeni kuwa mtawapa wanawake chup* na sidiria.....maana kwa hali ya kawaida haiaminiki.
 
Kanyasu ambaye ni mwana CCM anasema mbona CHADEMA waligawa soda n.k. Anasema CCM waligawa kofia na T-shirt. Anasema CHADEMA walikosea kwa kusema watawapa chup* na sidiria wanawake, hili liliwakera wananchi sana.

Hii imekaaje jamani?
 
I see now i understand the connection charles , tina , jibaba

So kama unajua the connection unamtisha nani? Kila siku unaingia na vitisho sana hapa ndani, kama wewe ni techonologist wa mafisadi ambaye kazi yako ni kuwa track down wanaharakati tutaku defeat very soon. Sio mara yako ya kwanza kuongea huu utumbo na vitisho, weeknd njema, But we have warned u
 
Huyo ndio Shy...anaweza kuja kama mtaalam wa hali ya juu wa IT,kisha ukadhani ni mtu wa karibu na Osama kuliko Zawahiri,then akageuka kuwa kama afisa wa ngazi za juu wa Idara ya usalama wa taifa....nadhani ni multiple personality disorder or something like that!
 
Kwa wale ambao walikosa kusikiliza au kutazama hiyo show, nitawawekea audio yake kesho!
 
wewe nawe....H8 as usual!!Hata angeipaisha,bila shaka ungeuliza mbona KLHN hakuipaisha??Sidhan kama una authority ya kumchagulia apaishe nini,lini na wapi.So keep ur bow down!

Na wewe hiyo "authority" ya kuniambia hivyo umeipata wapi?

Tuliza kitenesi hicho....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom