Program Alert:Mwanakijiji alonga na Star TV "Live" juu ya Busanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Program Alert:Mwanakijiji alonga na Star TV "Live" juu ya Busanda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jun 5, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Nasikia kesho kuna mgeni muhimu kwenye kipindi hicho cha "Tuongee Asubuhi" ambacho kinarushwa saa 1:30 asubuhi. Mgeni huyo aliyeko Tanzania na mwanasiasa wa siku nyingi nasikia ataunguruma kwenye kipindi hicho na nimeomba mtu akiweza anirekodie na mimi nisije kumiss. Kutokana na unyeti wa huyo mgeni kwa sasa jina lake nalishikilia hadi atakapotambulishwa na wenye TV wenyewe.

  Kama zile za Kipepe tuhakikishe tuna "TVs"..!
   
  Last edited by a moderator: Jun 6, 2009
 2. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2009
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tuko pamoja Mkuu!
   
 3. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo Lowassa kaamua kuvunja ukimya sio? Au?
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  If i tell u.. u know what I'll have to do to u?
   
 5. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2009
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145

  Mmmh!

  Dialo naye . . . . Ndo maana kampiga Mkwala Mkulo nini.

  Tutasikia Mengi.
   
 6. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  What happenned to "If I know it...u'll know it too"?
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  well.. u already know it..
   
 8. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2009
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Damn! nilitaka kulala kesho mpaka saa nne baada ya kuamka saa 11 wiki nzima kwani bosi wangu mdosi hataki hata sekunde ipitenichelewe.
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  weka dau unajua kupigana na amfisadi "nyie" wanaharakati inabidi mtembeze shilingi pia...
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  duh.. yaani nilipe kurekodiwa, now that is a strategy!! Labda nimwombe RA!
   
 11. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kila mtu mjasiriamali siku hizi.
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Jun 6, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  duh.. you got that right. Tatizo ni kuwa hadi mbongo akubali kukulipa itabidi umlipe yeye kwanza! Well dakika yoyote sasa.
   
 13. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Tupe dataz ukizi pata mkuu wengine tupo mbali kwa hiyo channel za nyumbani unreachable.
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Jun 6, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mzee na mimi nimekaa mkao wa kula.. sijui kama Invisible ataweza kurekodi au vipi? Siendi kulala hadi nisikie kilichojiri.
   
 15. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2009
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 571
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Mada inasema "Tunajifunza nini uchaguzi mdogo wa Busanda?"
   
 16. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mgeni rasmi kasha tokea?
   
 17. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2009
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 571
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Wageni ambao nadhani Mwanakijiji anatarajia waonekane kwenye kipindi hiki ni hawa kina Amos Makalla wa CCM Taifa na Erasto Tumbo wa CHADEMA.

  Au nini zaidi? Nasikia kuna simu toka Marekani, atakuwa Mwanakijiji tuuuuu
   
 18. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2009
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 571
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Mgeni ambaye nadhani tumtarajie ni huyu wa Marekani 'mgeni wa simu'. Nasubiri kusikia mabomu yake
   
 19. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Asante kwa taarifa dada. Naomba uendelee kutu habarisha. Mh hiyo simu ngoja tusikie ata sema nini.
   
 20. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ngoja tusikie. Dah nilikua na mpango wa kulala sasa nipo full alert. This is interesting.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...