Profile picture yako ina maana gani?

Dah! Ndugu upo vizuri aisee nataka nije nitest siku moja kuonja hii kitu sijui nitafanya kituko gani..🤣
nilichogundua kuna misconception kubwa sana kwenye jamii kuhusu bangi, wengi wa wanaoponda bangi hawajawahi hata kuivuta, unaweza kukuta mtu anasifia pombe na kuponda bangi, ila ni jambo la kihistoria nawaelewa, ilianzia 1923 pale serikali ya marekani ilipoharamisha bangi kutokana na pressure kubwa ya makampuni ya madawa na viwanda vya meli, zao la bangi linatoa bidhaa nyingi kiasi kwamba inatisha baadhi ya wafanyabiashara wenye viwanda vya pharmacetical kwani bangi inatoa dawa nuingi za binadamu pia mti wa bangi unatoa mbao bora zaidi kwenye uzalishaji wa meli, hivyo vita ya bangi ni ya kibiashara zaidi kuliko za kiafya, ndiomana kuna baadhi ya nchi wameamua kuhalalisha
 
umepiga kwenye mshono binafsi MJ ndo msanii wangu bora wa muda wote.hua napiga nyimbo zake kwenye kinanda hasa wa Earth Song naupenda sana
Ooh! Kumbe nawe wamkubali mi napenda nyimbo zake nyingi ila Kuna muda unakuta naipenda moja zaidi mfano Sahivi naipenda you rock my world.
 
nilichogundua kuna misconception kubwa sana kwenye jamii kuhusu bangi, wengi wa wanaoponda bangi hawajawahi hata kuivuta, unaweza kukuta mtu anasifia pombe na kuponda bangi, ila ni jambo la kihistoria nawaelewa, ilianzia 1923 pale serikali ya marekani ilipoharamisha bangi kutokana na pressure kubwa ya makampuni ya madawa na viwanda vya meli, zao la bangi linatoa bidhaa nyingi kiasi kwamba inatisha baadhi ya wafanyabiashara wenye viwanda vya pharmacetical kwani bangi inatoa dawa nuingi za binadamu pia mti wa bangi unatoa mbao bora zaidi kwenye uzalishaji wa meli, hivyo vita ya bangi ni ya kibiashara zaidi kuliko za kiafya, ndiomana kuna baadhi ya nchi wameamua kuhalalisha
Ahsante kwa darasa mkuu muda si muda nitaonja hii kitu..😅
 
Mleta mada haya maelezo ya profile picture yako yanatakiwa kuwa na mada inayojitegemea, maana nimepata mkanganyiko kidogo iwapo huo ramani iliangukia kwenye viumbe visivyo vyema na tumeshawaelekeza si wanaweza kutumaliza!

Kwamba sisi ndio tunahaja nao sana kuliko wao!

Kwa nini wao wasitume vyombo vyao kuja kwetu kuelekeze uwepo wao, au ni kiherere cha binadamu!
 
Humu jukwaani natumia jina la Kayaman, napenda na navuta sana bangi, ninatumia profile pic ya bob marley kutokana na wimbo wake wa Kaya huwa unanihamasisha sana kuvuta bangi, mwanzo nilitamani kutumia picha ya peter tosh kutokana na wimbo wa legalize it ila nikaona acha niende na bob!
😂😂😂
 
Mleta mada haya maelezo ya profile picture yako yanatakiwa kuwa na mada inayojitegemea, maana nimepata mkanganyiko kidogo iwapo huo ramani iliangukia kwenye viumbe visivyo vyema na tumeshawaelekeza si wanaweza kutumaliza!

Kwamba sisi ndio tunahaja nao sana kuliko wao!

Kwa nini wao wasitume vyombo vyao kuja kwetu kuelekeze uwepo wao, au ni kiherere cha binadamu!
Huu mjadala upo ndugu haohao wanasayansi walishachuana sana tu,mkuu zipo signals zinarushwa zaidi ya hizo na ndio zikiangukia kwa viumbe wabaya itakuwa tabu lkn ndugu unafikiri tukae tu hivihivi tusitafute changamoto..??
Asili ya binadamu ni kutaka kujua na hichi kitu kipo ndani yetu huwezi mzuia binadamu kufanya uchunguzi.. ukitaka kumfanya binadamu afanye uchunguzi mwambie hicho chumba usiingie!!! Lazima atataka kujua Kuna nini..?
Hili swala linamatokeo mawili tunaweza kupata kitu kibaya au kizuri pia muhimu kukabiliana na yote mi sisapoti kukaa tu!.

Zaidi tunatafuta intelligent life namaanisha viumbe vyenye ufahamu Kama wetu au zaidi,so hata hapa duniani ipo mitambo maalum inayodaka signals kutoka nje miaka ya zamani kuna signal ilishapatikana wakaiita Wow signal ila haikuleta majibu ilitokea wapi na maana yake,waliporudisha mitambo ktk frequency ileile hakuna kilichotokea!.. ulimwengu bado ni kimya sana..

Mi naunga mkono tafiti kuliko kukaa tu.
 
Napenda sana watoto na ndo kitu nachotamani sana ...

Eh Mungu naomba uwajalie wamama wote wanaotafuta watoto uwapatie zawadi hii .
Ujumbe tumeona mama tushindwe sisi..
 
Namkubali sana Chriss Evans, very humble person
FB_IMG_16038299167823326.jpg
 
Back
Top Bottom