Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,487
- 2,422
wewe nae angalia flow ya chat ilivyoenda.Mmmmmmhmn dada sasa upo too personal kwakweli, kwani mke wake wewe unamfahamu personally maana ni kama unamuattack mkewe ile ya direct.
wewe nae angalia flow ya chat ilivyoenda.Mmmmmmhmn dada sasa upo too personal kwakweli, kwani mke wake wewe unamfahamu personally maana ni kama unamuattack mkewe ile ya direct.
Huo ujumbe umejuaje umenigusa? ukiambiwa utasema???!!Si huu ujumbe mamdogo huoni kama umekugusa kwa namna moja au nyingine ndio maana nikasema hivyo.
Sasa hauwezi kuishi na mwanamke bila kumtendea mazuri hata wewe pia the same huwezi ishi na mwanaume bila kumtendea mazuri. Upendo hautumii nguvu kuufanya uwe active. Kwanza upendo ni kujazia pale mwenzako amepungukiwa na sio kulazimisha kupewa kile mwenzako hawezi mudu kukupatia au kipo nje ya uwezo wake kwa wakati unaomba.baki na mkeo usimfanyie kitu chochote mbona simple?!!
Umeongea uongo bwana.bali kuna nini na wewe mpuuzi??
Hahahah wewe unajua mkeo ndio mwenye sura personal, na ninayoongea yote yanakuingia vilivyo, wewe shukuru she was abused alivyokua mdogo ndio maana akakubalia kuwa na wewe, la sivyo ungekufa kwa upweke manake hamna mwanamke anayejielewa akakubali kuwa na wewe....
Eti sura personal, weka hapo picha ya mkeo, waseme kama hana sura la kiume, tena mandonga mtu kazi kabisaa hahahaaaaaaaaaaaaa
Sio vizuri. Hapa tunazungumzia maswala ya kijamii kama yamekugusa ni vema ukaomba ushauri usaidiwe vipi. Inawezekana unataka therapy ila haujui.na wewe shida yako nini nikiwa personal nae?!
Mafunzo yake ni msaada mkubwa sana kwa wanawake kama wewe ambao bado hamjatambua misingi ya jamii ya mwafrika inatakaje yaani mnaishi tu kuexist ila changamoto za kimahusiano zinawapa kisukari,pressure na soon ukichaa utawapata.wa kunifunda nani??? ni huyo bwege mnayemuita taikuni? unaota wewe
Tuachane na mke wa taikuni tujiweke kwenye mada zaidi na kujadili lililopo mezani. Maana mke wa Taikuni hata hakujui wala hajui kama unamsema hapa muda huu.Hahahah wewe unajua mkeo ndio mwenye sura personal, na ninayoongea yote yanakuingia vilivyo, wewe shukuru she was abused alivyokua mdogo ndio maana akakubalia kuwa na wewe, la sivyo ungekufa kwa upweke manake hamna mwanamke anayejielewa akakubali kuwa na wewe....
Eti sura personal, weka hapo picha ya mkeo, waseme kama hana sura la kiume, tena mandonga mtu kazi kabisaa hahahaaaaaaaaaaaaa
Reaction yako na namna umepanic mamdogo ndipo hapo napata majibu.Huo ujumbe umejuaje umenigusa? ukiambiwa utasema???!!
Usitoke kwenye mjadala, kilichokuwa kinagombanishwa kiurembo ni mke wa taikoni na anita na sio anita na taikoni, naona huwezi kuweka picha yake kwa vile hujiamini, na hujiamini sababu UNAJUA mkeo ni mbaya, sura lake zitooo hujui kama ni mwanaume au mwanamke.... na ni mbaya kweli ndio maana hana CONFIDENCE ,confidence ya kupata mwanaume mzuri, well rounded ndio maana akaishia kuwa na makapi kama wewe kama mumewe...Nataka tulinganishe Sura yako na yangu Kwanza kama kipimo cha awali.😀😀
Ukinishinda Mimi basi umemshinda MKE wangu,
Hakuna Mwanamke mwenye Sura nzuri akawa na muda wa kuhangika kuandika maujumbe marefu huku jamii forum.
Wanawake wazuri wanadharau na wanajiamini, huo muda wa kujibishana na Mimi au na watu humu mtandaoni hawawezi kuupata.
Ndio maana nikakuambia wewe ni zile Sura nzito, lakini sio dhambi Kwa sababu hata wewe haukupenda
Nimekuambia angalia flow ya chat na wewe utajua kwa nini mke wa taikuni kaingia hapa, au umeamua kuwa biased sababu ni msukule wa taikuni?Tuachane na mke wa taikuni tujiweke kwenye mada zaidi na kujadili lililopo mezani. Maana mke wa Taikuni hata hakujui wala hajui kama unamsema hapa muda huu.
Reaction yangu huijui, sababu hujaniona huku nilipo, NIACHE TAFADHALI, weee vipi?Reaction yako na namna umepanic mamdogo ndipo hapo napata majibu.
Huyo mchukia wanawake ana mafunzo kwa misukule kama wewe.Mafunzo yake ni msaada mkubwa sana kwa wanawake kama wewe ambao bado hamjatambua misingi ya jamii ya mwafrika inatakaje yaani mnaishi tu kuexist ila changamoto za kimahusiano zinawapa kisukari,pressure na soon ukichaa utawapata.
Usitoke kwenye mjadala, kilichokuwa kinagombanishwa kiurembo ni mke wa taikoni na anita na sio anita na taikoni, naona huwezi kuweka picha yake kwa vile hujiamini, na hujiamini sababu UNAJUA mkeo ni mbaya, sura lake zitooo hujui kama ni mwanaume au mwanamke.... na ni mbaya kweli ndio maana hana CONFIDENCE ,confidence ya kupata mwanaume mzuri, well rounded ndio maana akaishia kuwa na makapi kama wewe kama mumewe...
Usinipangie cha kuandika humu, hunilipii bando mpuuzi wewe!
Reaction yangu huijui, sababu hujaniona huku nilipo, NIACHE TAFADHALI, weee vipi?
Naona unaaga, ndio UKOME, next time mlinganishe mkeo na wewe mwenyewe kwa urembo, usimlinganishe na mrembo kama anita, manake ni kichekesho, ni sawa na kulinganisha jua na giza, nilijua tu, mke wa taikoni awe mrembo??!.. thubutuuuuu..... warembo hawawezi kuwa na lifala kama wewe, that is to say wewe sio wa level yangu, kaa kwa kutulia.Sasa kama Mimi niliyemwanaume haunishindi, huyo MKE wangu utamshinda?
Na najua ushaangalia Avatar yangu 🤣🤣 umeshagundua ni kweli nimekuzidi licha ya kuwa ninasura ngumu yakiume lakini bado hutoboi. Sasa Huko Kwa MKE wangu utakiweza kina chake?
Hata turudi kwenye Uzi wenyewe, maana umekuja na hasira zako zisizo na kichwa wala miguu. Nami nimekupokea ulivyokuja.
najua kila mchango niliouweka hapa, usifosi nione tofauti.Ukimaliza dozi utarudia kusoma, utaona reactions zako zilikuwaje, Kwa sasa bado kichwa inachenga Anitha mtoto mzuri😀
Naona unaaga, ndio UKOME, next time mlinganishe mkeo na wewe mwenyewe kwa urembo, usimlinganishe na mrembo kama anita, manake ni kichekesho, ni sawa na kulinganisha jua na giza, nilijua tu, mke wa taikoni awe mrembo??!.. thubutuuuuu..... warembo hawawezi kuwa na lifala kama wewe, that is to say wewe sio wa level yangu, kaa kwa kutulia.
najua kila mchango niliouweka hapa, usifosi nione tofauti.