Profile la Mwanamke anayehangaikia Ndoa

Profile la Mwanamke anayehangaikia Ndoa

Umebadili profile ili kuonesha uzuri na urembo wako [emoji1]
Kwani nani anakushughulisha hivyo hadi uhangaikie uzuri jamani.

Kila wiki nabadili Profile, wewe ndio umeanza kunifuatilia leo.

Mimi nina MKE na watoto, sina muda na kuhangaika na uzuri ambao tayari Mungu alishanipa. Watu huhangaishwa na mambo wasiyokuwa nayo au wasiyo nayo
 
Nikufatilie kuona jinsi unavyobadili profile pics [emoji15] ili uwe unasifiwa kua umzuri [emoji2]
Nunua kwanza simu nzuri walau upige picha zenye quality nzuri,

Mke na Watoto mchezo[emoji1787][emoji1787] acha kujidanganya
 
Ulijuaje nmebadili Dp kama haunifuatilii?
Kumjua MTU mwenye Stress Kwa Sisi wanasaikolojia ni rahisi Sana.
😊😊
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom