Profile la Mwanamke anayehangaikia Ndoa

Ukitaka ujue ndoa chukulia Mfano wa tairi mbili za pikipiki
Mume ni tairi la mbele na mke ni tairi la nyuma
Tairi la mbele Halina kazi bila tairi la nyuma na tairi la nyuma Halina kazi bila tairi la mbele
 
Yaan wewe unamtoa knockout mwanamke kwa Uzuri yaani wewe wajisifu umzuri kuliko huyo mwanamke je kwa uzuri wako huo boyfriend wa huyo dada aje kukuchumbia???

Jamani nacheka kama mazuri walai
Wanaume wazuri wapo.

Biblia inasema. . ''Naye Yusufu alikuwa Mzuri wa sura''

Inamaana wazuri na wabaya wa sura wapo.
 
Hilo la Mimi kuwa Mzuri na Mrembo umesema wewe wala sio Mimi

Mimi nilichosema Biblia inamwelezea Yusufu na Daudi kuwa walikuwa Wazuri wa Sura
Hapo umenifurahisha, kwa Dunia yetu hii kataa kata kata Mwanaume kujinasibu Uzuri yaani kataa tena kataaa.... hayo mambo ya Biblia ni ya karne za kwanza kwanza huko sisi tupo karne ya 21 kizazi jeuri, kizazi kilicho data.
 
Wanaume wazuri wapo.

Biblia inasema. . ''Naye Yusufu alikuwa Mzuri wa sura''

Inamaana wazuri na wabaya wa sura wapo.
Nakazia mkuu.

Yoshua Bin Sira 11:2-"Usimsifu mtu kwa ajili ya uzuri wa uso, wala usimbeze kwasababu ya sura yake".

That means kuna wazuri na wabaya

Lakini hata Sauli alikuwa mzuri, soma 1Samweli 9:2-"Naye (Kishi) alikuwa na mwana, aliyeitwa jina lake Sauli, kijana, tena mzuri; wala katika wana wa Israel hakuwako mtu mzuri kuliko yeye; ....".
 
Hapo umenifurahisha, kwa Dunia yetu hii kataa kata kata Mwanaume kujinasibu Uzuri yaani kataa tena kataaa.... hayo mambo ya Biblia ni ya karne za kwanza kwanza huko sisi tupo karne ya 21 kizazi jeuri, kizazi kilicho data.
Inawezekana, Nafikiri Biblia ilitumia neno Wazuri ila sasahivi kwa Wanaume ndio wanatumia Mtanashati (Handsome) na kwa Wanawake Mrembo (Beautiful)
 
Hapo umenifurahisha, kwa Dunia yetu hii kataa kata kata Mwanaume kujinasibu Uzuri yaani kataa tena kataaa.... hayo mambo ya Biblia ni ya karne za kwanza kwanza huko sisi tupo karne ya 21 kizazi jeuri, kizazi kilicho data.

Ingekuwa vizuri kuweka Hoja yako kimantiki ili ilete maana, lakini kama ni Mtazamo au Maoni ni vizuri kusema haya ni Maoni tuu au wanaita Mapokeo.

Wapo wanaume wazuri wa Sura wanaokushinda hata wewe.
 
Haha libishi hilo.
Mi nashaangaa kwani mbona kuna wanawake wanasifia wanaume sijui wanasemaga.

Yule kk handsome boy hayo mambo yapo tu mbona hilo Lidada likaza fuvu tu na usagaji wake ptuuuh
 
Kama nani na kwa mamlaka kutoka kwa nani unasema wanaume wakatae kuitwa handsome? Huna cheo chochote serikalini, malalahoi na mbangaizaji. Kaa kimya!!!
 
Ingekuwa vizuri kuweka Hoja yako kimantiki ili ilete maana, lakini kama ni Mtazamo au Maoni ni vizuri kusema haya ni Maoni tuu au wanaita Mapokeo.

Wapo wanaume wazuri wa Sura wanaokushinda hata wewe.
Umebadili profile ili kuonesha uzuri na urembo wako
Kwani nani anakushughulisha hivyo hadi uhangaikie uzuri jamani.
 
Haha libishi hilo.
Mi nashaangaa kwani mbona kuna wanawake wanasifia wanaume sijui wanasemaga.

Yule kk handsome boy hayo mambo yapo tu mbona hilo Lidada likaza fuvu tu na usagaji wake ptuuuh
Sawa cha urembo na cha uzuri,
Vipi na Msambwanda unao!!?
 
Back
Top Bottom