Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,487
- 2,422
tulia wewe, wewe ni level za wale wasiojua kujiremba wananuka kama mambuzi.. ndio level zako ..sio wa level yangu kama ni uzuri nimekuambia sio mkeo wala dada zako hawanifikii kwa urembo...eti sina akili ya kutosha...ningekuhangaisha na mashudu yako????.....masikini ni wewe na ndugu zako huko!Mimi sio WA level yako kweli Kwa sababu;
1. Wewe sio mzuri wa Sura wala maumbile
2. Huna Akili ya kutosha ndio maana unawaza makope, makucha ATI ndio uzuri na uremboš¤£š¤£.
3. Ni Maskini, ndio maana unawaza fedha za wanaume badala ya kufanya kazi.
Subiri level zako Anitha, pigania ndoto yako. Itatimia TUU