Profile la Mwanamke anayehangaikia Ndoa

Profile la Mwanamke anayehangaikia Ndoa

Hongera mkuu kwa andiko zuri nakupongeza sana,

Ila hapa mkuu nikurekebishe kidogo kuna wakati mwili hua unajidhuru wenyewe pale inapotekea ukafanya kazi yake kinyume mfano mdogo ni magonjwa yasiyoambukiza km Pressure BP, Kisukari, Saratani, nk hayo ni baadhi ya yale ambayo mwili hufanya kujidhuru wenyewe

Pia kuna ugonjwa wa kucha kupasuka pasuka au kucha kuota nje ya njia yake, hapo pia mwili hujidhuru wenyewe
Labda kama haujui matokeo ya hizo changamoto ni ulaji mbovu, diet mbovu, lishe isiyozingatia virutubisho.

Ukiwa unakula kwa kuzingatia lishe bora, unafanya mazoezi, unapumzika vizuri, unakuwa makini na afya yako hayo magonjwa kuupata mwili labda urogwe.

Naomba urejee utaratibu wa lishe bora.
 
Subiri level yako,
Utabaki kurukia matawi kama ngedere.

Nimeshakuambia ili uwe MKE wangu unatakiwa uwe na vigezo hivi
1. Mzuri wa Sura na maumbile
2. Mwerevu na Elimu ya kutosha
3. Mwenye kipato

Sasa wewe huna kigezo chochote hapo.
naona umeruka kimanga weka picha ya mkeo hapo na mimi niweke mbona simple???!

Mkeo sio tu mbaya wa sura na maumbile, kakosa akili,na matunzo mpaka ukimuona unadhani ni mzee, she looks older than her actual age sababu ya kukosa matunzo.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kibongobongo ukiolewa mwanaume badala awe mwenza wako anakuwa mungu mtu.
Sasa hapo unategemea nini, hiyo ni Ndoa au upuuzi.

Alafu Mwanamke ATI anageuka Mdoli au maiti inayotembea.
Utapeli, uhuni, unyanyasaji, ukandamizaji, utesaji wa kihisia hiyo ndio muhtasari wa ndoa nyingi.
Vijana wanataka Reformation Kwa kupinga huu Utapeli, lakin ......
Ndoa zimekukosea Nini?
 
naona umeruka kimanga weka picha ya mkeo hapo na mimi niweke mbona simple???!

Mkeo sio tu mbaya wa sura na maumbile, kakosa akili,na matunzo mpaka ukimuona unadhani ni mzee, she looks older than her actual age sababu kakosa matunzo.

😂😂😂
Wewe unataka picha ya MKE wangu Wakati picha yangu tuu inakutoa Knockout 😂😂
Ndio maana nikakuambia wewe Subiri level yako
 
hahahha picha ya mkeo bana, wacha maneno mengi...si umesema mimi sio mzuri ndio uweke yake hapo...nani ana shida yako??? wewe mpuuzi nini?
🤣🤣🤣 ATI mpuuzi!

Sio nimesema wewe sio mzuri. Ni kuwa wewe sio mzuri hata wewe unajua Hilo. Ndio maana nikakuambia Huko Kwa MKE wangu unafika mbali.

Kigezo namba tatu kwenye Uzi kinakuhusu, huna vigezo vya kimaumbile wala kitabia.
Ndio maana unahasira.
Hiyo inaitwa matatizo ya kisaikolojia yanayosababishwa na Maumbile.
 
Hata kwenye utawala nako kuna chawa,kupe, wanyonyaji,mafisadi na wahuni wa madaraka. Maisha kizungumkuti🤣
 
Na wanawake wapo ambao hawataki ndoa - tena kwa hoja nzito nzito kabisa. Hili nalo mnalionaje wananzengo?

View attachment 2527183
Hizi ni mbaga tu hapa ameongea vitu ambavyo hata yeye havimake sense kwake so kimsingi amepuyanga.

Sasa mimi niulize. Ni kweli kwan anapata watoto kwaajiri ya mwanaume au watoto ni security yake katika ndoa ili mambo yakienda kushoto aseme nitateseka na watoto ili apewe kipaumbele katika mgao wa mali? Sijawahi kutana na mwanamke kapata mtoto na mwanaume masikini aseme watoto ni wa baba, ila ni mwanaume tajiri au mwenye mali tu ndio huambiwa nimemzalia watoto.

Kuchoka kimwili kwa mwanamke ni biological process kwan wanaume hatuzeeki? Hiyo ni hoja ya kipuuzi sijawahi kuona na ndio inadhihirisha kuwa wanawake wa miaka hii ni viumbe wa binafsi kupita maelezo na wanaongoza kwa kutojielewa kwa kifupi wana ignorance level kubwa sana juu ya mahusiano na ndoa.

Hivi niulize kwa mfano huyu aliyeandika hapa hakuna mwanaume ametaka kumuoa, hatopata watoto kwa kuzaa aidha na mwanaume wa mtu au hawa vijana wa "piga usepe"? Kimsingi mwanamke asipoheshimu ndoa atazaa tu nje ya ndoa so kuchoka mwili kwasababu ya kupata watoto kuko pale pale haimaanishi hawa masingle mother huku kitaa miili yao iliyotutumuka baada ya uzazi ni matokeo ya ndoa mbona matokeo yamekuwa yale yale. Na hata usipozaa mwili utachoka tu eventually mwanamke akishaanza kuwa mtu mzima lazima atagain uzito na mvuto kupungua.
 
🤣🤣🤣 ATI mpuuzi!

Sio nimesema wewe sio mzuri. Ni kuwa wewe sio mzuri hata wewe unajua Hilo. Ndio maana nikakuambia Huko Kwa MKE wangu unafika mbali.

Kigezo namba tatu kwenye Uzi kinakuhusu, huna vigezo vya kimaumbile wala kitabia.
Ndio maana unahasira.
Hiyo inaitwa matatizo ya kisaikolojia yanayosababishwa na Maumbile.
sasa mbona unaongea maneno mengi?? mkeo ana uzuri gani wa kunifikia??? wewe endelea kuota, huyo hanifikii hata kama kwa miujiza leo ukaanza kumhudumia....tusiongee maneno mengi nimekwambia weka picha yake, HUWEZI FUNGA BAKULI LAKO MANAKE IT MEANS MKEO HATA BIBI KIDUDE HAMFIKII...

Hasira ni unazo wewe na mkeo, sababu hamuonyeshani upendo, mna visirani....
 
Kila kona. Maisha yamezingirwa
Lakini nakupa hongera hakika mwanamke mwema hufatwa mwenyewe na kuombwa kuolewa. Lakini mwanamke kiazi analazimisha ndoa kama hujampa anakwenda kwengine kuitafuta. Hana la maana analopeleka kwenye ndoa zaidi ya kuwa mnyonyaji(chawaaa)
 
Nimekuambia Kwa MKE wangu tumefika Mbali.
Weka picha yako nami niweke yangu hapa, Watu watakuja kusema,

Unataka kuhudumiwa alafu hunavigezo.
Vidada vya hivi vinachekeshaga Sana.
Hapo ukakute ni kembamba, alafu hakajaenda shule, alafu kanablich kichwani😀😀
Kameweka kope na kucha ndefu ATI ndio kanahudumiwa🤣🤣

Embu weka picha yako nami niweke yangu hapa
 
Kwamba amesacrifice uzuri wake ampe mwanaume watoto.

Hii kauli ukiidadafua kisaikolojia utauona utapeli wa hali ya juu hahahaha.
Utadhani wakizalishwa na boda boda au mume wa mtu huwa hawasacrifise uzuri wao. Halafu kaongea utadhani asipozaa uzuri unabakia hivyo hivyo. Wema sepetu yule pale hajamzalia mtu, wala si mke wa mtu, kipo wapi saa hii nani anafukuzia tena ale mzigo ameshakuwa gari la taka!
 
Lakini nakupa hongera hakika mwanamke mwema hufatwa mwenyewe na kuombwa kuolewa. Lakini mwanamke kiazi analazimisha ndoa kama hujampa anakwenda kwengine kuitafuta. Hana la maana analopeleka kwenye ndoa zaidi ya kuwa mnyonyaji(chawaaa)

😀😀😀
 
sasa mbona unaongea maneno mengi?? mkeo ana uzuri gani wa kunifikia??? wewe endelea kuota, huyo hanifikii hata kama kwa miujiza leo ukaanza kumhudumia....tusiongee maneno mengi nimekwambia weka picha yake, HUWEZI FUNGA BAKULI LAKO MANAKE IT MEANS MKEO HATA BIBI KIDUDE HAMFIKII...

Hasira ni unazo wewe na mkeo, sababu hamuonyeshani upendo, mna visirani....
Weka yako halafu Robert aweke ya mkewe mimi niwe Judge wa kupasisha hapa🤣🤣
 
Lakini nakupa hongera hakika mwanamke mwema hufatwa mwenyewe na kuombwa kuolewa. Lakini mwanamke kiazi analazimisha ndoa kama hujampa anakwenda kwengine kuitafuta. Hana la maana analopeleka kwenye ndoa zaidi ya kuwa mnyonyaji(chawaaa)
🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom