Hayo ndio yanafanya Vijana waone ndoa ni ushenzi, uhuni na Utapeli.
Hawa Vijana wanataka na wake za Watu na wengine mabinti wanatoka na waume za Watu, tayari wameshaona kama nao wataoa au kuolewa kama mambo yenyewe ndio hayo basi hakuna umuhimu wa Ndoa.
Yaani kijana awe anatoka na wake za Watu alafu umwambie aoe, hvi hata ingekuwa wewe ungekubali?
Maana huo NI Utapeli, naona kabisa ndani ya Ndoa hakuna uaminifu, upendo, Haki, Ukweli. Yaani kila kitu ni negative.
Huo uzuri WA ndoa atauona wapi?
Ili ndoa iwe ya maana lazima waume za Watu waache kutongoza Wanawake wasiowake zao,
Na Wake za Watu wakitongozwa wakatae.
Ili Vijana waone kuwa kweli ndoa ni sehemu salama