Profile la kijana mkataa ndoa

lakini wanaokataa ndoa wana hoja nzito kuliko hata unavyofkilia wewe.

na wanaweza wakakupa hoja ukashindwa kuwajibu.
 
Nikipata muda nitaangalia hio education representation kati ya wanaume na wanawake Tanzania, ila i guess haiko sawa hata sasa hivi, na itachukua muda kuwa sawa, ndio maana watunga sheria waka consider hilo...
 
Koma wewe, una lipi uliloandika la maana, au hizi kejeli unaona unaandika kitu?!

Mjinga sophy sio mimi...kwa kuolewa na lijitu lenye mawazo ya kijima kama yak
Sasa Mimi na wewe Nani anamawazo ya kijima?
Kwenye ujima Mwanamke ndio kama mifugo mingine, anafugwa,
Lakini zama za sasa Wanawake wanatakiwa kuchangia kwenye ujenzi wa familia na Taifa.

Sasa wewe wakuhudumiwa kama maiti au Mdoli na Mimi nani mjima?
 
Hahhah haki na ukweli unaoutetea ni upi na umeanza lini????wewe ambaye kila mwanamke kwako ni zimwi lisilofaa kujaliwa,leo unatetea lipi???

Eti umepima, umepimia kwa kipimo gani????tuambie?lol

Mimi ni sumu ya matapeLi na mazimwi manyonyaji kama wenye mawazo Kama yako.
 
Sasa Mimi na wewe Nani anamawazo ya kijima?
Kwenye ujima Mwanamke ndio kama mifugo mingine, anafugwa,
Lakini zama za sasa Wanawake wanatakiwa kuchangia kwenye ujenzi wa familia na Taifa.

Sasa wewe wakuhudumiwa kama maiti au Mdoli na Mimi nani mjima?
Mjima ni wewe unayedhani mwanamke ni mtu asiyepaswa kuhudumiwa, wewe na topics zako zote unazoleta humu zinakuonesha wewe ni mjima.
 
Mjima ni wewe unayedhani mwanamke ni mtu asiyepaswa kuhudumiwa, wewe na topics zako zote unazoleta humu zinakuonesha wewe ni mjima.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Shule ulienda kusomea ujinga.
Ujima ndio uliotoa huo mfumo wa kumhudumia Mwanamke kwani ulimchukulia Mwanamke kama kiumbe dhaifu, mlemavu mwenye mapungufu, asiyeweza kumiliki wala kuzalisha Mali zake.
Mpaka Wanawake wakalemaa, na ninyi ni vizalia vya ujima.

Wewe ukiulizwa utoe hoja tatu nzito Kwa nini Mwanamke ahudumiwe utatoa majibu, au ndio utaleta viroja humu?

Acheni Utapeli
 
Nikipata muda nitaangalia hio education representation kati ya wanaume na wanawake Tanzania, ila i guess haiko sawa hata sasa hivi, na itachukua muda kuwa sawa, ndio maana watunga sheria waka consider hilo...
Achana na izo mambo za kuconsider sijui wakina nani walizitunga izo sheria elekezo mawazo yako kwenye usawa wa sheria husika naona unajitahidi sana kuwarushia mpira hao waliotunga izo sheria, tuseme hawakua sahihi na wanaume waliokwepo walifanya uzembe kushindwa kuitetea jinsia yao lakini je ndio tuziache ivyo ivyo wakati tunaona zinakandamiza upande mmoja?

Sheria sio eternity dada yangu zinaweza kubadiliahwa muda wowote zikionekana zimepitwa na wakati. Izo sheria zilitungwa zamani kipindi ambacho wanawake wana maadili na wanajua nafasi zao kama wanawake katika familia na walikua wameachwa nyuma kwenye nyanja nyingi kama elimu, ajira, kurithi mali n.k

Kwa sasa izo sheria zishapitwa na wakati kuzitumia kwa wanawake hawa wanaoyaangalia mahusiano kama source of income or escaping route of their financial responsibilities ni kumwandalia mwanaume bomu ambalo litamlipukia muda wowote.
 
1.Kuna namna tumepungukiwa na maadili. Kwasababu ni sahihi mtu kutokutaka kitu fulani ila kuwahubiria watu wote wakatae hapo ndio maswali yangu yanaibuka juu ya hii kampeni.

2.Hatujalelewa katika misingi ya malezi ya kiafrica.

3.Mara nyingi hatujapata malezi ya pande mbili.

4.Tunaogopa commitment.

5.Ni ma miss independent, ma feminist na wengine ni ma equalist. (hapa ndipo ilipo msingi wa matatizo yote) (Arrogant)

6.Wengine hawajapata wa kuwaoa japo wamejaribu hapa na pale kwahiyo wameamua tu kuikataa sababu na yenyewe imewakataa. Infact, Wao na ndoa wamekataana.

Kila mtu anatakiwa kuyafahamu mapungufu yake kabla hajaja kutuhubiria kukataa ndoa. Shida ya wakataa ndoa hawataki kukiri madhaifu yao, au wanayafahamu ila wanakaza mafuvu au hawayafahamu wanajiona wako sawa.


Ukiniulizia kwanini nimetumia neno "tume" nitaeleza.
 
Hata hivyo jamani kuna watu kwa tabia zao jinsi zilivyo ni salama zaidi wao kutokuoa wala kuolewa. Wacheni kuwalazimisha na kuwafanya wajisikie vibaya.

Ndoa si kitu cha kukifanya kwasababu jamii inataka hivyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…