Profile la kijana mkataa ndoa

Profile la kijana mkataa ndoa

Jibuni hoja zao acheni kuwashambulia personal.. wanakataa ndoa kwa maana inamkandamiza mwanaume. Baada ya talaka mali zinagawanywa wakati mwanaume ndie aliezitolea jasho, mke anaweza kukopa hela kwa jina la mumewe na mume ndie akawajibika kulipa huo mkopo, mume anawajibika kwa matunzo ya mke hata kama mke anajimudu kiuchumi n.k je kuna usawa hapo. Mnaotetea ndoa jaribuni kuzipangua hoja za wakataa ndoa maana ninachoona huwa mnawqshambulia wao binafsi kama mashoga, madomo zege, wanakwepa wajibu wao, hawajiamini n.k ila hoja zao mnaziluka

Matapeli wataupingaje Utapeli
 
Ukiwekwa mdahalo wa wanaokataa ndoa washindi ni hao kutokana na wewe kuwa kwenye kundi hilo,ina maana judgment yako iko biased tayari, kwa hio sasa hivi hamkatai ndoa tena mnataka walio bikira? makuubwa.
seems hujaelewa kabisa main point yangu iko wapi aiseee....!!!
 
Nimeshamtolea na mfano kuwa kwanini humu threads za wanandoa wengi zinaelezea mabaya kuliko mazuri? Je hao watu wana-pretend? lakini bado naona anakaza fuvu tu ila naamini ukweli anaujua.
Ukweli ni upi????utaje,kama ni kuelezea mabaya nimekuuliza kwa nini humu JF relatively wanaozungumzia mabaya ni wengi kuliko wanaozungumzia mazuri,naona hujanibu?
seems hujaelewa kabisa main point yangu iko wapi aiseee....!!!
Iseme ilipo...
 
Atakua anapretend kabisa,sikujua udhaifu alionao sio ku pretend tu na unafiki anao,utampaje soda mtu usiyemjua kivuli cha mtandaoni? unajuaje kama Anitha ni kimbwa tu kina type???? yaani pretender plus unafiki na wewe mwenye ni za ajabu, hio couple yenu kiboko!

Nilimuambia usingekubali.

Labda anajua ni kimbwa hivyo hahitaji kuwa really kwacho. Anakifanyia pusi!pusi!
Wewe kimbwa au Ngedere unaweza kumchukulia Seriously?
 
Nilimuambia usingekubali.

Labda anajua ni kimbwa hivyo hahitaji kuwa really kwacho. Anakifanyia pusi!pusi!
Wewe kimbwa au Ngedere unaweza kumchukulia Seriously?
sasa kimbwa kukipa soda si ndio unafiki wenyewe huo?,tufanye mimi ni kimbwa kweli does that mean mkeo ni mnafiki kweli? khaa
 
Oeni vijana mpate changamoto maisha ya ndoa yana raha Na karaha ila ni karaha za kukuchangamsha unless kama ukimfumania muache ila kama ni tabia mbaya basis muelekeze ataelewa tu Na we we una mapungufu..nakupenda mama kija Wangu

NB:sijafunga harusi official ila naishi naye mwaka Wa Pili sasa kuna kipindi anasiakiaga habari za Mimi kumcheat ila ananivumilia sana Na pombe zangu duh

Kwa hizo tabia zako we utakuwa unatombewa tu
 
We1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30's and under...

2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially..

3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.

4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,

5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.

Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
 
1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30's and under...

2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially..

3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.

4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,

5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.

Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
Wengi ni mashoga
 
Jibuni hoja zao acheni kuwashambulia personal.. wanakataa ndoa kwa maana inamkandamiza mwanaume. Baada ya talaka mali zinagawanywa wakati mwanaume ndie aliezitolea jasho, mke anaweza kukopa hela kwa jina la mumewe na mume ndie akawajibika kulipa huo mkopo, mume anawajibika kwa matunzo ya mke hata kama mke anajimudu kiuchumi n.k je kuna usawa hapo. Mnaotetea ndoa jaribuni kuzipangua hoja za wakataa ndoa maana ninachoona huwa mnawqshambulia wao binafsi kama mashoga, madomo zege, wanakwepa wajibu wao, hawajiamini n.k ila hoja zao mnaziluka
Tufanye usawa hakuna, ila hizi sheria zilitungwa na wanawake pekee?? si ni jopo la wanaume pia ndio walitunga hizo sheria?? na mbona kuna wanaume wenzenu kibao tu wanaoa ingawa wanajua kabisaa wakiachana mali zinagawanywa pasu? au ni wajinga nyie ndio werevu sana???!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom