hujanitukana???, acha unafiki uende mbinguni.....Mimi sikutukani. Ila sijakukataza kunitukana ikiwa ndio unapata relief.
Sophy ni MKE wangu ndio maana ninakushangaa😂😂
Sophy Hana muda wa kugombana na watu asiowafahamu.
Utatukana Wanawake wenzako humu , Sisi tunakutazama tuu.
Ninakushauri, changia ukiwa umetulia. Usiwe na hasira, wengi humu huwajui, na hawakujui sasa hasira za nini.
Hii mijadala nimeifatilia sana, trust me ukiwekwa mdahalo kati ya WANAOKATAA NDOA na WANAOIKUBALI NDOA,, 100% Washindi watakuwa ni WANAOKATAA NDOA kwa sababu ya hoja zao kuwa za msingi,,vijana hatujakataa kuoa endapo tu sheria inayomtetea mwanamke na kumpa kiburi itabadilishwa halafu kingine mwanamke anayeililia ndoa ahakikishe thamani yake kama mwanamke (bikra) bado ipo...that's all.michango ya wakataa ndoa ni mingi mbona hatulalamikii ushawishi wao?
Nawasubirieni tuone nani yuko depressed nyie ma misogynists...
Hii mijadala nimeifatilia sana, trust me ukiwekwa mdahalo kati ya WANAOKATAA NDOA na WANAOIKUBALI NDOA,, 100% Washindi watakuwa ni WANAOKATAA NDOA kwa sababu ya hoja zao kuwa za msingi,,vijana hatujakataa kuoa endapo tu sheria inayomtetea mwanamke na kumpa kiburi itabadilishwa halafu kingine mwanamke anayeililia ndoa ahakikishe thamani yake kama mwanamke (bikra) bado ipo...that's all.
Wengi ni mashoga au wanadeka1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30's and under...
2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially..
3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.
4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,
5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.
Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
Ndio nawasubiria sasa tapika basi,nyie si mko tayari kucheza na ngedere sasa mnaogopa nini nikiwasubiria??eti wanaandaa mambo ya nyumbani labda hilo li bepari lako.Wenye uhakika wa Ndoa wametulia zao saa hizi wanaandaa mambo ya Nyumbani, wewe unatusubiri Watu unaotuita misogynists, hiyo ni Akili au Matope😂😂
hujanitukana???, acha unafiki uende mbinguni.....
Sophy kama hana muda wa kugombana na watu asiowafahamu umemuita wa nini kama hukutaka kutugombanisha??? wanafiki kama wewe mfe tu!
Eti nichangie nikiwa nimetulia,,kwa hio umekua mpiga ramli humu ushajua sijatulia...unachekesha!
Ukiwekwa mdahalo wa wanaokataa ndoa washindi ni hao kutokana na wewe kuwa kwenye kundi hilo,ina maana judgment yako iko biased tayari, kwa hio sasa hivi hamkatai ndoa tena mnataka walio bikira? makuubwa.Hii mijadala nimeifatilia sana, trust me ukiwekwa mdahalo kati ya WANAOKATAA NDOA na WANAOIKUBALI NDOA,, 100% Washindi watakuwa ni WANAOKATAA NDOA kwa sababu ya hoja zao kuwa za msingi,,vijana hatujakataa kuoa endapo tu sheria inayomtetea mwanamke na kumpa kiburi itabadilishwa halafu kingine mwanamke anayeililia ndoa ahakikishe thamani yake kama mwanamke (bikra) bado ipo...that's all.
Anita kwahiyo unalazimisha vijana waoe??1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30's and under...
2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially..
3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.
4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,
5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.
Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
Sawa.Wengi ni mashoga au wanadeka
Mke wa Misogynist sikujua anaitwa Sophy,nilidhani ni Sophy wa humu ndani,my bad😂😂😂
Sasa anitha, unakataa MKE wangu haitwi Sophy, unajua jina lake? Au ndio lile la misogynist,
😀😀
sio mada yangu,soma uelewe ila kimlengo yes waoe,....Anita kwahiyo unalazimisha vijana waoe??
Jibuni hoja zao acheni kuwashambulia personal.. wanakataa ndoa kwa maana inamkandamiza mwanaume. Baada ya talaka mali zinagawanywa wakati mwanaume ndie aliezitolea jasho, mke anaweza kukopa hela kwa jina la mumewe na mume ndie akawajibika kulipa huo mkopo, mume anawajibika kwa matunzo ya mke hata kama mke anajimudu kiuchumi n.k je kuna usawa hapo.1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30's and under...
2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially..
3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.
4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,
5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.
Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
Nimeshamtolea na mfano kuwa kwanini humu threads za wanandoa wengi zinaelezea mabaya kuliko mazuri? Je hao watu wana-pretend? lakini bado naona anakaza fuvu tu ila naamini ukweli anaujua.Na tabia za kinyonyaji, Utapeli, ndizo Watu wanazipinga.
Watu wanandoa na wanaona Hilo, huyu anajifanya kipofu
Ndio nawasubiria sasa tapika basi,nyie si mko tayari kucheza na ngedere sasa mnaogopa nini nikiwasubiria??eti wanaandaa mambo ya nyumbani labda hilo li bepari lako.
Nimeshamtolea na mfano kuwa kwanini humu threads za wanandoa wengi zinaelezea mabaya kuliko mazuri? Je hao watu wana-pretend? lakini bado naona anakaza fuvu tu ila naamini ukweli anaujua.
Atakua anapretend kabisa,sikujua udhaifu alionao sio ku pretend tu na unafiki anao,utampaje soda mtu usiyemjua kivuli cha mtandaoni? unajuaje kama Anitha ni kimbwa tu kina type???? yaani pretender plus unafiki na wewe mwenye views za ajabu, hio couple yenu kiboko!😂😂
Bepari ameniambia hapa nikutumie walau Pesa ya soda ushushie.
Nimemuambia Kwa hasira ulizonazo sidhani hata hiyo soda itashuka achilia mbali kukubali kununuliwa.
Itakuwa ana-pretend huyu, sio ndio Anitha?😂😂