Professor Karim or the Comedy of Errors

Professor Karim or the Comedy of Errors

Wanapenda fujo hii dini balaa Islamic state wamechinja wakristu 20 yaani dini ya Shari na mauaji

ISIL is a Western Judeo-Christian Zionist tool for Western powers hegemony and does not represent Islam. However if you are pointing a finger to Islam about the killings then how about:

#The Crusafe wars from Europe to Jerusalem
#The Spanish Inquisition (The Catholic wars of Europe)
# The Russian Bolshevik Revolution
# The WW1
# The WW2
# The Holocaust (6million Jews )
# Hiroshima and Nagasaki Nuclear bomb
# The Korean War
# Vietnam War
# The Algerian war by France (beheading of freedom fighters)
# Zanzibar Revolution
# The Killing fields of Cambodia (Khmer Rouge)
# The Gulf War 1991
# Invasion of Iraq
# The Drone Attacks of
# The Liberian Civil war
# The Rwanda Genocide
# The LRA of Uganda
# The CAR masacres
and the list goes on. Are all those wanton killing are Islamic Killings?
 
Intellectual debate in Tanzania is nonexistent today, at least in my view... I wish we had more of the PLO Lumumbas in this country than these st.p.d rel.g.s zealots. Tanzania has become something like a "banana republic."
 
Tanzania and most African countries had been duped into false independence in the name of the church. Jomo Kenyata said, "The missionaries came into us with their bible in their hand with no land. They gave us the bible to pray with our eyes closed when.we opened our eyes they have the lands and we have the bible in our hands."
 
FF,
Yaani wewe hata kama shule imepanda vipi naona kama haikusaidii ikiwa hautaacha hiyo disposition ya udini. Ningekushauri ufuatilie maigizo ya Mzee Majuto wakati ndo anaanza kushamiri kwenye soko (DTv), alitumia lugha hiyo lakini hakuwa na maana unayomaanisha wewe.Nafikiri kosa langu kubwa hapo nilisahau kufanya citation ya King Majuto.
Wow...siamini kama umeenda mbali kiasi hicho. Sorry kama umekuwa offended but I could use jina lolote as sikuwa nafikiria the way ulivyo-distinguish.

Mtutukane kirejareja halafu mje kumsingizia Majuto? Unanshangaza!
 
Hii makala imetafsiriwa toka Kiswahili kwenda Kiingereza kutumia Google Translate or some such similar online translation service. Sasa kama Mwandishi ni kaka, dada, au Professor Griffiths wa Jamaat Al Maimuuna utajaza! Lakini angalau amejaribu ingawa upeo kiduchu hawezi na hakufanikiwa kabisa kukusoa makala ya Prof Hirji.

Na wewe fikra zako walioifanya "google translate" walitaka ifanye kazi ipi?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Historian asiyeijua Historia, asiyejua Religion did not mobilise a social political change in Tanganyika during the struggle for independent, but only to determine. For sure mleta mada uje utupe majibu.
 
"English please" - Matola

English ipi unayotaka wewe au ni hii English ya makafiri?, Uarabuni kuna English, bora ungesema tujadili kwa lugha ya Kiarabu hapo ningekuelewa. Nyie watu UNAFIKI unawamaliza na hamuwezi lazimisha vitu visivyokuwepo vyenye mrengo wa kuwagawa wananchi.

Nimeeleza hapo juu hao mnaowaita wazee wenu walipigania Uhuru kwa manufaa ya nani? au ilikuwa kwa manufaa ya kidini? Kama wapo hai mpaka sasa nadhani wanashangaa jinsi mnavyopindisha mambo kwa manufaa ya kidini, mbaya zaidi mnaenda mbali na kuanza kulialia kinafiki.

Chapa kazi hizo dini tumeletewa tuu ili zituchanganye, haiwezekani waliotuletea wao wametulia sie huku tunatoana macho mpaka kufikia hatua ya kudistort history kwa manufaa ya dini fulani.

WAKE UP GUYS!!!!!!!! fuatilia hii HOW ROME CREATED ISLAM, halafu uje unambie kwa nini tuchukiane mimi na wewe kisa dini zetu ni tofauti na tufikia hatua ya kupindisha historia ya nchi kwa mrengo wa kidini..
 
WORK UP GUYS!!!!!!!! fuatilia hii HOW ROME CREATED ISLAM, halafu uje unambie kwa nini tuchukiane mimi na wewe kisa dini zetu ni tofauti na tufikia hatua ya kupindisha historia ya nchi kwa mrengo wa kidini..

Usinishambulie bure kwa maneno ya Matola au hujaona kilichoandikwa?

Mimi nimefikisha ujumbe tu, mjumbe hauwawi.
 
Last edited by a moderator:
English ipi unayotaka wewe au ni hii English ya makafiri?, Uarabuni kuna English, bora ungesema tujadili kwa lugha ya Kiarabu hapo ningekuelewa. Nyie watu UNAFIKI unawamaliza na hamuwezi lazimisha vitu visivyokuwepo vyenye mrengo wa kuwagawa wananchi.

Nimeeleza hapo juu hao mnaowaita wazee wenu walipigania Uhuru kwa manufaa ya nani? au ilikuwa kwa manufaa ya kidini? Kama wapo hai mpaka sasa nadhani wanashangaa jinsi mnavyopindisha mambo kwa manufaa ya kidini, mbaya zaidi mnaenda mbali na kuanza kulialia kinafiki.

Chapa kazi hizo dini tumeletewa tuu ili zituchanganye, haiwezekani waliotuletea wao wametulia sie huku tunatoana macho mpaka kufikia hatua ya kudistort history kwa manufaa ya dini fulani.

WORK UP GUYS!!!!!!!! fuatilia hii HOW ROME CREATED ISLAM, halafu uje unambie kwa nini tuchukiane mimi na wewe kisa dini zetu ni tofauti na tufikia hatua ya kupindisha historia ya nchi kwa mrengo wa kidini..

Wewe mtoto acha kuropoka.
Nani aliyekwambia Kuna lugha yenye dini?
Kwa Upeo wako ulio mdogo unadhani ktk waarabu Hakuna Makafiri sio?
Ugalatia ni giza baya mno.

Halafu usijilazimishe kutumia Lugha za Kigeni Tu kwa sababu Akili yako inakwambia Lugha hio inakwendana na Imani yako!
Sasa hapo Unapotuandikia 'WORK UP YOU GUYS' sijui ulikuwa na nia ya Kuandika Wakeup you Guys? Au Kitu kingine?! Hio utajua Mwenyewe.

Mnafiki Ni Babu yako Mchonga meno na yeye ndie aliye wagawa Watu kwa minaajili ya Kidini.

Leo mnapanga mipango ya kuipa maiti yake UTAKATIFU.
Wanafiki wakubwa Nyie.

Historia ya kweli ikisomeshwa pia Roho zinawauma. Hivi nyie wagalatia nani kawaroga?

Mnfnsssssssss!
Laatullah.
 
Kuna upande unajaribu kulazimisha kuwa wao ndio hasa wakombozi wa Taifa hili kuliko upande mwingine. Lakini sasa tupo huru hebu tupiganie maendeleo zaidi kuliko historia ambayo haitusaidii sana, kama mnataka sifa anzeni hata na kutengeneza sindano za vyerehani hapahapa kwetu!
 
Wewe mtoto acha kuropoka.
Nani aliyekwambia Kuna lugha yenye dini?
Kwa Upeo wako ulio mdogo unadhani ktk waarabu Hakuna Makafiri sio?
Ugalatia ni giza baya mno.

Halafu usijilazimishe kutumia Lugha za Kigeni Tu kwa sababu Akili yako inakwambia Lugha hio inakwendana na Imani yako!
Sasa hapo Unapotuandikia 'WORK UP YOU GUYS' sijui ulikuwa na nia ya Kuandika Wakeup you Guys? Au Kitu kingine?! Hio utajua Mwenyewe.

Mnafiki Ni Babu yako Mchonga meno na yeye ndie aliye wagawa Watu kwa minaajili ya Kidini.

Leo mnapanga mipango ya kuipa maiti yake UTAKATIFU.
Wanafiki wakubwa Nyie.

Historia ya kweli ikisomeshwa pia Roho zinawauma. Hivi nyie wagalatia nani kawaroga?

Mnfnsssssssss!
Laatullah.

Chalii najua unapotaka kuelekea, sasa hiyo ni sawa na kuukimbiza upepo. Lugha za matusi hazisaidii katika mijadala. Haya kwa leo umeshinda . UNTIL NEXT TIME!!!!!!!!!
 
Wewe mtoto acha kuropoka.
Nani aliyekwambia Kuna lugha yenye dini?
Kwa Upeo wako ulio mdogo unadhani ktk waarabu Hakuna Makafiri sio?
Ugalatia ni giza baya mno.

Halafu usijilazimishe kutumia Lugha za Kigeni Tu kwa sababu Akili yako inakwambia Lugha hio inakwendana na Imani yako!
Sasa hapo Unapotuandikia 'WORK UP YOU GUYS' sijui ulikuwa na nia ya Kuandika Wakeup you Guys? Au Kitu kingine?! Hio utajua Mwenyewe.

Mnafiki Ni Babu yako Mchonga meno na yeye ndie aliye wagawa Watu kwa minaajili ya Kidini.

Leo mnapanga mipango ya kuipa maiti yake UTAKATIFU.
Wanafiki wakubwa Nyie.

Historia ya kweli ikisomeshwa pia Roho zinawauma. Hivi nyie wagalatia nani kawaroga?

Mnfnsssssssss!
Laatullah.

Zaidi ya matusi hakuna kingine unachokijua.
 
Zaidi ya matusi hakuna kingine unacho kijua.

Umekosea mkuu.
Andiko la bwana pia nalijua. Ngoja nikuonjeshe kiduchu usijesema Mimi muongo.

Methali 26:12

"Je! Wamwona mtu mwenye hekima machoni pake mwenyewe? Afadhali kumtumaini mpu.mbavu kuliko yeye.-

Km unataka Ziada Usisite kuniuliza.

Sasa kwa sababu mmeshatia adabu. Turudi kwenye Mnakasha!
 
Punjab Singh,
Chief Abdullah Mkwawa alikuwa na nduguye ambae alikuwa mmoja wa majemadari wake jina lake lilikuwa Yusuf.

Asanta Prof. M.Said, I will check about him. Master you shone the light but they choose to stay in the dark. By the way Ms. Faiza asked one of them if he knew the meaning of Mkawa and none of them responded. I wonder of these were the current Kivukoni Lecturers what would have been the future for the younger generation? I don't want to imagine that we would have had a huge flock of Parrots praising "Long Live The Chairman!"
 
English ipi unayotaka wewe au ni hii English ya makafiri?, Uarabuni kuna English, bora ungesema tujadili kwa lugha ya Kiarabu hapo ningekuelewa. Nyie watu UNAFIKI unawamaliza na hamuwezi lazimisha vitu visivyokuwepo vyenye mrengo wa kuwagawa wananchi.

Nimeeleza hapo juu hao mnaowaita wazee wenu walipigania Uhuru kwa manufaa ya nani? au ilikuwa kwa manufaa ya kidini? Kama wapo hai mpaka sasa nadhani wanashangaa jinsi mnavyopindisha mambo kwa manufaa ya kidini, mbaya zaidi mnaenda mbali na kuanza kulialia kinafiki.

Chapa kazi hizo dini tumeletewa tuu ili zituchanganye, haiwezekani waliotuletea wao wametulia sie huku tunatoana macho mpaka kufikia hatua ya kudistort history kwa manufaa ya dini fulani.

WAKE UP GUYS!!!!!!!! fuatilia hii HOW ROME CREATED ISLAM, halafu uje unambie kwa nini tuchukiane mimi na wewe kisa dini zetu ni tofauti na tufikia hatua ya kupindisha historia ya nchi kwa mrengo wa kidini..
Sasa wewe hii lugha uliotumia hapa unataka ujibiwe kwa kubembelezewa kama unayaweza vumilia.
 
nataka kujua Lugaro fort ipo maeneo gani nchi hii, aliyeandika hivi ni mwanazuoni, mtaalam wa Historia Ilongailunga. wala si maneno yangu, ukishindwa kaa pembeni.

teh teh teh, unavyomtetea mleta mada, gwiji la Historia anayeshindwa hata kujua ngome ya Mkwawa ilikuwa wapi na Wajerumani walikuwa wapi, huyo anakosa sifa automatically za ku-make a critique, hebu jisomee hapo chini alichoandika

"It was not Mkwawa with the support of
Abushiri who stormed German fort in Lugaro?
Was not Bwana Heri who organize his people
to fight aginst German? "

Hii ameipata wapi? Huu ni upuuzi.

It is a shame calling yourself a historian, yet you don't even know relationship of Lugalo and the Mkwawa's victory of 1891
To help your rotten mind...Lugalo was an area where Von Zelewsky was attacked with his African Muslim askaris from the coast. located about 20 kilometres east of Iringa town...
Mkwawa's fort was in Kalenga about 30 kilometres west of Iringa meaning Kalenga and Lugalo are about 50 kilometers apart and this fort in Kalenga was called LIPULI...surrounded by a 13 km in diameter wall made by stonnes, tree logs and with askaris's towers...The surrounding of LIPULI fort with those materials was called LIRINGA hence the name Iringa which you know today.

It is a shame whenever you want to associate Mkwawa life with Islam..he wasn't a Muslim but his sons converted ro Islam later on. ...To help you..did you ever hear or read slave trade conducted in Iringa?
Associating Mkwawa with Abushiri or Bwana Heri is nothing short of sheer madness...please do us a favour by providing any credible reference to support your case

By Ilonga Kaitan Ilunga
(ilongailunga)

It was not Mkwawa with the support of Abushiri who stormed German fort in Lugaro?

Hivi hapa tatizo ni kushindwa kuelewa Lugha au mna tatizo gani nyie wandugu? Wapi mtoa mada alikopotosha, Je Wajerumani hawakuweka Base yao katika eneo la Lugalo walipotaka kumshambulia Mkwawa katika hiyo miaka ya 1891 na Wajerumani kupata kipigo kikali? Ni wapi mtoa mada alikosema kitu tofauti?

Hebu someni tena alichoandika Mtoa mada, na kisha angalieni "references" zilizowekwa humu na Punjab Singh, Ritz, na FaizaFoxy ili mjue kuwa ima ni weupe wa historia au mna uwezo mdogo wa kuelewa na kutafsir kilichoandikwa. Na huenda ndio ikawa sababu, pamoja na kujinasibu kwenu kuwa mmesoma, lakini mmekuwa vinara wa kuiingiza nchi katika "mikataba ya Giza"; kumbe mna upeo mdogo kutafsiri maandishi.
 
Gautama,
Kila siku akitufunza Maalim wetu Sheikh Haruna akisema,"Ingia kwenye
mnakasha kwa nia ya kujifunza kutoka kwa mwenzako.''

Umetumia neno, "upuuzi."

Ikiwa ile taarifa wewe huna ilikuwa kumuomba mwenzako kwa adabu na
uungwana akufahamishe rejea.

Mkwawa alikuwa akipata silaha za kupigana na Wajerumani kutoka
kwa Waarabu.

Mkwawa alikuwa akiandika kwa herufi za Kiarabu na jina lake la Kiislam
ni Abdullah na alikuwa na nduguye ambae alikuwa jemedari katikajeshi
lake jina lake lilikuwa Yusuf.

Unajua kumekuwa na hofu kubwa sana ya historia ya Uislam kiasi kwa
miaka mingi imefanyika juhudi za makusudi kufuta historia hii.

Songea Mbano Chifu wa Wangoni aliyepambana na Wajerumani
katika Maji Maji jina lake khasa ni Ali Songea Mbano.

Huyo alinyongwa na wenzake karibu 60 wote Waislam.

Lakini jina la "Ali" alilopewa na baba yake halitajwi.

Kaburi lake lipo kwenye kumbukumbu ya Maji Maji Mahenge,
Songea atakae afike pale akaone khiyana iliyofanywa kubadilisha
historia hii.

Atakae anaweza kwenda Kalenga atakuta kila kitu pale kuhusu
Mkwawa hadi hizo barua alizokuwa akiandikiana na Waarabu.
Naogopa kusema kuwa katika ujana wetu nikifahamiana vyema na
marehemu Chief Abdul Mkwawa, kitukuu cha Mtwa Mkwawa.

Baba yangu pia akijuana na Abdallah Ross mtoto wa dada yake
Chief Adam Sapi Mkwawa.

Huyu Abdallah Ross baba yake alikuwa Muingereza.
Nafahamiana vyema tu na mtoto wa Abdallah Ross ni umri wangu.

Katika mazungumzo ya kawaida sana kati ya wazee wetu hawa mimi
nikiwa mdogo niliokota mengi ambayo leo nikikumbuka nashangaa sana.

Mengine ndiyo haya nayaleta hapa majlis.

Hebu soma hapa chini:

"How many see today in the national museums in East Africa of
names of Omani liberators like Muhammad bin Khalfan Al-Barwani,
popularly known as "Rumaliza" who put a bullet through a hole killing
a Germany soldier in Tanganyika who was wiping out Hehes?

Or Bushir bin Salim Al-Harthi who was arrested and hanged in
Pangani because of the war he had unleashed against Germans in
order to drive them from Tanganyika?"

(Kwa kuwa hii ni kutoka kazi ya ambayo niafanyia tafasiri na
haijachapwa sitakupa citation).

Mjadala si ugomvi.

Jadili tu kwa utaratibu ili wasikizaji waone raha kila wakiona post
yako wajikwae kwa kuikimbilia kuisoma.

Ukitaka habari zaidi za Mkwawa na Waarabu msome Ali Muhsin
Barwani
"Conflict and Harmony in Zanzibar."

Mimi nimekutana na kitukuu cha Rumaliza, Sheikh Mohamed Said,
Dubai
mwaka wa 1991.

Anazo habari nyingi za babu yake mkuu, Rumaliza na tulizungumza
mengi.

https://www.jamiiforums.com/#_ednref1
 
Back
Top Bottom