Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,762
- 5,276
Mambo ya google translate haya -Swahili to English.
Bora ungeposti kwa Kiswahili tu kaka.
Bora ungeposti kwa Kiswahili tu kaka.
Kuandika kwenyewe shida kunakusumbuwa sembuse ndio ujuwe history?
Ungejaribu kuandika kwa kiswahili ili sisi wengine akina Maimuna tujue ulichomaanisha. Nimeambulia neno moja tu kwenye Taito ya habari "Proffessor" lakini hata hivyo na umaimuna wangu sina hakika nalo kama liko sahihi.:biggrin::biggrin::biggrin:
Mambo ya google translate haya -Swahili to English.
Bora ungeposti kwa Kiswahili tu kaka.
Ahahaha,kweli bwana halafu nataka niwaulize hawa waungwana,kwanin ukiwa mwisilamu kila saa unaonewa,unabaguliwa n.k?
Mgalatia jaribu kuusoma.ujumbe, sio kutazama Spelling errors!
Hivi nyie watu Lini mtatoka nje ya Box? Au mpaka Yesu Atakakaporudi?
Naskia Vatican Wamesema kuwa Mshkaji Amesala, harudi tena.
= historia
Ukichanganya neno la Kingereza na Kiswahili amma unaliwekea "inverted commas" amma unaliwekea (mabano).
JF ni darsa kubwa kuliko shule yoyote uliyowahi kupitia. Kumbuka hilo.
Mnatuonea Gere ya bikra 70
I see!!....
Abushir fought the Germans alone in Bagamoyo, Tanga and Saadani. GAUTAMA (This is Indian name Gautam). Are you refering the Lugalo Camp of Kawe? Teh teh teh. Omg! It is like refering Urambo of Tabora and Urambo st. Kinondoni. Teh teh teh.
Lugalo was where is The German Base in Tabora in 1891!
Soma zaidi: Lugalo | Mkwawa.com
Na nyie mna shida, you need to be ignored
It is a shame calling yourself a historian, yet you don't even know relationship of Lugalo and the Mkwawa's victory of 1891
To help your rotten mind...Lugalo was an area where Von Zelewsky was attacked with his African Muslim askaris from the coast. located about 20 kilometres east of Iringa town...
Mkwawa's fort was in Kalenga about 30 kilometres west of Iringa meaning Kalenga and Lugalo are about 50 kilometers apart and this fort in Kalenga was called LIPULI...surrounded by a 13 km in diameter wall made by stonnes, tree logs and with askaris's towers...The surrounding of LIPULI fort with those materials was called LIRINGA hence the name Iringa which you know today.
It is a shame whenever you want to associate Mkwawa life with Islam..he wasn't a Muslim but his sons converted ro Islam later on. ...To help you..did you ever hear or read slave trade conducted in Iringa?
Associating Mkwawa with Abushiri or Bwana Heri is nothing short of sheer madness...please do us a favour by providing any credible reference to support your case

Wewe mla gomba mimi sio saizi yako kabsaa, mimi niko mtimilifu (japo si mkamilifu) sio kama wewe ndani ya miaka zaidi ya 30 bado unahama na mama ati kwa kuwa Mama kapewa notisi ya kuhama nyumba. Nenda kale gomba na wenzio sinza huko kisha ukawaambukize watoto wa wenzio huko kimara kwenu. Please, stay away mzururaji mkubwa wee
Prof GAUTAMA.
Kasome hiki kitabu.
Bibliographic information
TitleNgome ya mianzi: hadithi ya vijana kuhusu vita vya lugalo kati ya wahehe na wadachi 1891AuthorMugyabuso M. MulokoziPublisherMPB Enterprises, 2000Original fromIndiana UniversityDigitized2 Jun 2010Length50 pagesSubjectsForeign Language Study--African Languages
Hivyo ulivyoandika ulifikiri utaeleweka huyo kaka'ko unaemkosoa ni yupi? Fikiri.
Nani aliyekudanganya kuwa akina "Maimuna" hatujuwi Kingereza?
Try me.
Kwenye mnakasha wa kistaarabu,
Ulichoandika kinaonyesha aina ya ustaarabu ulionao.
Abushir fought the Germans alone in Bagamoyo, Tanga and Saadani. GAUTAMA (This is Indian name Gautam). Are you refering the Lugalo Camp of Kawe? Teh teh teh. Omg! It is like refering Urambo of Tabora and Urambo st. Kinondoni. Teh teh teh.
Lugalo was where is The German Base in Tabora in 1891! [COLOR=#ff0000(I beg to correct this error thanks to you,originaly it was supppsed to be a question since as we read the note in red below refered a journey from Tosamagaga to Lugalo next day meeting):[/COLOR]
"Lugalo was where the German Base in Tabora in 1891or near Mahenge?"
ref to Soma zaidi : Lugalo | Mkwawa.com