Professor Karim or the Comedy of Errors

Professor Karim or the Comedy of Errors

yaani huyo Ilongailunga,pamoja na kutumia "synonyms english words" ili aonekana anajuwa kunyosha kingereza kumshinda prof.hirji,ukisoma unaona pumba nyingi halafu mchele mchache.:smile-big::smile-big:

Mkuu labda unaweza nisaidia, huyu mleta mada amesema Mkwawa alipigana na Mjerumani katika ngome ya Lugaro, unapafahamu? Teh teh teh, mi naijua ngome ya Kalenga... Mistake aliyoifanya Prof Hirji kwenye Mnakasha wa kwanza, kuandika Mau Mau badala ya Maji Maji waliikomalia wakasema hilo tu linaidiscredit critique nzima ya Hirji... Sasa nawaomba waje naona wanaepa.

CC Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:

Dada yetu FaizaFoxy huwa anawauliza huko shule mmeenda kusomea ujinga? Ina maana hamjui kuwa mapigano ya Mkwawa na wajerumani yalifanyika katika ngome ya wajerumani sehemu iitwayo Lugalo na ngome ya Mkwawa, Kalenga? Basi hata Hamjiulizi ile kambi ya Lugalo pale Dar jina lake limetokana na nini? Mimi si mwanahistoria lkn najua kuwa fort Lugalo ni pahali ambapo Mkwawa aliwapiga wajerumani. Mbona mtoa mada yuko sahihi kabisa, mna tatizo la kutoelewa mazingatio nyie. Khaa
 
Dada yetu FaizaFoxy huwa anawauliza huko shule mmeenda kusomea ujinga? Ina maana hamjui kuwa mapigano ya Mkwawa na wajerumani yalifanyika katika ngome ya Lugalo na Kalenga? Basi hata Hamjiulizi ile kambi ya Lugalo pale Dar jina lake limetokana na nini? Mimi si mwanahistoria lkn najua kuwa fort Lugalo ni pahali ambapo Mkwawa aliwapiga wajerumani. Khaa

Unajua maana ya Ngome? Hata mahali alipopigana Mkwawa unapajua, Kalenga yenyewe unaijua kweli?, Kama hujui vitu ukae kimya Mkuu. Wenye ujuzi na historia watakujuvya
 
Last edited by a moderator:
Mkuu labda unaweza nisaidia, huyu mleta mada amesema Mkwawa alipigana na Mjerumani katika ngome ya Lugaro, unapafahamu? Teh teh teh, mi naijua ngome ya Kalenga... Mistake aliyoifanya Prof Hirji kwenye Mnakasha wa kwanza, kuandika Mau Mau badala ya Maji Maji waliikomalia wakasema hilo tu linaidiscredit critique nzima ya Hirji... Sasa nawaomba waje naona wanaepa.

CC Nguruvi3

Yes He Chief Mkwawa and together with Rumaliza fought the Germans under their leader Emil von Zelewisky at Lugalo on 16 August 1891.
This is the war that gave Mohammed Khalfan the nickname Rumaliza

to continue...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unaweza kuniambia ilipo Lugaro Fort aliyoiandika mheshimiwa Mleta mada?

CC Ritz
Hii ngome ilikuwa Iringa ambapo katika miaka ya 1891 Mjerumani alipokea kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa Mkwawa. Mmezoea kukariri hamjazoea kushughulisha ubongo wenu ndio maana kila kitu mnaona siyo. Sasa kama hata hili la fort lugalo hujui, ndo utakuja kuijua historia iliyotaftiwa na Al alama Mohamedsaid?
 
Last edited by a moderator:
Hii ngome ilikuwa Iringa ambapo katika miaka ya 1891 Mjerumani alipokea kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa Mkwawa. Mmezoea kukariri hamjazoea kushughulisha ubongo wenu ndio maana kila kitu mnaona siyo. Sasa kama hata hili la fort lugalo hujui, ndo utakuja kuijua historia iliyotaftiwa na Al alama @M@MohamedSaid?

Kuandika kwenyewe shida kunakusumbuwa sembuse ndio ujuwe history?
 
mleta mada ananikumbusha "comical Ali"

Wamarekani walimla kichwa na ukomedi wake
 
Unajua maana ya Ngome? Hata mahali alipopigana Mkwawa unapajua, Kalenga yenyewe unaijua kweli?, Kama hujui vitu ukae kimya Mkuu. Wenye ujuzi na historia watakujuvya
Sasa swali lako ni nini? Ngome au Lugalo au Lugaro? Ni ujinga huu inadhihirisha kwani magazeti yanapoandika "Dar in major dispute with the Donors" kwani hapa wanamaanisha nini? Jiji la Dar au Tanzania
 
Kuandika kwenyewe shida kunakusumbuwa sembuse ndio ujuwe history?

Wewe mla gomba mimi sio saizi yako kabsaa, mimi niko mtimilifu (japo si mkamilifu) sio kama wewe ndani ya miaka zaidi ya 30 bado unahama na mama ati kwa kuwa Mama kapewa notisi ya kuhama nyumba. Nenda kale gomba na wenzio sinza huko kisha ukawaambukize watoto wa wenzio huko kimara kwenu. Please, stay away mzururaji mkubwa wee
 
We pimbi ulikua una haja gani ya ku quote maneno yote wakati umeandika ushuzi tu

Pimbi, chokonoko, Ma.vi ya Mwalimu wa Kibasila, uharo, matapishi ni wewe. This is free world I am exercising my freedom, kwa hiyo kama hujapenda kajinyonge lakini usinitukane wewe mbwiga mkubwa
 
Hii ngome ilikuwa Iringa ambapo katika miaka ya 1891 Mjerumani alipokea kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa Mkwawa. Mmezoea kukariri hamjazoea kushughulisha ubongo wenu ndio maana kila kitu mnaona siyo. Sasa kama hata hili la fort lugalo hujui, ndo utakuja kuijua historia iliyotaftiwa na Al alama Mohamedsaid?

Sasa umeandika nini? rudia kusoma ulichoandika then naomba majibu yangu.
 
Last edited by a moderator:
Sasa swali lako ni nini? Ngome au Lugalo au Lugaro? Ni ujinga huu inadhihirisha kwani magazeti yanapoandika "Dar in major dispute with the Donors" kwani hapa wanamaanisha nini? Jiji la Dar au Tanzania

nataka kujua Lugaro fort ipo maeneo gani nchi hii, aliyeandika hivi ni mwanazuoni, mtaalam wa Historia Ilongailunga. wala si maneno yangu, ukishindwa kaa pembeni.
 
Last edited by a moderator:
Yes He Chief Mkwawa and together with Rumaliza fought the Germans under their leader Emil von Zelewisky at Lugalo on 16 August 1891.
This is the war that gave Mohammed Khalfan the nickname Rumaliza

to continue...

Umelielewa swali we mhindi? rudia kulisoma vizuri swali langu, Hayo matakataka mengine siyahitaji.

Nipo pembeni nimejibanza nakusubiri, huku nikila mahindi ya kukaangwa, hapa kwetu tunaita ng'arangwe.
 
On the 17th august 1891 von zelewsky with his 320 soldiers was ambushed by mkwawa army in their fort at lugalo
 
Back
Top Bottom