Faiza you will never teach me history of my own tribe..history of my ruler and history of my region
His name wasn't Mkwawa but rather Mkwavinyika ..kwa kihehe kukwava ni kutwaa/kunyakua na nyika ni nuika ....so Mkwawa is neither Hehe nor Bantu
Gautama,
Kila siku akitufunza Maalim wetu Sheikh Haruna akisema,"Ingia kwenye
mnakasha kwa nia ya kujifunza kutoka kwa mwenzako.''
Umetumia neno, "upuuzi."
Ikiwa ile taarifa wewe huna ilikuwa kumuomba mwenzako kwa adabu na
uungwana akufahamishe rejea.
Mkwawa alikuwa akipata silaha za kupigana na Wajerumani kutoka
kwa Waarabu.
Mkwawa alikuwa akiandika kwa herufi za Kiarabu na jina lake la Kiislam
ni Abdullah na alikuwa na nduguye ambae alikuwa jemedari katikajeshi
lake jina lake lilikuwa Yusuf.
Unajua kumekuwa na hofu kubwa sana ya historia ya Uislam kiasi kwa
miaka mingi imefanyika juhudi za makusudi kufuta historia hii.
Songea Mbano Chifu wa Wangoni aliyepambana na Wajerumani
katika Maji Maji jina lake khasa ni Ali Songea Mbano.
Huyo alinyongwa na wenzake karibu 60 wote Waislam.
Lakini jina la "Ali" alilopewa na baba yake halitajwi.
Kaburi lake lipo kwenye kumbukumbu ya Maji Maji Mahenge,
Songea atakae afike pale akaone khiyana iliyofanywa kubadilisha
historia hii.
Atakae anaweza kwenda Kalenga atakuta kila kitu pale kuhusu
Mkwawa hadi hizo barua alizokuwa akiandikiana na Waarabu.
Naogopa kusema kuwa katika ujana wetu nikifahamiana vyema na
marehemu Chief Abdul Mkwawa, kitukuu cha Mtwa Mkwawa.
Baba yangu pia akijuana na Abdallah Ross mtoto wa dada yake
Chief Adam Sapi Mkwawa.
Huyu Abdallah Ross baba yake alikuwa Muingereza.
Nafahamiana vyema tu na mtoto wa Abdallah Ross ni umri wangu.
Katika mazungumzo ya kawaida sana kati ya wazee wetu hawa mimi
nikiwa mdogo niliokota mengi ambayo leo nikikumbuka nashangaa sana.
Mengine ndiyo haya nayaleta hapa majlis.
Hebu soma hapa chini:
"How many see today in the national museums in East Africa of
names of Omani liberators like Muhammad bin Khalfan Al-Barwani,
popularly known as Rumaliza who put a bullet through a hole killing
a Germany soldier in Tanganyika who was wiping out Hehes?
Or Bushir bin Salim Al-Harthi who was arrested and hanged in
Pangani because of the war he had unleashed against Germans in
order to drive them from Tanganyika?"
(Kwa kuwa hii ni kutoka kazi ya ambayo niafanyia tafasiri na
haijachapwa sitakupa citation).
Mjadala si ugomvi.
Jadili tu kwa utaratibu ili wasikizaji waone raha kila wakiona post
yako wajikwae kwa kuikimbilia kuisoma.
Ukitaka habari zaidi za Mkwawa na Waarabu msome Ali Muhsin
Barwani "Conflict and Harmony in Zanzibar."
Mimi nimekutana na kitukuu cha Rumaliza, Sheikh Mohamed Said,
Dubai mwaka wa 1991.
Anazo habari nyingi za babu yake mkuu, Rumaliza na tulizungumza
mengi.
https://www.jamiiforums.com/#_ednref1
Ona huyu mwingine sijui unakurupuka kutoka wapi...haya sasa nipe mashule hayo mzee Punjab Sikh...Indeed Hehes and Benas are related but where did you get that Son of Munyigumba was a Bena?Indeed Mkawawa was not Hehe not Bantu he is from Wabena tribe. But that does not mean he was not what he was.
Indeed Mkawawa was not Hehe not Bantu he is from Wabena tribe. But that does not mean he was not what he was.
Mkuu sana Punjab, Heshima kwako.
Mkwawawa ndio nani?
Unaposema not Hehe not Bantu but Bena unamaanisha nini?
Wabena sio Wabantu?, kwani Wabantu ni kina nani?
Mkuu Punjab ulielewa kweli alichosema chamakh?
Hapa umepotosha katika Lugha, na Historia pia
Kesho Mungu akijaalia nitakuwekea link ufyonze Elimu, lakini itakupendeza Sheikh wangu, basi utanijibia maswali yangu hayo.
Nipo macho nimejibanza ukutani na lita moja ya Ulanzi naupuliza ili Nzi, Nyuki na wadudu wengine wakae pembeni, kisha naunywa.
Uuuuuuuwi! Watu wa "mrima" eti leo wanataka kutufundisha kiswahili watu wa madras! hii kali ya mwaka lah!Kwa akili zenu finyu za kutunga maana basi hata neno "stara" mtakuwa hamjalisikia na maana yake pia hamjui. Haya tupeni maana ya neno "usta"...
Al Haj Mohamed Said utaniwia radhi kwa matamshi yangu ya neno "upuuzi" katika mnakasha huu kwani sie wa huku Mang'ula hatukufunzwa vyema.
Lengo langu hasa si kuhusu haya uliyoyaandika, lengo langu ni kuweka vizuri kumbukumbu ya matukio ya Kihistoria iliyopotoshwa na Maalim Mohamed Al Qushayri Ilongailunga.
Lakini kwa kua umeniletea hizi hadith, basi sina budi kuzisemea kidogo.
Swala la Mkwawa kutumia silaha kutoka kwa waarabu halina mantiki, ile ilikuwa biashara, hakupewa bure na walikuwa na Interest zao kama Wajerumani tu. kumbuka Biashara ya utumwa, Kwa hiyo kama umelink foundations za ukombozi na Uarabu/ Uislamu hii premise yako imekaa vibaya.
Swala la Mkwawa kujua kuandika lugha ya kiarabu halina mantiki, hata mimi ninajua kiarabu na sio Muislamu bali Mgalatia, that means kama angefanya biashara na wajerumani ( not their interest) Mkwawa angekijua Kijerumani. Mkwawa kama alikuwa Muislamu basi ni kwa strategy tu, we si unaona 98% ya Wahehe si Waislamu, that means it started with Mkwawa (Strategically) and ended with Mkwawa.
Historia ya Uislamu Kalenga? pale pana historia ya Ukombozi.
Al Haj Mohamed Said utaniwia radhi kwa matamshi yangu ya neno "upuuzi" katika mnakasha huu kwani sie wa huku Mang'ula hatukufunzwa vyema.
Lengo langu hasa si kuhusu haya uliyoyaandika, lengo langu ni kuweka vizuri kumbukumbu ya matukio ya Kihistoria iliyopotoshwa na Maalim Mohamed Al Qushayri Ilongailunga.
Lakini kwa kua umeniletea hizi hadith, basi sina budi kuzisemea kidogo.
Swala la Mkwawa kutumia silaha kutoka kwa waarabu halina mantiki, ile ilikuwa biashara, hakupewa bure na walikuwa na Interest zao kama Wajerumani tu. kumbuka Biashara ya utumwa, Kwa hiyo kama umelink foundations za ukombozi na Uarabu/ Uislamu hii premise yako imekaa vibaya.
Swala la Mkwawa kujua kuandika lugha ya kiarabu halina mantiki, hata mimi ninajua kiarabu na sio Muislamu bali Mgalatia, that means kama angefanya biashara na wajerumani ( not their interest) Mkwawa angekijua Kijerumani. Mkwawa kama alikuwa Muislamu basi ni kwa strategy tu, we si unaona 98% ya Wahehe si Waislamu, that means it started with Mkwawa (Strategically) and ended with Mkwawa.
Historia ya Uislamu Kalenga? pale pana historia ya Ukombozi.
Hivi Ndiyo vitu tunasema Ndiyo viliudanganya uislamu , dini siyo jina, kusini ninakotoka majina ya abdallah, tatu ni majina ya asili sana na wamejaa makanisani, na kwa mantiki ya Imani hii Ndiyo iliyotoa nafasi kwa ukristo kueneA, kwani walitambua kuwa mtu kuitwa Ali haimanishi ni musilamu, kwa hiyo ukinieleza kwa nini Mkwawa na wajukuu zake wawe Waisilamu na Kabila nzima la kihehe 98% wawe wakristo Ndiyo utaaanza kunielewaMkuu umeona hapo juu Mkwawa alikuwa Muislam na jina Lake ni Abdulla. Hahahahaha kweli historia ya skuli imenipotosha mengi. Ngoja nijifunze miye katika nchi iliyoletewa Uhuru wake na Waislam pekee.
Yusuf kwenye bible alikuwa dini gani, labda Ndiyo huyo unayemsema? Ndugu yangu hayo ni Majina na wakati wa utumwa matumizi ya hayo majina yalikuwa very common, leo Augustino ramadahani, wajukuu zako watasema alikuwa muisilamu kama huku acha kuwapeleka madrassaPunjab Singh,
Chief Abdullah Mkwawa alikuwa na nduguye ambae alikuwa mmoja wa majemadari wake jina lake lilikuwa Yusuf.
inadequate and polluted belief in faith Ndiyo iligawa Dunia, na kama ha tutakuwa waangalifu itagawa Nchi hii, hili si Ajabu, mifano ipo. Na suala kubwa la maana ni mipango ya Musa mrefur, ni mtu mmoja nitamuheshimu sana mama salma kikwete, yeye ametumia Muda wake kujenga misingi ya elimu na lazima miaka kumi inayo kuja itaanza kulipa. Waisilamu kama walikuwa nyuma ni baada ya uhuru, lakini baada ya 1967 shule zilitaifishwa, elimu ili kuwa bure, mpaka mkristo mwinyi alipokuja kufutA, leo ni lawama Mtindo mmoja, mimi kwa uhai wangu wa Shule nimeona vitu Vingi ambayo havikuashiria kutia maanani elimu, uoga wa kula Nguruwe, arusi za utotoni, nk. Hata leo tunazungumzia kariakoo , Wenye kariakoo wako ulaya wanakula Nguruwe , waliobaki ni kulalama tuu tunaonewa tunaonewa , Kariakoo wakina massawe wanainunua kwa kwenda Mbele, wajukuu Wao wataendeleza sera hiyo hiyo tumefukuzwa kwetu , tumefukuzwa kwetu. Haisaidii, mipango ya Muda mrefu inasaidia muigeni salma kikweteThis is killing your organs inside you chamakh. You did not know that Mkwawa was Musliman!!! Go to the Kalenga Museum ask for his great grand son (Kitukuu) Mr. Zubeir Suleiman.
Alot of Kivukoni historians who wrote about the heroism of these indigenous heroes at national level and tribal level but never about their faith. And whenever someone brings this up then people like you starts a war of words.
Why don't you just admit that this is not what you were fed and made to believe all time? Teh teh teh.
Wewe shida hujui historia, unasoma habari kwenye magzeti ya Shigongo sijui, Hiyo habari kuwa waJerumani waliweka base Lugalo umeipata wapi? Hiyo ngome unayosema ilikuwepo Lugalo ni kitabu gani cha Historia kimendika?
inadequate and polluted belief in faith Ndiyo iligawa Dunia, na kama ha tutakuwa waangalifu itagawa Nchi hii, hili si Ajabu, mifano ipo. Na suala kubwa la maana ni mipango ya Musa mrefur, ni mtu mmoja nitamuheshimu sana mama salma kikwete, yeye ametumia Muda wake kujenga misingi ya elimu na lazima miaka kumi inayo kuja itaanza kulipa. Waisilamu kama walikuwa nyuma ni baada ya uhuru, lakini baada ya 1967 shule zilitaifishwa, elimu ili kuwa bure, mpaka mkristo mwinyi alipokuja kufutA, leo ni lawama Mtindo mmoja, mimi kwa uhai wangu wa Shule nimeona vitu Vingi ambayo havikuashiria kutia maanani elimu, uoga wa kula Nguruwe, arusi za utotoni, nk. Hata leo tunazungumzia kariakoo , Wenye kariakoo wako ulaya wanakula Nguruwe , waliobaki ni kulalama tuu tunaonewa tunaonewa , Kariakoo wakina massawe wanainunua kwa kwenda Mbele, wajukuu Wao wataendeleza sera hiyo hiyo tumefukuzwa kwetu , tumefukuzwa kwetu. Haisaidii, mipango ya Muda mrefu inasaidia muigeni salma kikwete
Hivi Ndiyo vitu tunasema Ndiyo viliudanganya uislamu , dini siyo jina, kusini ninakotoka majina ya abdallah, tatu ni majina ya asili sana na wamejaa makanisani, na kwa mantiki ya Imani hii Ndiyo iliyotoa nafasi kwa ukristo kueneA, kwani walitambua kuwa mtu kuitwa Ali haimanishi ni musilamu, kwa hiyo ukinieleza kwa nini Mkwawa na wajukuu zake wawe Waisilamu na Kabila nzima la kihehe 98% wawe wakristo Ndiyo utaaanza kunielewa
Huyo "Musa mrefur" ndiyo nani tena? Amma kwa hakika kila siku tunapata ilmu mpya JF, haya tuelezee mimi sijawahi kusikia visa vyake huyo.
Unaonesha uko duniani ya kale kuliko mimi niliyekuzidi umri, pata darsa dogo kuhusu vyakula vya halali "Ulaya":
Halal food going mainstream in Europe
The business of selling food that is halal, or acceptable to Muslims, is set to grow rapidly in Europe in coming years as more supermarket chains target the sector. Frits van Dijk, executive vice president at the worlds biggest food group Nestlé, told Reuters at the World Halal Forum Europe in The Hague that he expected the halal food business in Europe to grow by 20 to 25 percent within the next decade
Chanzo: Halal food going mainstream in Europe Nestlé
![]()
![]()
The chance that census data will anger and make Christians to riot is nil, the chance that census data will make Muslims to get angry and riot is 100%' by the way the meaning is clear and meant Muda mrefu and has sent the message straight. in business selling a variety of products is basically market segmentation, and with labours costs as high as they are ,halal can mean executed with a guillotineWe know that names does not guarantee the religion we know about that. But that doesn't mean it will justify your denial of Mkwawa being a musliman. And please give us the source of your 98% Hehes being Christians.
You guys were adamant against the Census data to include religious origin. Too scared huh? At least I am in a minorty as our community is dwindled.