Professor Karim or the Comedy of Errors

Professor Karim or the Comedy of Errors

Who authored the sources of what you call real history of Tanzania? I am doubting someone drawing conclusions basing on sources he knows himself. I have read prof` submission sounds very fair and logical. The author of this topic seems to belong from those group of people intoxicated with fabricated belief that Muslims have been down simply because of christian been inpower. Inferiority complex is dearly killing you, hawa hawa ndo wanaolia mpaka Leo kwamba wapo maskini sababu ya Nyerere mtu aliyetoka madarakani 31 years ago.
 
Hawa nieakupuuzwa tu maandiko mareefu full kueneza udini na vi English vyako vyakuunga ivo ... Kwanini usijadili maendeleo, kuna watu wamevamia Uislamu wanapenyeza chuki mwisho wasiku waone vita wakristo nawaislam wanapigana wao mbioo. Nadhani hii ni agenda yao. Ndugu zangu waislam msiposimama kukemea watu kama hawa wanaharibu sana hadhi ya dini yenu kwenye jamii. Nihawa hawa utawasikia wakisema Alshabaab na Boko haram eti wanapigania haki zao, sijui haki gani izo watu wanateka, kuchinja watu kama kuku nakubaka wanawake wakiwemo waislam wenzao. Seriously mkiyafumbia macho hate ya dini yenu haitaisha na watu wataona wote nyie ni sawa na kambare na tope
 
inabidi nivute pumzi.... hoja nzito maswali yameulizwa... watu wanakimbia majibu.... elimu ya historia sina.. naanza kujifunza hapa....
 
Mkwawa is a Bena and not Bantu because Bena originate from Ethiopia and Ethiopians are Hemitic people from Ham. By the way Chief Kiwanga of Mahenge are related, Kiwanga is 'Ndalivale' and Mkwawa is 'Muyigumba' and their relation to Chiefs of Kidodi.
Keep your dictionary and correct every typo mistakes GAUTAMA

Ahsante kwa maelezo yako, je unajua the logic behind the Bantuism? Mkuu Punjab nina wasi wasi hizi habari unachukua wikipedia, hazipo sahihi.
 
Last edited by a moderator:
Gautama,
Hapana neno ndugu yangu kukasirika ukasema neno ndiyo ubinadamu
wenyewe wala si jambo la kutofunzwa.

Nimekusoma vyema ila hili la "religious distribution," la Wahehe...

Mimi katika kitabu changu cha Abdul Sykes nimeeleza kwa kirefu tatizo
la "religious distribution" katika hizi nchi zetu.

Ikiwa unacho kitabu hicho unaweza ukakipitia na utaona nini nimesema.
Katika somo hili mwalimu wangu alikuwa Prof. Ali Mazrui.

Unaweza ukamsoma hapa: Ali A. Mazrui,"African Islam and Competitive
Religion:Between Revivalism and Expansion," in Third World Quarterly Vol.
10 No. 2 April 1988, uk. 499 - 518.

Hicho ulichokisema ni kitu "nyeti," kwa kuwa huwezi kuja na "source," ya
hiyo 98%.

Ala kuli hali.

Ninachotaka kukueleza ni kuwa hapo uliposimama wewe mimi nilikuwapo
na nikahama miaka mingi iliyopita na laiti kama nisingifanya hivyo hakuna
mwanafunzi wa historia ya Afrika angenitazama.

Hivi sasa mwelekeo ni, "Revisionist Histories," na sikutanii katika hili fanya
utafiti utajua.

Mimi nimeandika kwa mwelekeo huo na ndiyo maana leo tupo hapa kila
mtu anataka kuja kutusikiliza.

Ukisimama kwenye "Ukombozi," peke yake na ukatishwa na "Uislam,"
katika kumjua Mkwawa utakuwa msomi wa kizamani.

TANU na Nyerere.
Niliona haja ya historia hii kuandikwa upya.

Ukombozi ndiyo lakini sikubaki hapo nikataka kujua kwa nini katika TANU
viongozi wake wa mwanzo na wanachama walitoka Al Jamiatul Islamiyya
fi Tanganyika?

Kwa nini Nyerere alipigana vita ile na Waislam kwa kiasi kikubwa ndiyo
walikuwa washirika wake?

Nikaandika kitabu cha Abdul Sykes...

Nilipotoka hapo nikataka kujua vipi Kanisa likaja kuwa na nguvu katika
siasa za Tanzania na kwa nini Waislam wakarudi nyuma ilhali wao ndiyo
walitangulia katika kupambana na ukoloni?

Nikaandika, "Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in
Tanzania" (karibuni kitatoka In Sha Allah).

Wasomi wa sasa na naamini wewe ni kijana na ni msomi wa sasa wansema,
"toka kwenye sanduku."

Ndugu yangu mwisho.
Jiepushe na kibri kwani kibri kinaangamiza.

Mimi sijakuletea "hadithi," mimi nimekuandikia kutoka rejea za wasomi.
Jiepushe na lugha kama hizi.

Hapa tunasomwa na dunia nzima.

DSCN0096.JPG

Kushoto: Tamim Faraj (Mhadhiri MUM), Prof. Ali Mazrui
na Mwandishi. Hii picha tulipiga Nile Hilton Kampala
Mwaka 2003.

Ahsante Al Alama Mohamed Said kwa kunifunza adabu za mnakasha, Hakika Mungu akijaalia Maalim FaizaFoxy nae ataiona hii Elimu maana yeye muda mwingi hutukosea adabu sie watu wa Mang'ula na mie kijana wa ujanani.

Nirudi kwenye hoja zako sasa.

Kwanza unaposema nitoke nje ya "Kisanduku" inakua ngumu MS, kwa sababu hata nikiwa nje ya kisanduku bado hutaniona MS, kumbuka maandiko yako yapo katika subjective dimension( not an offense, its naturally). sifikirii katika tafiti zako unategemea kukutana na kitu tofauti na unachokitafuta (violating the rules of scientific research).

Hata Ikitokea ukazungumzia foundations za ukombozi huko Mbeya kwa kina Chief Merere, basi si ajabu akaitwa Chief Khalid Merere ili kutimiza kile unachokitarajia, hii si sahihi ndio maana nikatumia neno hadith na nitaomba samahani kwa kukukwaza.

Swala la wahehe kuwa 98% si Waislamu wakati Mtwa Mkwavinyika alikuwa Muislamu (niliiona barua yake) bado halijibiki isipokuwa kwa hoja yangu kuwa Mkwawa aliwatumia waarabu kwa ajili ya biashara na kujilinda (silaha). Kama Kanisa lingekuwa limeovertake, lilishindwaje kule lilikoanzia (Bagamoyo)? ambapo kwa kijiji cha Kaole tu kuna Misikiti zaidi ya 5,
Bwana Kheri aliupokea Uislamu akawapa watu wake, Mkwawa aliutumia kwa matumizi yake aliyoyapanga na ndio maana hakuusambaza kwa watu wake.
 
Last edited by a moderator:
Yusuf kwenye bible alikuwa dini gani, labda Ndiyo huyo unayemsema? Ndugu yangu hayo ni Majina na wakati wa utumwa matumizi ya hayo majina yalikuwa very common, leo Augustino ramadahani, wajukuu zako watasema alikuwa muisilamu kama huku acha kuwapeleka madrassa

Kwanini usifungulie nyuzi ukatupa darsa la huyo Yusuf wa kwenye Biblia, sisi tutakuja kukujibu. Hapa kuna darsa la historia ya Tanganyika.
 
Ahsante Al Alama Mohamed Said kwa kunifunza adabu za mnakasha, Hakika Mungu akijaalia Maalim FaizaFoxy nae ataiona hii Elimu maana yeye muda mwingi hutukosea adabu sie watu wa Mang'ula na mie kijana wa ujanani.

Ukisikia uongo ndiyo huo, leta ushahidi wa nilipokukosea adabu.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea uongo?
 
Ahsante Al Alama Mohamed Said kwa kunifunza adabu za mnakasha, Hakika Mungu akijaalia Maalim FaizaFoxy nae ataiona hii Elimu maana yeye muda mwingi hutukosea adabu sie watu wa Mang'ula na mie kijana wa ujanani.

Nirudi kwenye hoja zako sasa.

Kwanza unaposema nitoke nje ya "Kisanduku" inakua ngumu MS, kwa sababu hata nikiwa nje ya kisanduku bado hutaniona MS, kumbuka maandiko yako yapo katika subjective dimension( not an offense, its naturally). sifikirii katika tafiti zako unategemea kukutana na kitu tofauti na unachokitafuta (violating the rules of scientific research).

Hata Ikitokea ukazungumzia foundations za ukombozi huko Mbeya kwa kina Chief Merere, basi si ajabu akaitwa Chief Khalid Merere ili kutimiza kile unachokitarajia, hii si sahihi ndio maana nikatumia neno hadith na nitaomba samahani kwa kukukwaza.

Swala la wahehe kuwa 98% si Waislamu wakati Mtwa Mkwavinyika alikuwa Muislamu (niliiona barua yake) bado halijibiki isipokuwa kwa hoja yangu kuwa Mkwawa aliwatumia waarabu kwa ajili ya biashara na kujilinda (silaha). Kama Kanisa lingekuwa limeovertake, lilishindwaje kule lilikoanzia (Bagamoyo)? ambapo kwa kijiji cha Kaole tu kuna Misikiti zaidi ya 5,
Bwana Kheri aliupokea Uislamu akawapa watu wake, Mkwawa aliutumia kwa matumizi yake aliyoyapanga na ndio maana hakuusambaza kwa watu wake.

Uislam hausambazwi, unaanza kufikiri kikanisa kanisa ukifikiri kuwa Uislam unasambazwa, Uislam unajisambaza wenyewe na halazimishwi mtu kuukubali Uislam ni wewe na akili yako.
 
Ahahaha,kweli bwana halafu nataka niwaulize hawa waungwana,kwanin ukiwa mwisilamu kila saa unaonewa,unabaguliwa n.k?
Msome Albart Pike n umuelewe... uislm ni dini iliyokamili...so the clsh between capitalism n socialism is almost over ... now is the fighting between Islamic civilization vs capitalists ...
 
Ahsante Al Alama Mohamed Said kwa kunifunza adabu za mnakasha, Hakika Mungu akijaalia Maalim FaizaFoxy nae ataiona hii Elimu maana yeye muda mwingi hutukosea adabu sie watu wa Mang'ula na mie kijana wa ujanani.

Nirudi kwenye hoja zako sasa.

Kwanza unaposema nitoke nje ya "Kisanduku" inakua ngumu MS, kwa sababu hata nikiwa nje ya kisanduku bado hutaniona MS, kumbuka maandiko yako yapo katika subjective dimension( not an offense, its naturally). sifikirii katika tafiti zako unategemea kukutana na kitu tofauti na unachokitafuta (violating the rules of scientific research).

Hata Ikitokea ukazungumzia foundations za ukombozi huko Mbeya kwa kina Chief Merere, basi si ajabu akaitwa Chief Khalid Merere ili kutimiza kile unachokitarajia, hii si sahihi ndio maana nikatumia neno hadith na nitaomba samahani kwa kukukwaza.

Swala la wahehe kuwa 98% si Waislamu wakati Mtwa Mkwavinyika alikuwa Muislamu (niliiona barua yake) bado halijibiki isipokuwa kwa hoja yangu kuwa Mkwawa aliwatumia waarabu kwa ajili ya biashara na kujilinda (silaha). Kama Kanisa lingekuwa limeovertake, lilishindwaje kule lilikoanzia (Bagamoyo)? ambapo kwa kijiji cha Kaole tu kuna Misikiti zaidi ya 5,
Bwana Kheri aliupokea Uislamu akawapa watu wake, Mkwawa aliutumia kwa matumizi yake aliyoyapanga na ndio maana hakuusambaza kwa watu wake.

Okay bring us the proof that Mtwa Mkwavinyika was not a real Musliman.And since you claim 98% and he was a Christian bring us a proof that he was a Christian preacher so that he could spread Chriastianity to his Hehe people to reach 98%.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa maelezo yako, je unajua the logic behind the Bantuism? Mkuu Punjab nina wasi wasi hizi habari unachukua wikipedia, hazipo sahihi.

I think you are taking your theory of Bantuism and Afrocentricim form Wikipedia. I don't trust everything that is writen in wikipedia. As I stated before no one among you knows my age. Wikipedia just came 10 years ago. Did you know that the land of Tanganyika and all those lands that we now call Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Zambia, Malawi, Botswan and Zimbabwe was known as one land called Ethiopia?
Did you know that this land that we now call Tanganyika got its name in 1920?
Did you know that Kigoma was under Belgian colonization till 1920 when it was handed over to the British as part of Tanganyika?
 
Okay bring us the proof that Mtwa Mkwavinyika was not a real Musliman.And since you claim 98% and he was a Christian bring us a proof that he was a Christian preacher so that he could spread Chriastianity to his Hehe people to reach 98%.

Mi sijasema hivo ulivyosema wewe, tafadhali yasome tena maandishi yangu
 
I think you are taking your theory of Bantuism and Afrocentricim form Wikipedia. I don't trust everything that is writen in wikipedia. As I stated before no one among you knows my age. Wikipedia just came 10 years ago. Did you know that the land of Tanganyika and all those lands that we now call Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Zambia, Malawi, Botswan and Zimbabwe was known as one land called Ethiopia?
Did you know that this land that we now call Tanganyika got its name in 1920?
Did you know that Kigoma was under Belgian colonization till 1920 when it was handed over to the British as part of Tanganyika?

Hayo yote siyahitaji, nataka uniambie logic ya Bantuism ni nini? nakurahisishia swali zaidi, tunaposema Wabantu tunamaanisha nini?

Kwa sababu ukiangalia maelezo yako yanakinzana na Ubantu wenyewe.
 
Ni kweli Uislam haulazimishwi hata yule mwana Mama wa Sudan Meriam Yehya hakulazimishwa kukubali Uislam.

Uislam hausambazwi, unaanza kufikiri kikanisa kanisa ukifikiri kuwa Uislam unasambazwa, Uislam unajisambaza wenyewe na halazimishwwi mtu kuukubali Uislam ni wewe na akili yako.
 
Ni kweli Uislam haulazimishwi hata yule mwana Mama wa Sudan Meriam Yehya hakulazimishwa kukubali Uislam.

Naam, hakulazimishwa.

Jee wewe? kuna siku hata moja Muislam aliwahi kuja kukulazimisha uwe Muislam?
 
Bi mkubwa FaizaFoxy vipi tena nimekwambia Uislam haulazimishwi nikatoa mfano wa Meriam Yehya wa Sudan kama mfano mzuri jinsi Uislam usivyolazimishwa kwa watu sasa mimi naingiaje tena hapo wakati nimekubali uliyosema mbona unapenda ligi pasipo sababu za msingi ebo.

Back
Top Bottom