Profesa Muhongo: Siyo haki kutengeneza sanamu kama ishara ya kumkumbuka marehemu, ingejengwa taasisi ya huduma za kijamii

Ujinga umetamalaki nchi hii, eti wanamjengea sanamu dhalimu mwendazake!!!! Kwa lipi hasa?

Bomoa Bomoa, udikteta, kubambikia watu kesi FAKE na kisha kuwapora billions zao? Kuwapora wenye maduka ya pesa za kigeni Arusha na Dar?

Kuteka, kutesa na mauaji ya kutisha?
Jinyonge ufe au kaziibe hizo pesa ukajenge kwenu mwana izaya ww
 
Mbunge wa Msoma vijijini Prof Muhongo amesema siyo kumbukumbu nzuri kumtengenezea sanamu marehemu au hayati na badala yake ni kheri fedha hizo zikatumika kujenga taasisi ya kuhudumia jamii kwa ajili ya kumbukumbu ya huyo anayetakiwa kukumbukwa.

Source: Tanzania Abroad tv
Yaani huyu naye sijui vipi...professor mzima bado anaendeleza mapambano na marehemu...duh
 
Maslahi yake binafsi ya kuhujumu nchi yaliminywa na marehemu ndio maana alipinga kila mradi ulioanzishwa na merehemu kuanzia stigler gorge .

Duniani kote wakuu wa nchi walioacha alama za kudumu wamejengewa sanamu za ukumbusho.
Usiseme Marehemu Sema MWENDAZAKE. Nyambafuuuuu we!!
 
Wauza ngada na wenye vyeti feki wakiona jina la mwamba Jpm wanakohoa damu ..uzuri mtaani wananchi wanajua sana hila zenu siku hizi na data zenu za kuchemsha. Nani kama JPM???
 
Ujinga umetamalaki nchi hii, eti wanamjengea sanamu dhalimu mwendazake!!!! Kwa lipi hasa?

Bomoa Bomoa, udikteta, kubambikia watu kesi FAKE na kisha kuwapora billions zao? Kuwapora wenye maduka ya pesa za kigeni Arusha na Dar?

Kuteka, kutesa na mauaji ya kutisha?
Njemba hii bonge la kiazi......
huwa linakuwa na wivu na marehemu....
inasikitisha sana....
 
Mbunge wa Musoma vijijini, Prof Muhongo amesema siyo kumbukumbu nzuri kumtengenezea sanamu marehemu au hayati na badala yake ni kheri fedha hizo zikatumike kujenga taasisi ya kuhudumia jamii kwa ajili ya kumbukumbu ya huyo anayetakiwa kukumbukwa.

Chanzo: Tanzania Abroad tv
Wangenunua hata madawati wakayaita kwa jina la marehemu ingekuwa bora zaidi
 
Hiyo pesa ingetumika kuazzisha taasisi huru itakayoitwa Magufuli. Taasisi itakayotoa mafunzo ya utawala bora.

Jina la marehemu litukumbushe na kutufundisha ubaya wa udikteta. Matukio yote mabaya aliyoyafanya marehemu yatumike kama mifano ya utawala mbaya.

Wananchi tupo tayari hata kuchanga kwaajili ya kuanzisha taasisi hiyo.
Hii ni reply nzuri sana Toka kuanzishwa kwa JF.
 
Hiyo pesa ingetumika kuazzisha taasisi huru itakayoitwa Magufuli. Taasisi itakayotoa mafunzo ya utawala bora.

Jina la marehemu litukumbushe na kutufundisha ubaya wa udikteta. Matukio yote mabaya aliyoyafanya marehemu yatumike kama mifano ya utawala mbaya.

Wananchi tupo tayari hata kuchanga kwaajili ya kuanzisha taasisi hiyo.
Hapa tuchukue na lile gari la Tundu Lisu lilitobolewa na risasi tuweke kwenye hii maktaba/Taasis, Nguo za kina Alphonce Mawazo, Aqwilina Aquiline, Azory Gwanda,Ben Saanane nk,Kungekuwa na namna ule uwanja wa chato na huo msitu wa burigi tungeuweka ndani ya hiyo Maktaba/Taasis, Halafu mlangoni mwa Maktaba tuwakaushe Makonda na Sabaya wawe sanamu lake la ulinzi
 
Wauza ngada na wenye vyeti feki wakiona jina la mwamba Jpm wanakohoa damu ..uzuri mtaani wananchi wanajua sana hila zenu siku hizi na data zenu za kuchemsha. Nani kama JPM???
Acha ujuha! JPM na hata wa sasa wote ni nincompoops.
 
Back
Top Bottom