miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,414
- 10,970
Hiyo pesa ingetumika kuazzisha taasisi huru itakayoitwa Magufuli. Taasisi itakayotoa mafunzo ya utawala bora.
Jina la marehemu litukumbushe na kutufundisha ubaya wa udikteta. Matukio yote mabaya aliyoyafanya marehemu yatumike kama mifano ya utawala mbaya.
Wananchi tupo tayari hata kuchanga kwaajili ya kuanzisha taasisi hiyo.
Chagua moja...
Ama