Shule ipi? Ili iweje?Pelekeni watoto shule
Oa mke mzuri uzae watoto wazuri usoni, makalio mazuri, Basi! Kila kitu watapata dunia ya Afrika hii. Hao waliovimba macho, hata kama PhD ni zenu!
Shule ipi? Ili iweje?Pelekeni watoto shule
huyo ni Phd sio u professor lakini, mada ilikuwa ni proffesor mwenye umri mdogoKuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Phd na huyu ni Prof: kuweni wapole sana.
Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI
View attachment 1212578
View attachment 1212579
Nimeandika kuna mtoto mmoja wa Francis Kifukwe.Haitwi Francis kifukwe anaitwa Gwamaka kifukwe
Francis kifukwe alikuwa Rais wa Yanga
Tumejadili juu hapo kirefu.Prof: na Phd ziko sawa mkuu?
Tumejadili hapo juu kirefu.huyo ni Phd sio u professor lakini, mada ilikuwa ni proffesor mwenye umri mdogo
Dr Gwamaka Francis KifukweKuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Kwapa la dunia sijui ndo hili nililoelewaAlichukua masomo ya Ph.D.
Alikuwa na uamuzi wa kutochukua masomo ya Ph.D na kuishia na Masters degree.
Ukiwa umezoea kukaa kwenye kwapa la dunia ambako Ph.D inaonekana kitu cha ajabu ndiyo unaweza kushangaa habari za mtu "kuchukua Ph.D".


Actually ni Gwamaka Robert Kifukwe.Dr
Dr Gwamaka Francis Kifukwe
Huyu ni kijana mkuu,sio mtoto.Na very soon atauacha huo ujana.Let's be serious jamani,huwezi kupata Professor mtoto.Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI
View attachment 1212578
View attachment 1212579
Wapi tumezungumzia msio na phd?Kupata PhD mapema hakumfanyi mtu kuwa special. Ni uamzi tu wa mtu kuamua lini aende akasome PhD. Kunaweza kuwa na vitu vingine kama vile bahati ya kupata udhamini... Wengine wanaamua kutafuta pesa kwanza na kusoma baadae. Haina maana kuwa ni wajinga.
Hao walipata PhD. Huyu ni Professor. Kuwa na PhD sio professor
ukisomea Tanzania, kwenye shule za "wanyonge" u profesa utapata at age of 45, tena hapo usiwe na sapu hata moja.
dr Masumbuko lamwai ana miaka 57 na bado hajapata u prof hata kuwa associates, though najua jiwe atapewa soon, kisiasa lakini
Nimeangalia orodha na kugundua waliofanikiwa ni waliochukulia vyuo vya nje; humu ndani ni uozo mtupu, utasumbuliwa hadi utamani kurudi kulima!
Unaweza kuwa profesa bila Ph.D, kwa mfano Marekani profesa ni mtu anayefundisha Chuo Kikuu, hata ukiwa na Masters degree lakini unafundisha chuo kikuuu ni profesa.Kwapa la dunia sijui ndo hili nililoelewa![]()
Nilitamani angemwacha aibue vipi hapo chuoni
Definition ya Professor nayo ni muhimu kuzingatiwa. Tanzania Professor ni cheo cha academia unachopata baada ya kuibuka through the ranks, upate Ph.D, ufundishe miaka kadhaa etc. Kuna kupitia kuwa Associate Professor kwanza kabla ya kuwa full Professor.
Kweli kuna huyo kijana wa Mponjoli Kifukwe anaitwa GWAMAKA kama sijakosea ni kichwa sana , mara ya kwanza kumsikia alikuwa hapo UONGOZI INSTITUTE akiminterview Kaguta Museveni;sasa sijui kama bado yupo hapo au amehama!!! Ni vijana wenye vision kama huyu ndio watakaoikomboa Tanzania.