and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,107
PhD "inachukuliwa" mbona wewe huna?
PhD "inachukuliwa" mbona wewe huna?
Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Kila LA heri kwakeHatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI
Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI
What a waste!!
Unamtoa intelligent, young, and energetic individual from a higher learning institution na kumpeleka ubalozini!!?
36
Prof Kighoma Malima at 34 Nchini Marekan akitokea Minaki Secondary
Dr Dau alipata Phd akiwa na 28 Nchini Newzeland 1992
Dr Gharib alipata phd ya Nuclear akiwa na 31 Nchini Marekan
Dr Mahiga the same
17yrs form six26 kivipi? Alimaliza degree lini na hizo za kabla ya uprof?

Prof Lipu aliupata akiwa na ngapi?
Intelligent?Ma prof&dr wa kibongo ni watu wakukariri ma notes/vitabu tu,sijaona wala wenye kushahili kuitwa intelligent/wala yale mambo ya high IQ.What a waste!!
Unamtoa intelligent, young, and energetic individual from a higher learning institution na kumpeleka ubalozini!!?
Huku mkiwatafutia na connections makazini la sivyo watakufa njaa na elimu zao za hapa na pale.Pelekeni watoto shule
Ph.D nchi ninayoishi mimi ni kitu wanasoma walimu wa shule na watafiti.PhD "inachukuliwa" mbona wewe huna?
That was then!Kumbe nikisoma naweza kupata upro nikiwa na umri mdogo zaidi
Kuchukua vs Kusomea PhDPh.D nchi ninayoishi mimi ni kitu wanasoma walimu wa shule na watafiti.
Mimi si mwalimu wa shule wala mtafiti, hivyo Ph.D kwangu haina maana.
Prof KennedyKuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Alichukua masomo ya Ph.D.Kuchukua vs Kusomea PhD
Mfumo unaoendeshwa kwa "amri kutoka juu" hata ukiwa na wenye vision wangapi kukombolewa ni vigumu sana.Kweli kuna huyo kijana wa Mponjoli Kifukwe anaitwa GWAMAKA kama sijakosea ni kichwa sana , mara ya kwanza kumsikia alikuwa hapo UONGOZI INSTITUTE akiminterview Kaguta Museveni;sasa sijui kama bado yupo hapo au amehama!!! Ni vijana wenye vision kama huyu ndio watakaoikomboa Tanzania.
Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?