Profesa kijana apewa Ubalozi

Profesa kijana apewa Ubalozi

Nimeeleza hapo juu kwamba definition ya u Professor inatofautiana sehemu na sehemu.

Ni sawa unavyosema Ph.D si u professor, kwa sababu kuna watu ma professor lakini hawana Ph.D, wana Masters degree (Marekani kwa mfano).

Na kuna watu wana Ph.D lakini si ma Professor, ni watafiti kama Gwamaka.

Kwa hivyo, tunavyoongelea hizi habari, ni vizuri kunyambulisha.

Tunaposema Profesa tuna maana gani? Mwalimu wa Chuo Kikuu (kama Marekani) au cheo cha mtu aanayefundisha baada ya kupata Ph.D (kama Tanzania).

Hapo chini ni link ya tovuti ya kitivo cha sheria, UDSM.

Hii hapa ni screenshot ya profile ya Prof. Fimbo.

8BE07141-EBD3-47AA-A46A-58EC07510D2F.jpeg

Kama inavyoonekana hapo nilipopapigia mstari, PhD yake kaipata mwaka 1990.

Alikuwa ni profesa kabla ya mwaka 1990.
 
Sio mbaya, maana najuwa hatakuwa hajazidi nyumba kumi
 
Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.

Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?

Sikatai kuwa jasiri, lakini ujasiri wa kuandika jambo usilo na habari zake kikamilifu ni kipaji Kaka.

Huyu mleta uzi anakipaji. Mbona wewe umetaja umri wa jamaa lakini ukaonyesha kwamba kumbukumbu zinaweza kuwa tofauti kidogo?
 
Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.

Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
1976 mtoto? 43yrs old..!!
36

Prof Kighoma Malima at 34 Nchini Marekan akitokea Minaki Secondary

Dr Dau alipata Phd akiwa na 28 Nchini Newzeland 1992

Dr Gharib alipata phd ya Nuclear akiwa na 31 Nchini Marekan

Dr Mahiga the same
Kuna kitu hapa mnakisahau, kupata PhD sio kuwa Professor labda kama tunazungumzia jina/cheo Professor wanavyolitumia Marekani.
Kule mtu yeyote anaefundisha chuo kikuuu hata kama hana PhD wanamuita Professor.

A PhD is just a PhD, and a 'professorship' is another issue which is something on-top of PhD, I t has something to do with published research papers.
 
36

Prof Kighoma Malima at 34 Nchini Marekan akitokea Minaki Secondary

Dr Dau alipata Phd akiwa na 28 Nchini Newzeland 1992

Dr Gharib alipata phd ya Nuclear akiwa na 31 Nchini Marekan

Dr Mahiga the same

Hata Ben Saa nane alikuwa anamalizia thesis yake under 30
 
36

Prof Kighoma Malima at 34 Nchini Marekan akitokea Minaki Secondary

Dr Dau alipata Phd akiwa na 28 Nchini Newzeland 1992

Dr Gharib alipata phd ya Nuclear akiwa na 31 Nchini Marekan

Dr Mahiga the same

Nacheeeeka sana, watu wanasema Uprofesa huku mnaleta phd,
Unaweza kupata Phd na usiwe Prof hadi dunia inakupindua
 
Kuna kitu hapa mnakishau, kupata PhD sio kuwa Professor labda kama tunazungumzia jina/cheo Professor wanavyolitumia Marekani.
Kule mtu yeyote anaefundisha chuo kikuuu hata kama hana PhD wanamuita Professor.

A PhD is just a PhD, and a 'professorship' is another issue which is something on-top of PhD, I t has something to do with published research papers.
Tumejadili yote hayo hapo juu.
 
Ushawahi kuisoma prospectus yoyote ya UDSM hususan za miaka ya 80 au 90?

Hususan kuhusu orodha ya academic staff ambayo ilikuwa inachapishwa mwishoni mwa kitabu hicho?

Orodha hiyo ilikuwa ni ya majina ya walimu pamoja na sifa zao za kitaaluma [academic qualifications].

Kama utakuwa umewahi kuisoma basi utajua kuwa, kwa kipindi hicho [sina hakika kwa sasa, huenda mambo yamebadilika], ilikuwa inawezekana mtu kuwa professor au associate professor bila hata ya kuwa na PhD.

Wawili wanaokuja kwenye kumbukumbu zangu [sikumbuki mahsusi ni prospectus za miaka ipi] ni Prof. Ernest Wamba Dia Wamba na Prof. Mgongo Fimbo.

Sikuwahi kuona PhD. mbele ya majina yao.

Labda mkuu Companero kwenye maktaba yake anaweza kutusaidia ikitokea ana hizo prospectus za miaka hiyo niliyoitaja.
University of Nairobi Prof. George Magoha (Current Cabinet Secretary for Education-Kenya hana PhD)
Kumbe nikisoma naweza kupata upro nikiwa na umri mdogo zaidi
Wewe labda uprof wa mitishamba
 
Tanzania haitafaidika na elimu yake.
Tulionao ndio wametufikisha hapa.

1.Kitila Mkumbo.

2.Prof Muhongo

3.Prof Kabudi.

4>Dr Magu

5. Prof Juma [Jaji Mkuu] Zero Brain

6. dr possi [amesababisha serikali kushindwa kesi nyingi]

7, Dr Tulia [Bora Anne Makinda mara 100]

Hawa ni maprofessor wa kwenye makaratasi na dessertation,hawawezi ku -deliver walichofunzwa.

ila kuna watu ni form four leavers tu na wanatumia vyeti vya wenzao lakini wanafanya vyema kama DAUDI ALBERT BASHITE
 
36

Prof Kighoma Malima at 34 Nchini Marekan akitokea Minaki Secondary

Dr Dau alipata Phd akiwa na 28 Nchini Newzeland 1992

Dr Gharib alipata phd ya Nuclear akiwa na 31 Nchini Marekan

Dr Mahiga the same
Mimi nikiwa na 14 nilipata PhD Sheffield
 
Back
Top Bottom