Profesa kijana apewa Ubalozi

Profesa kijana apewa Ubalozi

Sasa wew hapa anatajwa kama young Prof. Sio DR . PHD kapata na 31. Kumbuka elimu ya kwetu huko. Huku ujerumani sawa. PHD 25, 26,28 na wanachukua uprof mapema sana. Mana hawa jamaa wanaandika sio mchezo. wanajua wanachofanya.
Definition ya Professor nayo ni muhimu kuzingatiwa. Tanzania Professor ni cheo cha academia unachopata baada ya kuibuka through the ranks, upate Ph.D, ufundishe miaka kadhaa etc. Kuna kupitia kuwa Associate Professor kwanza kabla ya kuwa full Professor.

Marekani Professor maana yake ni mwalimu wa chuo kikuu, unaweza kuwa Professor bila Ph.D. Kuna Professor wetu mmoja wa electives (History) mwaka wa kwanza chuo, tulikuwa tunamuita Dr., tukifikiri kila mwalimu ana Ph.D, akatuambia tusimuite Dr. kwa kuwa bado yeye ni Ph.D candidate hajapata Ph.D yake bado.
 
Halafu mi nilijua utateuliwa sehemu
Eti?
IMG_20190919_172336.jpeg
 
Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI
Yani unampongeza kwa kutoa walimu vyuoni?
 
Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.

Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Mkuu PhD sio uproffesor,baada ya PhD kuna mchakato sihaba ili kuufikia Uprof. Kama ana 43 obvious ameupata mapema kwa system yetu ilivyo.
 
Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI
Kama mtu wa mwaka 76 unamwita mtoto, basi wengine tutakuwa bado hatujazaliwa..
 
Mkuu PhD sio uproffesor,baada ya PhD kuna mchakato sihaba ili kuufikia Uprof. Kama ana 43 obvious ameupata mapema kwa system yetu ilivyo.
Nimeeleza hapo juu kwamba definition ya u Professor inatofautiana sehemu na sehemu.

Ni sawa unavyosema Ph.D si u professor, kwa sababu kuna watu ma professor lakini hawana Ph.D, wana Masters degree (Marekani kwa mfano).

Na kuna watu wana Ph.D lakini si ma Professor, ni watafiti kama Gwamaka.

Kwa hivyo, tunavyoongelea hizi habari, ni vizuri kunyambulisha.

Tunaposema Profesa tuna maana gani? Mwalimu wa Chuo Kikuu (kama Marekani) au cheo cha mtu aanayefundisha baada ya kupata Ph.D (kama Tanzania).
 
Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.

Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
huyo nae alipata ubalozi?au hamujamuelewa mleta hoja
 
Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.

Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Kwa developed countries ni kawaida sana kupata PhD kwenye huo umri 25-28 years, na kuna lot of professors ambao wapo kwenye 40s
 
Mimi mwenyewe katika pitapita zangu nishakuwa na demu Mmarekani Profesa in her thirties.
 
Lakini naona hakuna uhusiano wa mapro na maendeleo maana Tanzania mhh
 
Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.

Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Mkuu PhD sio uproffesor,baada ya PhD kuna mchakato sihaba ili kuufikia Uprof. Kama ana 43 obvious ameupata mapema kwa system yetu ilivyo.
Nimeeleza hapo juu kwamba definition ya u Professor inatofautiana sehemu na sehemu.

Ni sawa unavyosema Ph.D si u professor, kwa sababu kuna watu ma professor lakini hawana Ph.D, wana Masters degree (Marekani kwa mfano).

Na kuna watu wana Ph.D lakini si ma Professor, ni watafiti kama Gwamaka.

Kwa hivyo, tunavyoongelea hizi habari, ni vizuri kunyambulisha.

Tunaposema Profesa tuna maana gani? Mwalimu wa Chuo Kikuu (kama Marekani) au cheo cha mtu aanayefundisha baada ya kupata Ph.D (kama Tanzania).
Ni sawa nami nilikuwa nakazia papo hapo. Kwa hapa tanzania sijawahi kusikia mwalimu aliyefikia uprofessor halafu hakupita PhD. Na ni ngumu kuupata uprof kama sio mwanataaluma (mwanazuoni). Nakubaliana na wewe kuwa kwa hapa Tanznia ni lazima awe mwalimu wa chuo kikuu na awe alishapata PhD.
 
Mkuu PhD sio uproffesor,baada ya PhD kuna mchakato sihaba ili kuufikia Uprof. Kama ana 43 obvious ameupata mapema kwa system yetu ilivyo.

Ni sawa nami nilikuwa nakazia papo hapo. Kwa hapa tanzania sijawahi kusikia mwalimu aliyefikia uprofessor halafu hakupita PhD. Na ni ngumu kuupata uprof kama sio mwanataaluma (mwanazuoni). Nakubaliana na wewe kuwa kwa hapa Tanznia ni lazima awe mwalimu wa chuo kikuu na awe alishapata PhD.
Kifaransa hata mwalimu wa sekondari ni Le Professeur.

Tulikuwa naye mwalimu mmoja anatufundisha Kifaransa Tambaza, tulikuwa tunamuita "Le Professeur".
 
Back
Top Bottom