Profesa kijana apewa Ubalozi

Profesa kijana apewa Ubalozi

Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.

Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Lakini kua na Ph.D hakukufanyi uwe professod automatically ingawa naona huyu bwana wa miaka 43 kuitwa mtoto ni tatizo kubwa..
 
Definition ya Professor nayo ni muhimu kuzingatiwa. Tanzania Professor ni cheo cha academia unachopata baada ya kuibuka through the ranks, upate Ph.D, ufundishe miaka kadhaa etc. Kuna kupitia kuwa Associate Professor kwanza kabla ya kuwa full Professor.

Marekani Professor maana yake ni mwalimu wa chuo kikuu, unaweza kuwa Professor bila Ph.D. Kuna Professor wetu mmoja wa electives (History) mwaka wa kwanza chuo, tulikuwa tunamuita Dr., tukifikiri kila mwalimu ana Ph.D, akatuambia tusimuite Dr. kwa kuwa bado yeye ni Ph.D candidate hajapata Ph.D yake bado.

Kwahiyo unasema maprofesa wa marekani ni uchwara. Hao unaowaita maprofesa wa kutoka Mlimani mbona hatuoni paper zao kwenye journal za kimataifa. Profesa gani wa Mlimani amewahi kufanya uvumbuzi wa kitu cha maana.
 
Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.

Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Mjukuu 😂😂😂
 
Kwahiyo unasema maprofesa wa marekani ni uchwara. Hao unaowaita maprofesa wa kutoka Mlimani mbona hatuoni paper zao kwenye journal za kimataifa. Profesa gani wa Mlimani amewahi kufanya uvumbuzi wa kitu cha maana.
Kwani wanaovumbua vitu mfano marekani ni maprofesa? Billy gates Ni profesa?
 
Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.

Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI

View attachment 1212578
View attachment 1212579

Kuna dogo wa kuitwa Majid Hamidu Nullo,ni Dr hapo hapo UDSM ila kwa sasa yupo Asia,kazaliwa kama sikosei 1982-1983,huyu Allah akipenda atakuwa prof kijana zaidi hapo UDSM,ni MT wa IT
 
MKUU ANA WASIWASI NA VIJANA WASOMI WASIJE KUMTOA KWENYE KITI, HIVYO DAWA YAO NI KUWAPA UBALOZI ILI KUWAPUMBAZA WASIFIKIRI JUU YA TANZANIA MAKINI.

MAPROFESA, MADOKTA TOA VYUONI WASIANDAE VIJANA MAKINI.

ZERO BRAIN NDIYO NGUVU YA UTAWALA TULIONAO.
 
Aisee I'm late sana yani haka kadegree nina 40 sasa mpaka uprofessor si nitakuwa kaburini
 
Kwani wanaovumbua vitu mfano marekani ni maprofesa? Billy gates Ni profesa?

Hata wasomi kama madokta na maprofesa wanavumbua vitu kama tiba za magonjwa n.k. Pia falsafa zao mpaka leo zinatumika kutatua matatizo mbalimbali duniani. Kwa mfano, kama Dk Albert Einstein na equation yake ya E=MC2, au wachumi kama akina Adam Smith na John Keynes ambao falsafa zao zinatumika mpaka leo.

Nitajie dokta au profesa wetu ametoa mchango gani mkubwa duniani. Au chuo cha Mlimani kimefanya research gani na kuchapisha kwenye scientific journals. Mbona "wasomi" wetu hawaonekani kwenye majukwaa ya kimataifa kuonyesha umahiri wao wapambane kwa hoja na wasomi wa Oxford, Cambridge, Harvard au Stanford.
 
Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.

Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI

View attachment 1212578
View attachment 1212579
Mm namkubali Prof Jay tu maana aliupata mapema zaidi kwenye Gem ya mziki ila marehe Maji marefu kachelewa kuipata ila aliitumia hadi kwenye plate number ya gari
 
Mm namkubali Prof Jay tu maana aliupata mapema zaidi kwenye Gem ya mziki ila marehe Maji marefu kachelewa kuipata ila aliitumia hadi kwenye plate number ya gari
HIVI VETA hamjafungiua tu?, mnaharibu thread za kisomi
 
Back
Top Bottom