Definition ya Professor nayo ni muhimu kuzingatiwa. Tanzania Professor ni cheo cha academia unachopata baada ya kuibuka through the ranks, upate Ph.D, ufundishe miaka kadhaa etc. Kuna kupitia kuwa Associate Professor kwanza kabla ya kuwa full Professor.
Marekani Professor maana yake ni mwalimu wa chuo kikuu, unaweza kuwa Professor bila Ph.D. Kuna Professor wetu mmoja wa electives (History) mwaka wa kwanza chuo, tulikuwa tunamuita Dr., tukifikiri kila mwalimu ana Ph.D, akatuambia tusimuite Dr. kwa kuwa bado yeye ni Ph.D candidate hajapata Ph.D yake bado.