Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,099
- 24,338
- Thread starter
- #81
mambo ya "alla" umeribu uzi.Kuna dogo wa kuitwa Majid Hamidu Nullo,ni Dr hapo hapo UDSM ila kwa sasa yupo Asia,kazaliwa kama sikosei 1982-1983,huyu Allah akipenda atakuwa prof kijana zaidi hapo UDSM,ni MT wa IT
who knows kama kweli "allah" yupo, ? kama hajafa na kusubiri hukumu kwa "Mungu"? yani Mungu wa Abraham, isaac na jacob?
Mungu wa Israel?
