and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
PhD in MandingosMimi nikiwa na 14 nilipata PhD Sheffield
PhD in MandingosMimi nikiwa na 14 nilipata PhD Sheffield
Nasubiri mfungue shule urudishe simu ya mama yako,mnaharibu jukwa.Mimi nikiwa na 14 nilipata PhD Sheffield
Mimi nikiwa na 14 nilipata PhD Sheffield
Dah , unamkosea heshima profesa kijanaNasubiri mfungue shule urudishe simu ya mama yako,mnaharibu jukwa.
Mimi nikiwa na 14 nilipata PhD Sheffield
hawa watoto sijui nani aliwapa hata hii app ya kuja jf.Dah , unamkosea heshima profesa kijana
Unatakiwa kuondolewa ujaji na urudishwe mahakama ya mwanzo USHETU. Usinichezee mie Profesa at 14.hawa watoto sijui nani aliwapa hata hii app ya kuja jf.
miaka 14 lasaba
19 form four
21 form six
25 umemaliza chuo, tena hapo huna supp, dirgirr,
master 28
32 masters.
Rais hana mamlaka ya kunivua ujaji, hapa nasubiri kupanda mahakama ya rufaa basi, by the way majaji wanawake tupo wachache, nia yangu niwe jaji mkuu, nimuondoe PROF IBrahim jumaUnatakiwa kuondolewa ujaji na urudishwe mahakama ya mwanzo USHETU. Usinichezee mie Profesa at 14.
Huyu Profesa kazi yake kuhudhuria HAFLA za Serikali na kuvuta FEGIRais hana mamlaka ya kunivua ujaji, hapa nasubiri kupanda mahakama ya rufaa basi, by the way majaji wanawake tupo wachache, nia yangu niwe jaji mkuu, nimuondoe PROF IBrahim juma
Alafu anakuwa mnyonge as if he is not chief justice, sijui inakuwaje, ama kwakuwa aliwekwa probation kwa karibu mwaka mzima?Huyu Profesa kazi yake kuhudhuria HAFLA za Serikali na kuvuta FEGI
yapasa aitwe "mimba" yatunukiwa u professorKuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
yaani Judiciary imekuwa kichekesho kwa kiwango cha SGRAlafu anakuwa mnyonge as if he is not chief justice, sijui inakuwaje, ama kwakuwa aliwekwa probation kwa karibu mwaka mzima?
Jiwe kaja kuharibu sana utamaduninwa nchi za jumuia za madola, eti kaimu jaji mkuu, WTF
Prof. Mutahaba alikuwa na 27Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Mkuu si uniunganishe na mimi nisome PhD mapema kabisaSijajua utoto wake,PhD yangu nili-defend nikiwa nina miaka 32,nadhani kwasababu kizazi chetu hakikuwa cha mitandao kama leo
yapasa aitwe "mimba" yatunukiwa u professor
nimesoma kote natafuta mwaka wa huyo prof
mwisho ndio nakutana kazaliwa 76 nikasema basi tena
hata mimi bado kumbe umri wangu mbichi kbsa

u r right nghosha shiiiiNacheeeeka sana, watu wanasema Uprofesa huku mnaleta phd,
Unaweza kupata Phd na usiwe Prof hadi dunia inakupindua
Kwa hiyo kigezo cha kuwa Profesa Tanzania ni kipi?
Kwa sasa sijui.
Pia, kwa vile siku hizi vyuo vimeongezeka, huenda labda kila chuo kina utaratibu wake.
Zamani chuo kikuu kilikuwa kimoja. Baadaye kikaongezeka cha Sokoine.
Ila kwa UDSM, nakumbuka ilikuwa ni lazima kuchapisha maandiko [vitabu, majarida, nk.]. Halafu mkuu wa idara anapendekeza jina lako kwenye seneti ya chuo. Huko kwenye seneti sijui kulikuwa na kamati maalumu ya kuyapitia hayo maandiko.
Kamati ikiridhia, unapandishwa cheo.
Kwa hiyo, kwa kipindi hicho, PhD ilikuwa si lazima kwa sababu walikuwepo ambao hawakuwa nazo na walikuwa na cheo cha uprofesa.
Ila labda kulikuwa na ‘condition’ ya kwamba ni lazima uwe unaifanyia kazi shahada yako ya PhD endapo ukipewa uprofesa huku bado hujaipata.
Tukizipata prospectus za miaka ya 80 na 90 utaona walikuwepo ambao hawakuwa na PhD lakini walikuwa maprofesa tayari.