Profesa Kabudi from Hero to Zero, Mbwembwe zote kwisha

Kati ya waliompoteza sana marehemu. Alienda Madagascar akaleta ile togwa akimwaminisha kuwa ndiyo kiboko ya corona!!
Uendeshwaji wa nchi unahitaji Taasisi imara , huyo alitumikia Taifa lake kwa kadri Mungu alivyomjalia wewe unayemponda huyo umefanyia nini nchi yako , mimi natambua mchango wa professor Kabudi katika Taifa hili .....
 
Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana

Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni

Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano

Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao

Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala

Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus

Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba

Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee KabudiView attachment 2286641
Acha roho ya kijicho maisha ni mzunguko!!
kuna siku anaweza kurudi juu zaidi
 
Watu inferior kama huyu mleta mada wanasikitisha sana
 
Huyu ndiye alikunywa juice yote ya Madagascar[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mzee mpumbafu sana. Kipindi chake na yule shetani wakaenda kuchukua dawa ya kubumba Madagascar.

Mwenzake limeoza huko kuzimu
 
Profesa kutoka Jalalani.
Naamini jamaa analia msiba wa JPM kuliko hata angefiwa na mkewe.
We unaona sura hiyo na tabasamu ni la njaa? Muombee tu babaako afe kifo chema maana maisha ya Prof. Kabudi hata kuyaota hataweza hadi kifo chake.
 
Sawa nimekusikia mke mkubwa wa Profesa!
Sijasema ana njaa kwanini awe na njaa wakati bado ni mbunge na ww mkewe upo unampikia mapochopocho?
Mtunze vizuri mzee aendelee kutabasamu.
 
Sawa. Endelea kumuombea babaako maskini afe kifo chema.
Kufa ni kufa tu kwani umesikia nani kaondoka na pesa zake?
Acha akili za kudanga ww mke wa mtu.
Akili yako imetawaliwa na pesa kwa kuwa huna pesa unategemea uuze papuchi na tigo uweze kuishi,fanya kazi.
 
Mtoa mada, akili yako ndogo. Prof Kabudi ni matawi ya juu sana na sisi watanzania tunamheshimu sana. Ametutoa kimasomaso kwenye mikataba kama nchi. Ni mtu mwenye heshima sana na ataendelea kuwa hivyo.
Toyota noah kwa kila mtz kutoka acasia ziko wapi? Au zilikuwa noah (nguruwe) ? Au si ndio ubora wa mikataba ya madin aliopitia ?
 
Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana

Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni

Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano

Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao

Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala

Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus

Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba

Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee KabudiView attachment 2286641
Hivi wasomaji wako unawadharau sana kana kwamba hawana akili! Yaani wasomaji wako walikuwa hawapo nchini Tanzania wakati Prof. Kabudi ni waziri? Nauliza haya kwasababu hakuna siku/wakati Prof Kabudi na viongozi wenzake walisema miundo mbinu yote hata ya mkoloni walijenga wao!
Je! Mbona Zuhura Yunusu sasa haja tueleza watu walikuwa wanatekwa na nani? Au haja pata majibu?
 
Back
Top Bottom