Profesa Kabudi from Hero to Zero, Mbwembwe zote kwisha

Akili ndogo kabisa hujadili watu. Akili ya Kati hujadili matukio na Akili kubwa hujadili masuala.

Mtoa post akili yake ni PUMBAFU kabisa, ndiyo maana anajadili watu.
 
Huyu anavyeti Tu,lakini kichwani🩲
Wewe una nini ndugu?! unamdharau na kumkejeli mtu ambaye aliaminika na hata kuhudumu selikalini,na hata asingelikuwa mtumishi wa selikali, unajua ni watanzania wangapi wamepita kwake kuyafikia mafanikio yao? ukute wewe huaminiki hata kwa familia yako lkn unamkejeli mtu ambaye huwezi kumfikia kwa lolote.
Kama hizo degree alizonazo ni kama kwenda kuchukua kitambulisho cha taifa nenda na wewe ukachukue😀.
Jifunze kushimu mafanikio ya mwenzako,itakusaidia maishani.
 
Kwa hiyo kwa akili yako una hisi akili ya Kabudi ndo mtu sahihi wa kujadili mikataba ya madini ? Huyu huyu aliyeleta mitishamba kutoka Madagascar kwa ndege maalum
Kweli ujinga kwa watanzia ni Pandemic
Wewe ulitaka awe nani?ndio yeye aliyeongoza majadiliano na kufikia muafaka kwa mafanikio makubwa ya kihistoria, unafikiri kwa akili yako ilivyo ndogo unaona kama jambo lile linaweza kyfanywa n yeyote.
 
Huj
Toyota noah kwa kila mtz kutoka acasia ziko wapi? Au zilikuwa noah (nguruwe) ? Au si ndio ubora wa mikataba ya madin aliopitia ?

Haya mba ya uchumi ni makubwa zaidi kwa kiwango chako kuelewa. Unaonaje uwe unachangia hoja za Harmonise na burudani?
 
Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana

Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni

Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano

Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao

Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala

Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus

Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba

Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee Kabudi

View attachment 2286641
Acha utoto wewe! Yaani unaanzisha thread kupost upuuzi kama huu?

Madaraka ni kuachiana kwa hiyo mtu akiondoka madarakani haimaanishi kwamba ana matatizo mapungufu au hafai. Huyu alikuwa ni mteule kwa hiyo hakuna la ajabu kama mamlaka ya kuteua ikibadilika ikamuacha. Ni kwamba mamlaka ya uteuzi ya sasa hivi imeona kuwa haiwezi kufanya kazi na Prof. Kabudi, sio kwamba hafai.

Kuna tofauti kubwa ya kielimu kati ya mamlaka ya uteuzi iliyopita na ya sasa. Mamlaka iliyopita ilikuwa ni PhD tena ya kemia (yaani shule ngumu ya kibabe, kwa hiyo kile kilikuwa ni kichwa kingine). Ukiangalia utagundua kuwa mamlaka ile ilipenda sana kuteua watu wenye PhD kama yenyewe ilivyokuwa, maana ndege wafananao huruka pamoja.

Profesa yuko vizuri.

Kama humfahamu msikilize hapa:

na hapa:

Wakati Boris Johnson anatoa speech cha kuachia madaraka aligusia Kitu kinaitwa political Darwinism. Maisha ndo yalivo mkuu
 
Mkuu umelewa, mbona unafanya argument za kitoto?Kwani hakuna mmiliki wa Barrick hakuja hapa nchini kwaajili ya mgogoro wa mikataba ya madini ya Acacia na serikali?

Na aliyekuwa anaongoza majadiliano na timu ya Barrick mpaka kampuni ya Twiga Mineral Corporation ikapatikana, ni Baba yako au Professor Kabudi?Endeleeni kuwaamini wapiga dili Msoga Jazz Band!
It seems u have a complete lack of exposure , even on minor things
Wewe ulitaka awe nani?ndio yeye aliyeongoza majadiliano na kufikia muafaka kwa mafanikio makubwa ya kihistoria, unafikiri kwa akili yako ilivyo ndogo unaona kama jambo lile linaweza kyfanywa n yeyote.
Kama unaamini Kabudi anafanya kazi kwa weledi basi unatatizo akilini mwako
Huyu huyu aliye mwita magufuli mungu
Huyu huyu kubalivkwenda na kunywa mitishamba toka Madagasca kwa ajili ya propaganda za corona
Kwanza unaonekana exposure/spectrum yako kwenye masuala ya kimataifa ni ndogo sana
 
Kati ya waliompoteza sana marehemu. Alienda Madagascar akaleta ile togwa akimwaminisha kuwa ndiyo kiboko ya corona!!
Hayo mawazo niya kimarehemu rehemu kumbuka jiwe alikuwa mjuaji na hashauriki. Ikitokea kakubali ushauri basi ni kutoka kwa Bashite na Bashite mshauri wake alikuwa Lemutus ( mobimba)
 
Sasa pamoja na kuzurura wewe umemzidi nini kimaisha?Zuhura ana hadhi gani ya kumfanya Professor Kabudi apitie kwake kumuona Rais? Wewe Kapuku ndiyo lazima upitie kwa Zuhura,uyo mwenzio anapiga simu direct kwa Mama.

Mkuu nakushauri, kama unapenda kujadili maisha ya watu,uyo siyo level yako,Kabudi ana profile nzinto, wewe kukaa na vigogo wa Barrick unajadiliana nao masuala ya mikataba siyo mchezo, Dunia inamtambua Kabudi na ndiyo maana serikali inamkumbatia kwenye suala la mikataba kimataifa.

Kama uamini subiri atelekezwe uone kama ajachukuliwa na makampuni ya madini Duniani Kama legal consultant.
Acheni unaaa. Tangu ateuliwe kwa kazi hiyo lini tumepata taarifa wamekaa na hao wazungu kwenye mijadala ya madini tukashuhudia luningani au kwenye magazine? Anavyopenda media tungeshaona. Tukubali mambo magumu sasa. Sio tena kama alivyokuwa awamy iliyopita. Hilo liko wazi halitaki hasira, ni kumbukumbu tu
 
Wewe nadhan una mtindio wa ubongo..kwahiyo ulitaka asiende sabasaba kwa muda wake wa mapumziko..hivi mna matatizo gani nyie manyani....unaanzisha Uzi kama huu unatusaidia nini sisi na familia na chumi zetu..ni punguwani tu ndio anaweza kufanya haya...
Jamii forums ilitengenezwa ili watu wawe free kuelezea minds zao, haumtendei haki mleta mada hata kama hatukubaliani na content zake, wewe ungempa dislike emoji lakini sio kumtoa akili, anyways na mimi nimerudia kosa ulilolifanya, ni haki yako kuelezea mawazo yako.
 
Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana

Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni

Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano

Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao

Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala

Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus

Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba

Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee Kabudi

View attachment 2286641
Nikadhani umeangalia Bank Statement ndo ukamuona Zero. Vp ndugu zako kule Kisiju Wana nn?
 
Ni bora ukae kimya uyo n chief government contracter
Mshahara wake chukua kipato chake cha mwaka afu bado mbunge bado ni lecture more than six university bado mjumbe bodi UDOM na udsm ndugu kaa kimya tu kama haujui kitu unaongea kitu usichokijua
He is my best politician ever
Umesema Best Politician ever nahisi hapa umehemka Mkuu, pengine niulize at global stage au kwa Kilosa hiyo Best Politician Ever?

Mama Mulamula ndani ya kipindi kifupi kafanya maajabu kwenye diplomacy.
 
Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana

Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni

Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano

Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao

Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala

Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus

Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba

Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee Kabudi

View attachment 2286641
Miye niliwahi kusema wasomi wengi hasa waalimu vyuo vikuu ni mazuzu wanaoamini ndani ya kuta nne unatoka na ufumbuzi wa kila kitu! wengine wameishia kunywa gongo na kujifia kwa kuunguza maini. Na wengine ni vibaka tu!
Huyu kipindi cha katiba mpya aliaminika sana lakini miaka mitano ya JPM ikamuonesha picha yake halisi. ZUMBUKUKU
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Jamaa anaropoka tu,wewe jitu linakaa na vigogo vya Dunia kujadili masuala ya mikataba,anaijua kampuni ya Barrick wamiliki wake?

Kabudi alivyo na njaa hata kuuza nchi anaweza sasa! Huwezi ukawa unageuka chawa kila ukimuona mwenye mamlaka ukajiita msomo stupid!
 
Sasa pamoja na kuzurura wewe umemzidi nini kimaisha?Zuhura ana hadhi gani ya kumfanya Professor Kabudi apitie kwake kumuona Rais? Wewe Kapuku ndiyo lazima upitie kwa Zuhura,uyo mwenzio anapiga simu direct kwa Mama.

Mkuu nakushauri, kama unapenda kujadili maisha ya watu,uyo siyo level yako,Kabudi ana profile nzinto, wewe kukaa na vigogo wa Barrick unajadiliana nao masuala ya mikataba siyo mchezo, Dunia inamtambua Kabudi na ndiyo maana serikali inamkumbatia kwenye suala la mikataba kimataifa.

Kama uamini subiri atelekezwe uone kama ajachukuliwa na makampuni ya madini Duniani Kama legal consultant.
legal consultant wa madini atutumia zile degree za sheria ya NDOA alikobobea!
 
Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana

Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni

Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano

Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao

Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala

Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus

Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba

Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee Kabudi

View attachment 2286641
Umeupiga mwingi sana mwanawane, hii thread haitokamilika bila kuweka ile video clip yake ikulu Dar wakati mungu wake amekaa pembeni huyu Profesa majalala alikuwa akitufokea Watanzania tukae kimya, huku akitowa mijicho yake kama gong'ole vile, shenzi kabisa hilo zee la hovyo kabisa.
 
Kabudi alivyo na njaa hata kuuza nchi anaweza sasa! Huwezi ukawa unageuka chawa kila ukimuona mwenye mamlaka ukajiita msomo stupid!
Binafsi nawadharau sana wagogo nikitumia methodology sample ya Ndugai na huyu Kabudi, hawa ni wagogo na ni watu wa hovyo sana kuwahi kutokea Tanzania

Wagogo wenye akili timamu mnisamehe, maana wale wote wanaopaswa kuwa role model wenu no watu wa hovyo kabisa, hapo hujamjumuisha Kibajaj bado.
 
Back
Top Bottom