Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi, Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana
Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus
Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba
Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee Kabudi
View attachment 2286641