Profesa Kabudi from Hero to Zero, Mbwembwe zote kwisha

Wewe mjinga sherehe ulifanya wewe na mataahira wenzako! Hata wewe ukifa watafanya tu!
Punguza jazba, kama hujui kuwa nchi nzima sherehe zilifanyika mpaka police wakawa wanakamata raia kwa kusherekea kifo cha Jiwe basi pole sana. Sukuma gang pekee ndiyo walihuzunika na kifo cha bwana yule. Wananchi walimlilia Mungu baada ya mateso ikiwemo mauaji, wizi, mambo ya ukanda, kukandamiza wapinzani na mengine mengi ya hovyo kuzidi nchini ndipo Muumba akaingilia kati kulinusuru taifa, so wananchi hawakuwa na budi kumshukuru Mungu na kusherekea.
 
Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana

Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni

Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano

Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao

Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala

Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus

Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba

Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee KabudiView attachment 2286641
Daaah.....!!! Mbona umemuimba ivyoo yaani daaaahhh......!!!!
 
Sasa pamoja na kuzurura wewe umemzidi nini kimaisha?Zuhura ana hadhi gani ya kumfanya Professor Kabudi apitie kwake kumuona Rais? Wewe Kapuku ndiyo lazima upitie kwa Zuhura,uyo mwenzio anapiga simu direct kwa Mama.

Mkuu nakushauri, kama unapenda kujadili maisha ya watu,uyo siyo level yako,Kabudi ana profile nzinto, wewe kukaa na vigogo wa Barrick unajadiliana nao masuala ya mikataba siyo mchezo, Dunia inamtambua Kabudi na ndiyo maana serikali inamkumbatia kwenye suala la mikataba kimataifa.

Kama uamini subiri atelekezwe uone kama ajachukuliwa na makampuni ya madini Duniani Kama legal consultant.

Ulipata gilasi ya juisi ya Madagascar?
 
Mbona mtu kuondoka madarakani ni jambo la kawaida tu.
 
Juzi nilimuona Lukuvi akiwa na Waziri Bashungwa kashika mikono miwili ishara ya heshima kwa Waziri akiwa anakagua miradi jimboni kwake..

Nikicheka kama hivi 😆😆😆😆😆😆😆
 
Mimi ananikumbusha tu ule utapeli wa dawa za Madagascar. Ndege ikachoma mafuta kwenda safari ya kuchukua mzigo wa kipumbavu.

Lakini ni vizuri, inapotokea hawa watu wanashuka chini. Pengine kuna nyakati hujiuliza, hivi ilikuwaje?
Alikuwa hata hajui Kazi ya FM kujenga diplomasia akaishia kivurunda akimfuata boss wake .
 
Kwa akili zako fupi unahis kabudi anamaisha magumu.😂😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Jamaa anaropoka tu,wewe jitu linakaa na vigogo vya Dunia kujadili masuala ya mikataba,anaijua kampuni ya Barrick wamiliki wake?

Anajadili sio kwasababu ya uwezo bali ndio alichaguliwa na Magufuli, lakini hilo jizee ni bonge ya lishamba. Na hata kwenye yale majadiliano na barrick hakuna cha maana alipata.
 
Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana

Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni

Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano

Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao

Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala

Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus

Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba

Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee KabudiView attachment 2286641
Ni bora ukae kimya uyo n chief government contracter
Mshahara wake chukua kipato chake cha mwaka afu bado mbunge bado ni lecture more than six university bado mjumbe bodi UDOM na udsm ndugu kaa kimya tu kama haujui kitu unaongea kitu usichokijua
He is my best politician ever
 
Pro.kabudi kama mtanzania msomi alipopata nafasi ya KISIASA kipindi cha jpm akabadilika SANA refer kabla hajawa waziri hotuba zake akimwezi na kumtukuza nyerere alipopata akaanza kuwa katili asiefuata you kabisa kama bashiru Ally WASOMI WAPUUZI

Magufuli aliwafanya wakawa wajinga kabisa. Yaani walishusha sana hadhi ya wasomi.
 
Ni bora ukae kimya uyo n chief government contracter
Mshahara wake chukua kipato chake cha mwaka afu bado mbunge bado ni lecture more than six university bado mjumbe bodi UDOM na udsm ndugu kaa kimya tu kama haujui kitu unaongea kitu usichokijua
He is my best politician ever

Mahaba niue
 
Sasa pamoja na kuzurura wewe umemzidi nini kimaisha?Zuhura ana hadhi gani ya kumfanya Professor Kabudi apitie kwake kumuona Rais? Wewe Kapuku ndiyo lazima upitie kwa Zuhura,uyo mwenzio anapiga simu direct kwa Mama.

Mkuu nakushauri, kama unapenda kujadili maisha ya watu,uyo siyo level yako,Kabudi ana profile nzinto, wewe kukaa na vigogo wa Barrick unajadiliana nao masuala ya mikataba siyo mchezo, Dunia inamtambua Kabudi na ndiyo maana serikali inamkumbatia kwenye suala la mikataba kimataifa.

Kama uamini subiri atelekezwe uone kama ajachukuliwa na makampuni ya madini Duniani Kama legal consultant.
Umemjibu kiungwana huyo chawa
 
Zuhura kaazimwa dera shughuli ikiisha atarudisha
 
Kwa taarifa yako tu kabudi anamsaidia mama upande wa mikataba! Yeye lubuva na mkuchika wote wanakula penshen zao ikulu na wanahadhi ya uwazir

Sio wanamsaidia, bali inabidi wamuonyeshe mahali walipokoroga wakati wa mikataba ya dhalimu.
 
Haaaaahaaaa sio mahaba nampa evidence zinazojieleza uyo jamaa ajafulia we fikiria kila mkataba wa serikali unapita kwake unazani anapiga hela shilingi ngapi?
Mtu kama huna uelewa na bora unyamaze tu

Uko sahihi kabisa, lakini ile power aliyokuwa nayo kipindi cha dhalimu kwa sasa hana. Ile mikwara mbuzi aliyokuwa anatoa hana nafasi hiyo kwa sasa.

Hilo jizee ni baadhi ya watu waliofanikisha utawala wa kikatili wa magufuli ndani ya nchi hii. Kwa sasa hata hizo hela anazopata hazimpi jeuri kama aliyokuwa nayo.
 
Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana

Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni

Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano

Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao

Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala

Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus

Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba

Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee KabudiView attachment 2286641
Huyo bwana mkubwa alitaka kuona Watanzania wote tumetolewa jalalani.
 
Back
Top Bottom