Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Acha yeye mleta mada!Maisha aliyonayo wewe huwezi kufikia hata 1% tu mpaka unakufa. What a useless keyboard warrior.
Yani hata ukoo wake wote hakuna siku watafikia maisha ya Kabudi
Acha yeye mleta mada!Maisha aliyonayo wewe huwezi kufikia hata 1% tu mpaka unakufa. What a useless keyboard warrior.
Haaahaaa of coz nguvu imepunguaUko sahihi kabisa, lakini ile power aliyokuwa nayo kipindi cha dhalimu kwa sasa hana. Ile mikwara mbuzi aliyokuwa anatoa hana nafasi hiyo kwa sasa.
Hilo jizee ni baadhi ya watu waliofanikisha utawala wa kikatili wa magufuli ndani ya nchi hii. Kwa sasa hata hizo hela anazopata hazimpi jeuri kama aliyokuwa nayo.
Tuache upuuzi basi vijana, mfano kuna wale madaktari na mawaziri walikuwa wanajifukiza, unadhani walifanya vile kwa kupenda?.Ukweli ni kwamba with his caliber kabudi alikuwa mtu wa ovyo sana
Uchawa wale ulipitiliza
As if there is no tomorrow…
Kila enzi na zama zake..imetokaa hiyoooProfesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana
Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni
Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano
Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao
Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala
Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus
Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba
Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee KabudiView attachment 2286641
Kwani mbowe ana jeuri na mikwara kama ile ya kudai katiba tena?Uko sahihi kabisa, lakini ile power aliyokuwa nayo kipindi cha dhalimu kwa sasa hana. Ile mikwara mbuzi aliyokuwa anatoa hana nafasi hiyo kwa sasa.
Hilo jizee ni baadhi ya watu waliofanikisha utawala wa kikatili wa magufuli ndani ya nchi hii. Kwa sasa hata hizo hela anazopata hazimpi jeuri kama aliyokuwa nayo.
Lakini mama yako mwema si anaweza kumtoa? Anangoja nini sasa?Anajadili sio kwasababu ya uwezo bali ndio alichaguliwa na Magufuli, lakini hilo jizee ni bonge ya lishamba. Na hata kwenye yale majadiliano na barrick hakuna cha maana alipata.
Hapo ulipo wazazi wako na ukoo wako wamechakaa kwa umasikini ila unamcheka Lukuvi mwenye kila kitu!Juzi nilimuona Lukuvi akiwa na Waziri Bashungwa kashika mikono miwili ishara ya heshima kwa Waziri akiwa anakagua miradi jimboni kwake..
Nikicheka kama hivi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sisi mataahira ya chadema tunashukuru sana Magufuli kufariki maana sasa njia nyeupe kwenda ikulu!Punguza jazba, kama hujui kuwa nchi nzima sherehe zilifanyika mpaka police wakawa wanakamata raia kwa kusherekea kifo cha Jiwe basi pole sana. Sukuma gang pekee ndiyo walihuzunika na kifo cha bwana yule. Wananchi walimlilia Mungu baada ya mateso ikiwemo mauaji, wizi, mambo ya ukanda, kukandamiza wapinzani na mengine mengi ya hovyo kuzidi nchini ndipo Muumba akaingilia kati kulinusuru taifa, so wananchi hawakuwa na budi kumshukuru Mungu na kusherekea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wewe mtoa mada maisha yako na kabudi utalinganisha au unabwajaja tu kama mbuzi aliekosa majani.
Jibu swaliUkweli ni kwamba with his caliber kabudi alikuwa mtu wa ovyo sana
Uchawa wale ulipitiliza
As if there is no tomorrow…
Muambie kenge huyoAmeshachuma vya kutosha. Na bado account inatunishwa.
Pro-PESA KALAMAGANDA KABUDI karudi jalalani, anafuga mtumbo tu!Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana
Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni
Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano
Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao
Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala
Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus
Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba
Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee KabudiView attachment 2286641
Lakini mama yako mwema si anaweza kumtoa? Anangoja nini sasa?
Maana yeye ndio alimteua kwenye hiyo nafasi
Alikuwa anatia huruma kweli alivyokuwa kashika mikono 😆😆😄😄Hapo ulipo wazazi wako na ukoo wako wamechakaa kwa umasikini ila unamcheka Lukuvi mwenye kila kitu!
[emoji23][emoji23][emoji23]Maisha haya