Profesa Kabudi from Hero to Zero, Mbwembwe zote kwisha

Sasa wewe mtoa mada maisha yako na kabudi utalinganisha au unabwajaja tu kama mbuzi aliekosa majani.
Acha kumshushia heshima mleta mada, au na mleta mada na yeye katokea jalalani kama alivyojisema Kabudi?
 
Mkuu umelewa, mbona unafanya argument za kitoto?Kwani hakuna mmiliki wa Barrick hakuja hapa nchini kwaajili ya mgogoro wa mikataba ya madini ya Acacia na serikali? Na aliyekuwa anaongoza majadiliano na timu ya Barrick mpaka kampuni ya Twiga Mineral Corporation ikapatikana,ni Baba yako au Professor Kabudi?Endeleeni kuwaamini wapiga dili Msoga Jazz Band!
Punguza jazba kwa kunywa maji kidogo. Au wewe ndiye kabudi mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana

Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni

Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano

Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao

Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala

Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus

Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba

Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee KabudiView attachment 2286641
Tatizo hujijui kwamba zero ni wewe. Uliza pale UDSM wanasheria wangapi wamepita kwa professor Kabudi? Kwenye siasa kaanza baada ya kustaafu UD.
Kilaza wewe.
 
Wewe nadhan una mtindio wa ubongo..kwahiyo ulitaka asiende sabasaba kwa muda wake wa mapumziko..hivi mna matatizo gani nyie manyani....unaanzisha Uzi kama huu unatusaidia nini sisi na familia na chumi zetu..ni punguwani tu ndio anaweza kufanya haya...
Sukuma gang mtanyooka tu,
 
Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana

Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni

Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano

Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao

Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala

Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus

Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba

Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee KabudiView attachment 2286641
Chuki zimekujaa umeshindwa hata kueleweka ulichokuwa unataka kuandika,Kabudi ni akili kubwa,ndivyo alivyo na atabaki kuwa hivyo,hata kama ana mapungufu yake sio kwa uwozo huu ulioandika hapa,kama angekuwa wa hovyo hivyo unafyotaka kutuaminisha mama asingempeleka pale Ikulu,anajuwa umuhimu wake kwenye nchi hii,labda kama hujui ikulu ni mahali pa namna gani katika nchi,na kama ni swala la uchawa hata sasa hivi wapo chawa kwa utawala uliopo,that is politics,people are swinging to the rythm...
 
Nadhan wewe ndie mtu wa hovyo kuliko wote Basi....umeishia darasa la ngapi jomba kwani
Kabuda aliwahi kumwita Jiwe mh. mungu, akaenda mbali zaidi na kusema ametolewa Jalalani, sasa hapo nani ni mtu wa hovyo?
 
Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana

Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni

Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano

Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao

Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala

Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus

Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba

Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee KabudiView attachment 2286641

Mbona huongelei twiga compan iliyozaliwa???
baada ya Kabudi kusimamia majadiliano na Barrick

Tena bila hata haya unasema “Wazalendo walikufa kagera”…..Hii inaonesha jinsi akili yako ilivooza hujitambui
 
Eti "from hero to zero", tukumbuke tu "ng'ombe akikonda hawezi kufanana na sungura"
 
Yaan uliandika tu mtu anajua kabisa kuwa ww uwezo wako wa akili ni kiwango cha chini Sana.Kabuti tayari kawa Waziri,ni Prof .Ana maisha yake mazuri .Ategemei kuishi kwa tabu tena.Huyo sio mwenzako tena.Kwa umri wake atapumzika na kula maisha na familia na hataomba kwa mtu pesa .Kwa Hiyo ww endelea kuangaika na vithread udaku,visivyo na nyuma wala mbele.
Chawa wa mzee wa jalalani naona umenuna
 
Huyu mtoa mada hajui Kama mafuta yamepanda magari tunayaacha nyumbani, mfumuko wa Bei kwa 120%. Huu utawala siyo kabisa. Bora JPM alitukosha.
 
Kwa kifupi, maprofesa wetu wengi wao ni wa hovyoo! Wanatakiwa waendelee kufundisha vyuoni. Wakiletwa kwenye siasa wanapwaya sana. Wanatetemeka sana. Kama huyu Kabudi alikuwa akimwabudu sana yule MChato.

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Tatizo hujijui kwamba zero ni wewe. Uliza pale UDSM wanasheria wangapi wamepita kwa professor Kabudi? Kwenye siasa kaanza baada ya kustaafu UD.
Kilaza wewe.
So aliposema Jiwe alimtoa jalalani alikuwa anamaana kuwa kamtoa sehemu gani?
 
Mbona huongelei twiga compan iliyozaliwa???
baada ya Kabudi kusimamia majadiliano na Barrick

Tena bila hata haya unasema “Wazalendo walikufa kagera”…..Hii inaonesha jinsi akili yako ilivooza hujitambui
Wewe nani kakuzuia kuiongelea hivyo twiga company? Au na wewe akili zako ni zile zile kama za huyo prof wa jalalani
 
Maisha aliyonayo wewe huwezi kufikia hata 1% tu mpaka unakufa. What a useless keyboard warrior.
Mleta mada humfahamu, hujui maisha yake, Halafu pia usidhani maisha ni kwenye ishu ya uchumi tu. Heshima ya utu wetu ni zaidi ya mapesa kwenye account. Huyu profesa alijidhalilisha sana kwa yule mzee wa Chato. Acha asemwe.

Yesu ni Bwana
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Jamaa anaropoka tu,wewe jitu linakaa na vigogo vya Dunia kujadili masuala ya mikataba,anaijua kampuni ya Barrick wamiliki wake?

Hawawezi lingana maana pamoja na mambo yote mtoa mada hajawahi mfananisha mtu yoyote na mungu .
 
Soma la Msingi tukanyage kwa adabu Ardhi ya Muumba. Dunia ni duara.
 
Kila mmoja mwendo ataumaliza tu, shida je unaumalizaje? Kuumaliza mwendo kisha watu wafanye sherehe kama wananchi walivyofanya kwa Jiwe siyo kitu kizuri
Wewe mjinga sherehe ulifanya wewe na mataahira wenzako! Hata wewe ukifa watafanya tu!
 
Back
Top Bottom