Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Ilikuwa ni suala la muda tu..tutajua mengiUlikuwa wapi siku zote usiseme unakuja kusema leo?!
Acha uongo. Sheria zipi. ZitajeMkuu nyumba syo za umma bali nssf nasheria hazimruhusu kama board member ajihusishe kwa namna yoyote kununua mali ambazo yeye ni member,pia hiyo haiondoi ukweli wa bunge kuwa dhaifu, ila tu na yeye ni dhaifu alishindwa kumdhibiti dau
Mkuu hivi kati ya CAG Uttoh na huyu Prof Assad ni nani amekuwa na Audit Report za kusisimua na kugundua ufisadi? Kwangu mimi naamini Uttoh alikuwa na report zilizosheheni weledi, za sasa sijaona report yenye weledi.Kazi ya ukaguzi ni ngumu sana unatengeza chuki kwa unaowakagua maana ukiwa hauendi nao sawa wanakutengenezea zengwe kwa watu wenye akili na wazalendo wa kweli na Nchi yao taarifa za CAG wangekua wanazifanyia sana kazi.. SA kwa mfumo huu wa kiuchunguzi Zuma anapanda mahakamani Bongo wachunguzi wanaitwa kujadiliwa inaleta hasira...
Ckweli wkt wa mkapa jk hakuondoka wizara ya mambo ya nje mkuuWakati wa mkapa JPM akiwa waziri wa Nyumba na makazi/ardhi nyumba za serikali.ziliuzwa sana ikiwa na kuuzia mdogo wake kama ilivyo nukuliwa na gazeti la Raia enzi hizo
Je hilo nalo mwl.Kashasha unaliongeleaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana tuhuma za kujibu kama kweli alijinufaisha.Better late than never;
Watanzania tuna haki ya kupata maelezo ya kina kuhusiana na hili toka kwa CAG;
Isijekuwa kauli zake za hivi karibuni zikawa ni katika namna ya kutafuta Kinga ili tuhuma zitakapoletwa juu yake ionekane anaonewa.
Unaweza ukawa mkweli na kweli alifanya hivyo, hilo ahukumiwe kwa hilo, hili la Ndugai linabaki kama lilivyo. Kuiba nyumba za NSSF hakufuti kauli ya kulilaumu Bungwe kwa UDHAIFU.Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.
Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.
Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.
Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Mradi wa NSSF kujenga nyumba ni ili kuziuza kwa watanzania na wao kupata faida kidogo!Nyumba hizo zikiwa kwenye ramani,zinapigiwa hesabu na kila nyumba inakuwa na thamani yake ambayo itauzwa!Sioni tatizo kwa Assadi kununua nyumba,hapo kaonyesha uzalendo kwa kuunga mkono juhudi za Mfuko kujiimarisha!!!Wakati wa uuzaji nyumba za serikali kulikuwa na urasimu? Urasimu upi?
Kama Prof Assad kajimilikisha nyumba za NSSF basi yeye alifanya Governance Enterpreneurship. Tumemtuma kwenda kusimamia uongozi wa NSSF ili kuhakikisha michango yetu haitumiki vibaya, yeye anaenda kujimilikisha nyumba zilizojengwa kwa michango yetu. Bonge la conflict of interest.
Asiingize UDINI mada/hoja yake wazi na vizuri kama pana ushahidi/ukweliMkuu pumba hapo ni ipi, labda utusaidie alikokosea maana ni kosa mtu aliye na conflict of interest ku own asset ktk organization anayosimamia tena akiwa mteule wa serikali ku oversee interest za serikali mahali hapo.
Nimekusoma, ila neno urasimu nadhani unalitumia pasipo stahili. Any way miradi ya NSSF ilikuwa na ufisadi mwingi mwingi mwingi! Hapo kwenye uzi inaonekana Alhaji Kidula aliyekuwa Mkurugenzi wa Uwekezaji NSSF na Alhaji Pfof Assad ni wanufaika. Hili haliwezi kuwa jambo jema kwa CAG wetu kwani harufu ya ufisadi ndani ya NSSF lazima itamfanya naye anuke. Tunataka CAG ambaye hana mawaa na wala hakuwa mawaa. CAG ni cheo kikubwa sana tena cha Kikatiba. Akistaafu bado walipakodi tutaendelea kumlipa kumbe alishajilipa za mafao yetu.Mradi wa NSSF kujenga nyumba ni ili kuziuza kwa watanzania na wao kupata faida kidogo!Nyumba hizo zikiwa kwenye ramani,zinapigiwa hesabu na kila nyumba inakuwa na thamani yake ambayo itauzwa!Sioni tatizo kwa Assadi kununua nyumba,hapo kaonyesha uzalendo kwa kuunga mkono juhudi za Mfuko kujiimarisha!!!
Uuzwaji nyumba za serikali kulikuwa na urasimu,nyumba ziliuzwa chini ya thamani halisi lakini pia hata wasiokuwa watumishi wa umma walifaidika kutokana na ndugu zao kuwa serikalini!
Kwenye Nyumba za NSSF hazibagui mteja,yeyote anayetaka kununua ananunua,hata JPM akitaka ananunua!
Musiba kazini.... hahahahahahahaaaa..Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.
Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.
Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.
Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Mpe credit Musiba wa Tanzanite kwa hii habari!!Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.