Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

Hata mimi nimenunua zile za Tanga na taratibu zote nimefuata vjpi Kuna kosa?
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Kumbe na ww ni kafiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bunge Ni dhaifu ndio sababu halikuchukua hatua kwa Wajumbe wa Bodi kujiuzia Nyumba

Hoja ya Assad inazid kupata reference Kama Hii taarifa Ni ya Kweli
 
Mbona magufuli alinunua nyumba za serikali akiwa waziri? Hiyo siyo conflict of interest. Toa majungu mkuu hii haitasaidia
Mkuu pumba hapo ni ipi, labda utusaidie alikokosea maana ni kosa mtu aliye na conflict of interest ku own asset ktk organization anayosimamia tena akiwa mteule wa serikali ku oversee interest za serikali mahali hapo.
 
Za nssf ni za kuuza ila yeye alitumia madaraka yakuwa board member which is agsinst na utaratibu.hapo kuna conflict of intesest hakupaswa kununua kwa kuinfluence price au hata uuzaji maana zilipaswa ziuzwe kwa open tendering

Board member sio sehemu ya management hayo madaraka ya kuamua ajiuzie nyumba aliyapata wapi?
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Kwa ulificha dhambi kuficha madhambi yako basi mwenzenu kawahi na ukianza masuala ya nyumba kuna mtu mkubwa huwa hapendi kusikia kabisa hizi.mada
 
Wewe ndio ufanye uchunguzi kujua kununua nyumba ni kosa, pia jitazame vyema utamng'oa jiwe kwanza madarakani kwa kufukua makaburi. Manake wakati anauza nyumba za ujenzi alinunua na kuwanunulia ma sweet heart.

Ukiwa unaishi katika nyumba ya vioo usianzishe ugomvi wa mawe.

Yaani mama anapika vitumbua halafu unasema haruhusiwi kununua au mme wake, we unaakili sawa sawa kweli sasa wateja watatoka wapi. Hata serikali imefufua airtanzania na kuwataka wafanyakazi wa serikali wapande.

Tunaomba uchunguzi ufanyike ktk hilo ili kumsafisha na tuhuma hiyo.Kama kweli alishiriki kununua nyumba akiwa mjumbe wa board nssf basi awajibishwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ya ukaguzi ni ngumu sana unatengeza chuki kwa unaowakagua maana ukiwa hauendi nao sawa wanakutengenezea zengwe kwa watu wenye akili na wazalendo wa kweli na Nchi yao taarifa za CAG wangekua wanazifanyia sana kazi.. SA kwa mfumo huu wa kiuchunguzi Zuma anapanda mahakamani Bongo wachunguzi wanaitwa kujadiliwa inaleta hasira...
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Tatizo liko wapi, mbona Magu alinunua nyumba, alimpa nyumba mdogo wake ambaye alikuwa hana sifa, alimpa demu nyumba etc...
 
Mnatafutia visa kwa kuficha maou yenu? Kosa ni kosa tu kama
Ni kweli atawajibika kn haitazuia ofisi yake kufichua ufisadi
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Kwanini uchunguzi usifanywe ujulikane ukweli wapelekwe mahakamani ?
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.
i

Hapa ndio hua nasema MACCM mengi kama sio yote huwa yanatawaza bila kutakata.So Spika Ndugai alitakiwa aachwe asiambie ukweli wake wakati kweli yeye ni kibogoyo na bunge lake ni BUTU
 
Hujaelewa nini?Maana yake hakuna urasimu unaoweza kufanyika kama ule wa uuzwaji wa nyumba za serikali uliofanywa chini ya JPM!
Wakati wa uuzaji nyumba za serikali kulikuwa na urasimu? Urasimu upi?
Kama Prof Assad kajimilikisha nyumba za NSSF basi yeye alifanya Governance Enterpreneurship. Tumemtuma kwenda kusimamia uongozi wa NSSF ili kuhakikisha michango yetu haitumiki vibaya, yeye anaenda kujimilikisha nyumba zilizojengwa kwa michango yetu. Bonge la conflict of interest.
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Kwaiyo hiyo nyumba aliyonunua ilifika trillion 1.5?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom