Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Mbona hukuwahi kutoa haya madai siku zote mkuu?
Nini kimekusukuma kuja na mada hii katika kipindi hiki kizito cha Prof na Mheshimiwa Speaker?
 
Tofauti yake iko wapi? Serikali ilikuwa na nyumba zake ikauza kwa watendaji wake na NSSF nyumba zake ikawapa kipaumbele watu wake wa ndani wazinunue. Tofauti iwapi?
Swala la kuuziana nyumba wao kwa wao ni utaratibu uliokuwepo tokea enzi za Mwl.Nyerere nakumbuka nyumba za wahindi walinyanganywa na kupewa vingunge katika serikali ya Nyerere,si hayo tu waliopewa viwanja Masaki,Osterbay,Mbezi Beach,Msasani,wengi wao walikuwa ni vingunge wa serikali au mashirika ya umma.
Vivyo hivyo Sukita ya Kapinga.
Kutafutia CAG weak point kwa hili ni wrong timing.
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Hii mada yawezekana ina lengo tata.......Kuuza na kununua nyumba siyo jambo geni hapa nchini!
 
Haishangazi ili maradi ccm ipo madarakani ndivyo wafanyavyo mzizi into kung'oa ccm na kurudisha mali zote za umma ikiwemo nyumba za serikali ambazo Magufuli aligawia vimada na ndugu zake
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
CCM ni ile ile...ukute Prof ana Green Card sasa ni zamu yake kuisoma namba baada ya kuwavuruga CCM wenzake.
 
🤣🤣🤣🤣 yamekua haya tena? Mlimzushia JPM kuhusu uuzaji wa nyumba kwa hawara haikusaidia leo ni rais na kwa Prof. Assad mtaseeeemaaaa lakini he is a CAG
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Mlikuwa wapi siku zote msiseme....?????
Au baada ya CAG kusema kweli...?????

Hizi ni harakati za mfa maji,sisi tunataka kujua 1•5T ambayo ni pesa yetu walipakodi imekwenda wapi hizo pumba nyingine peleka Lumumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahenga walisema ukijua kupiga ujue na kukwepa! Yaani nawaambia hakuna watu WA hovyo kama wakaguzi wa Hesabu za serikali ,hoja nyingi huziibua na kuzimaliza Kwa maana ya kukubali majibu ya hoja baada ya kulambishwa na wahasibu

Huamini nenda Halmashauri ongea na DT wa Halmashauri utastaajabu vitu wanavyofanyiwa na wakaguzi hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Mbona na wewe tarifa hizi ulikuwa nazo na ukakaa kimya tangu kipindi hicho ndo umezitoa sasa. Je kwa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikia huyu kilaza nalilia udini sikuzote ulikuwa wapi alafu umeandika vizuri alinunua sio alijipa bure Mali ya umma vipi mkuu alipouza nyumba za serekali nayeye hakuchukua yoyote au zozote?unalala mimika udini nikuulize we punguwani je teuzi za mkuu zinazingatia huo udini? Nssf kwa sasa ambapo hayupo dau unaweza kutwambia ikoje kuhusu huo udini tuone ubaya wa dau usizungumze udini haswa ukiwa mgalatia kwani mfumo wanchi unawanyima haki imani nyingine bado unavumilika nahisi ilekauli aliotoa kiongozi mmoja yakuwa kunawatu wanadhani kuwa wao wanahaki kuliko wengine na kauli hiyo iliwalenga wagalatia kwakuwa hawakupenda waione imani nyingine katika uongozi

Hebu bana matako we pimbi....kipindi cha Dau. mimi binafsi nilikuwa nafanya kazi pale NSSF....udini wa pale ulikuwa siyo wa nchi hii labda Iran au Saudi Arabia huko....makafiri tulinyimwa fursa zoote mpaka hata safari za ndani zilikuwa shida....na Mungu amewalaani sasa
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Misukuma hii bwana katika nchi hii imekuwa shida. Undoa ushinyanga wako. Mbona umuongelei aliyeuza na kujiuzia na kuwanunulia maawala nyumba za umma sasa hivi watumishi wanakosa pa kukaa
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
jiwe alijiuzia nyumba za serikali na nyingine alihonga mbona husemi... umikalia ushakunanku tu unapoguswa makalio unaropoka kama jiwe
 
Hebu bana matako we pimbi....kipindi cha Dau. mimi binafsi nilikuwa nafanya kazi pale NSSF....udini wa pale ulikuwa siyo wa nchi hii labda Iran au Saudi Arabia huko....makafiri tulinyimwa fursa zoote mpaka hata safari za ndani zilikuwa shida....na Mungu amewalaani sasa
uzuri umeshajitambua kuwa wewe ni KAAFIRRRR inatosha
 
Mswahili akifanya kazi mahali na wakiwa wengi hutasikia mabaya yake
Afukuzwe sasa au apate shida na aondoke ndio utasikia mengi ya kumkashifu na kumuita majina ya kila aina.

Wakati mwanzo walikuwa wanafanya pamoja kama pack of wolves

Tujikite kwenye hoja sasa

Sent from my SM using Tapatalk
 
Kuuzwa kwa nyumba za serikali kwa vimada na wadogo zetu sio kosa, Kosa ni conflict of interest kwa prof Assad!
 
Narudia tena, nyumba za nssf hazina tofauti na nyumba za umma alizouza Magu, kwahiyo kutuambia huo utoto wakati huu ni kutuona sisi ni wajinga. Bunge lituambie zilipoenda 1.5t. Na ukweli wa kwamba bunge ni dhaifu hauondoki kwa huu utoto mlioleta hapa.
tena sio bunge lituambie... sema wabunge wa FISIEM watuambie 1.5 nani kameza
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Kama hizo nyumba zilijengwa kwa ajili ya biashara zikapangiwa bei ya kuuza na wahusika jee, kuna ubaya gani hata raisi wa nchi akinunua nyumba hizo??????
 
Back
Top Bottom