Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

Za nssf ni za kuuza ila yeye alitumia madaraka yakuwa board member which is agsinst na utaratibu.hapo kuna conflict of intesest hakupaswa kununua kwa kuinfluence price au hata uuzaji maana zilipaswa ziuzwe kwa open tendering
Kwani ziliuzwa kwa mnada au.walipanga bei kutokana na gharama halisi ya nyumba hiyo?
 
Weka huo utaratibu hapa uliamuliwa lini na nani na uweke idadi ya nyumba alizonunua Assad na ushahidi wa kujitosheleza kuhusu nyumba husika unazozizungumzia. Vinginevyo ni UZUSHI.

Za nssf ni za kuuza ila yeye alitumia madaraka yakuwa board member which is agsinst na utaratibu.hapo kuna conflict of intesest hakupaswa kununua kwa kuinfluence price au hata uuzaji maana zilipaswa ziuzwe kwa open tendering
 
Profesa assad akiwa mjumbe wa board ya nssf miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya board ya uwekezaji ya nssf (MIC) Alijinufaisha ktk kununua nyumba za nssf huko tanga bila kujali conflict of interest, nyumba hizo zilizouzwa pia kuna mkurugenzi mmoja wa nssf bwana kidula ambaye nae alikuwa mwenyekiti wa tender board ya management ya nssf nae alijitwalia nyumba kadhaa za tanga na dodoma.Katika kipindi cha Dau nssf mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue, mfano nyumba za kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao. Kwa mfano kuna mtoto wa profesa mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko nssf alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa.Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakaz wa nssf lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
huyo ndo assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau nssf ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Siamini kama Prof Assad anaweza kufanya hili. Kama kweli alijinufaisha kwa kujipatia nyumba za NSSF akiwa mjumbe wa Bodi basi hilo analo na ikiwa ni kweli hana budi kuijsafisha. Ukiwa CAG hutakiwi kuwa na waa lolote. Asijikaushe atoke akanushe ama ajitose kulinda heshima yake.
 
Kama kafanya kosa hapo ni sawa kujulisha jamii, na lazima ajibu tuhuma bila kujali yanayotokea sasa...Ila wakati wa Dau Waislamu walikula raha na kunenepa katika kila kitengo cha maisha yao kwa kweli...
 
Tuondolee FAKE NEWS yako yenye nia ya kumchafua CAG kama ulivyotumwa na huyo dikteta na dhalimu wa Ikulu.

CAG aikana ripoti feki ya NSSF, asema ripoti itatolewa na Bunge Aprili 25 - JamiiForums

Bak ripoti aliyokana alikuwa anamtetea dau, kabla hajawa CAG ndo alikuwa board member nssf, dili zote chafu nssf alikuwepo, na alipigiwa chapuo na dau kuwa CAG enzi za jk ili afiche madhambi ya dau na jk ktk miradi na viwanja hewa,saccos hewa nk...
Assad syo msafi hata kidogo, hata hyo nyumba alonunua iko kwenye audit querry na itawekwa wazi soon.
 
Kama kafuata sheria na kanunua kwa pesa halali tatizo lipo wapi? Mbona watumishi wa umma na wasio wa umma huwa wana hamasishwa na wengine hununua hizo nyumba
Ndg, kwa sheria za kuwa board member una declare conflict of interest huwez kununua mali ambazo zikiwa na shida utatetea kwa kuwa nawe ni mnufaika.

ILA 1.5TRILION TUNAZITAKA
 
Profesa assad akiwa mjumbe wa board ya nssf miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya board ya uwekezaji ya nssf (MIC) Alijinufaisha ktk kununua nyumba za nssf huko tanga bila kujali conflict of interest, nyumba hizo zilizouzwa pia kuna mkurugenzi mmoja wa nssf bwana kidula ambaye nae alikuwa mwenyekiti wa tender board ya management ya nssf nae alijitwalia nyumba kadhaa za tanga na dodoma.Katika kipindi cha Dau nssf mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue, mfano nyumba za kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao. Kwa mfano kuna mtoto wa profesa mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko nssf alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa.Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakaz wa nssf lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
huyo ndo assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau nssf ilikuwa na madudu ya kufa mtu.

Na hilo liwe ndo swali la kwanza alinunuaje nyumba ambazo alikuwa na confict of interest nazi na avuliwe u CAG,

ila ambane ndungai zilipo 1.5 kodi zetu.
 
Weka ushahidi wa kutosha kuthibitisha ulichoandika vinginevyo ni UZUSHI TU!

Assad ni mtu makini sana kufanya hayo madudu unayodai na kama Auditor anaziheshimu sana PROFESSIONAL ETHICS za taaluma yake.

Bak ripoti aliyokana alikuwa anamtetea dau, kabla hajawa CAG ndo alikuwa board member nssf, dili zote chafu nssf alikuwepo, na alipigiwa chapuo na dau kuwa CAG enzi za jk ili afiche madhambi ya dau na jk ktk miradi na viwanja hewa,saccos hewa nk...
Assad syo msafi hata kidogo, hata hyo nyumba alonunua iko kwenye audit querry na itawekwa wazi soon.
 
Profesa assad akiwa mjumbe wa board ya nssf miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya board ya uwekezaji ya nssf (MIC) Alijinufaisha ktk kununua nyumba za nssf huko tanga bila kujali conflict of interest, nyumba hizo zilizouzwa pia kuna mkurugenzi mmoja wa nssf bwana kidula ambaye nae alikuwa mwenyekiti wa tender board ya management ya nssf nae alijitwalia nyumba kadhaa za tanga na dodoma.Katika kipindi cha Dau nssf mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue, mfano nyumba za kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao. Kwa mfano kuna mtoto wa profesa mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko nssf alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa.Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakaz wa nssf lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
huyo ndo assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau nssf ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Wakati wa mkapa JPM akiwa waziri wa Nyumba na makazi/ardhi nyumba za serikali.ziliuzwa sana ikiwa na kuuzia mdogo wake kama ilivyo nukuliwa na gazeti la Raia enzi hizo

Je hilo nalo mwl.Kashasha unaliongeleaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom